Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

Mbona povu linakitoka kulikoni??

mkuu, tatizo mie sikubali kukaririshwa kama kasuku.....LAZIMA nihoji siwezi kuwa kama msukule
A%20S%2027.gif
!!

naunga mkono sana tu mabadiliko ya kisiasa 2015 BILA kuhusisha zengwe dhidi ya wenzetu wenye mawazo tofauti - vinginevyo chadema na maccm itakuwa ni wale wale, tofauti itakuwa ni majina tu!!
 
Hii nchi hiko huru na kila mtu yuko huru kwenda popote.

Sasa subiri uone zitto anatangaza kwenda arusha au mbeya uone jinsi ambavyo bavicha na chadema watakavyo anza kulia na kuahidi kufanya vurugu.

Hakika zitto ni kiboko ya chadema ndio maana wana timia muda mwingi kumjadili yeye.
 
Toa mada zako za kijinga mbona wewe Baba yako alimmimba mama yako acha
wivu kwa chadema
 
mkuu, tatizo mie sikubali kukaririshwa kama kasuku.....LAZIMA nihoji siwezi kuwa kama msukule
A%20S%2027.gif
!!

naunga mkono sana tu mabadiliko ya kisiasa 2015 BILA kuhusisha zengwe dhidi ya wenzetu wenye mawazo tofauti - vinginevyo chadema na maccm itakuwa ni wale wale, tofauti itakuwa ni majina tu!!

Pole umejifia kimawazo
 
Acha uongo mtu mzima!!!!

Wana Kigoma tumeshagundua uongo na ukanda mliouweka mbele kuliko kitu chochote.

Mbona maswali yote tuliyouliza juu za ZITTO hayakujibiwa, walijiumauma kama vile wamelewa mbege?????
 
Heko chadema , heko operesheni M4C pamoja daima. Watanzania tulikuwa kama yatima ila sasa tumaini linameremeta.
 
Hii nchi hiko huru na kila mtu yuko huru kwenda popote.

Sasa subiri uone zitto anatangaza kwenda arusha au mbeya uone jinsi ambavyo bavicha na chadema watakavyo anza kulia na kuahidi kufanya vurugu.

Hakika zitto ni kiboko ya chadema ndio maana wana timia muda mwingi kumjadili yeye.

wapi anapojadiliwa kwa wingi?
 
Acha uongo mtu mzima!!!!

Wana Kigoma tumeshagundua uongo na ukanda mliouweka mbele kuliko kitu chochote.

Mbona maswali yote tuliyouliza juu za ZITTO hayakujibiwa, walijiumauma kama vile wamelewa mbege?????

ulimuuliza nani na wapi?? huwa hatujibu maswali yasiyo na msingi! huyo mamluki wenu kwishinei! pamoja daima!
 
Pole umejifia kimawazo

tukikubali kuendekeza baadhi ya ungese wa viongozi wa chama watakuwa washenzi kuliko hata huko ccm! ni lazima kuwekana sawa mapem kuepuka majuto mbeleni, nawasikitikia ninyi mnaosifia CHOCHOTE tu so long kimefanywa/semwa na viongozi wa chama kana kwamba wao ni malaika!!!
 
Back
Top Bottom