Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

walipotua kwa chopa yao hawakukuta mtu pale uwanjani mwanga, Huyu min kabaang aache uongo wa wazi. cdm kwa kigoma haina kitu kule na wala hawaihitaji hata kidogo wana kigoma. Muulize hata gari la kuja kuwabeba lilifika muda gani baada ya wao kutua? Mwambie waweke hata picha moja ya mapokezi hayo. Hawawez kuweka maaana ilikuwa aibu kubwa sana kwao.
 
Mtu mzima anapozungumza inatia hasira huyu molemo haoni aibu kuongea uongo?

tatizo hawajawafundisha kujibu hoja,unaposema jambo fulani kuwa ni la uwongo,tunategemea wewe ulete la ukweli. au unamtetea tu baada ya kuona kibaraka wenu huyo ametupwa nje ya ligi ya chadema? mtumieni shibuda huenda atafanikisha !
 
Kweli Vijana wa CHADEMA mmechoka akili. Ni tusi kubwa sana kumfananisha Zitto huyu kijana Msomi, mzalendo, aliyebobea katika siasa safi, mwenye rekodi nzuri ya kusimamia hoja bungeni kuliko wabunge walio wengi, na huyu kilaza wa Kimachame. aliyekuwa mwizi wa magari kabla ya 2005.

Wewe ndio utakuwa umechoka akili Katika Hoja alizozisimamia ZITTO Bungeni ni ipi hadi sasa imefanikiwa na kutusaidia kuondokana na wizi wa fedha za umma na Ufisadi unaofanywa na CCM na Serikali yake? naomba unitajie moja(1) tu
 
walipotua kwa chopa yao hawakukuta mtu pale uwanjani mwanga, Huyu min kabaang aache uongo wa wazi. cdm kwa kigoma haina kitu kule na wala hawaihitaji hata kidogo wana kigoma. Muulize hata gari la kuja kuwabeba lilifika muda gani baada ya wao kutua? Mwambie waweke hata picha moja ya mapokezi hayo. Hawawez kuweka maaana ilikuwa aibu kubwa sana kwao.

Tuwekee wewe hizo picha za aibu na usipoweka wewe ndio utakuwa umetia aibu.
 
Lema, anashikia akili watu wengi sana mbona hajasema kura za urais Kigoma Dr.Slaa alipata ngapi na Arusha ngapi na Kilimanjaro ngapi, ebu soma hapa chini kura za urais.

Mwambieni Lema vipi Kigoma wampigie kura nyingi Dr. Slaa kuzidi Kaskazini.

[TABLE="class: cms_table_wikitable"]
[TR]
[TD="align: left"]Willibrod Peter Slaa[/TD]
[TD="align: left"]Chama cha Demokrasia na Maendeleo[/TD]
[TD]2,271,491[/TD]
[TD]27.0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sasa basi tukitumia Hesabu nyepesi za Kugawanya na Kutafuta Aslimia ya Kura za Kila mkoa majibu ni kama ifuatavyo:-

1. Arusha (163560/2,271,491 ) x 100 = 7.2 %

2. Kigoma (
148892/2,271,491 ) x 100 =6.6%

3. Kilimanjaro (
139392/2,271,491 ) x 100 =6.1%

4. Manyara ( 131951/2,271,491 ) x 100 =5.8%

Unachotakiwa kuchangia ni kuthibitisha juu ya kupungua kwa madiwani wa CDM Kigoma Kaskazini na sio kuleta viporojo vyako hapa
 
huyu mini kabang kaingia ndani ya chama majuzi tu kusaka ubunge leo hii anajiona yeye ndo kakijenga chama kuliko hata wale aliowakuta!!
anasahau kwamba alipokuwa huko alikokuwa hakuna aliyekuwa anamjua zaidi ya wanaAR wachache tu.
vurugu zooote za lema ndani ya chama ni kwa sababu ya kubebwa na mbowe tu vinginevyo hana HADHI ya kuwa mjumbe kamati kuu ya chama, na zaidi angeshaadhibiwa kwa tabia yake ya kuropoka nje ya vikao halali vya chama kama katiba ya chama ibara ya 10 inavyosema!!

Zitto hakubebwa na Mbowe?
 
Wanajukwaa mliokuwepo wakati wa mkutano wa cdm Kigoma tunaomba pics kumaliza njadala huu.
 
Mkuu Bramo ukiondoa dr Slaa ambaye alikuwa mgombea uraisi 2010 hakuna kiongozi mwingine aliyezunguka kama Zitto Kabwe kuwanadi wagombea ubunge wa Chadema hilo hamlisemi?? au wabunge hawajaongezeka?? hata mwenyekiti Mbowe alikuwa bize jimboni kwake tu

Mkuu,
Pamoja na yote hayo, hakuna aliyesema Zitto hakuifanyia kitu CHADEMA, La hasha, amefanya mengi na Makubwa.
Suala la msingi hapa ni je, Kukifanyia CHAMA mambo mengi ndio iwe ticket ya kukivuruga CHAMA na watu wakikuhoji useme kuwa umekifanyia mengi CHAMA, La hasha Mkuu, hata ukimuua mtoto uliyemzaa mwenyewe bado sheria itakutia Matatani tu.
Ni Mtazamo
 
Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???
Huwa kuna somo linaitwa Historia mkuu, kama ulipishana nalo ulipokuwa masomoni inaweza kuwa ndiyo tatizo lako kuu. Hata kama hakuwa CDM haimzuii kuifuatilia history ya mtu mwingine. Na history mara nyingi ndiyo inayomhukumu mtu.
 
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema kuwa juzi walipata mapokezi makubwa mjini Kigoma na kwamba kila mtu akiwa katika chama afanye kazi ya kukijenga badala ya kukibomoa.

Alisema licha ya kuwapo na madai kuwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, ana umaarufu mkubwa mkoani humo, jambo hilo halina ukweli.

Alidai mwaka 2010 walitegemea kupata ushindi katika Jimbo la Mpanda, lakini Zitto aliandika barua akieleza kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awe mgombea pekee.

Alisema baada ya chama kupata taaarifa na kutaka kumwajibisha Zitto, Mwenyekiti Mbowe, aliingilia kati na kusitisha uamuzi huo.

Alisema kutokana na waraka walioukamata aliodai uliokuwa na malengo ya kukisambaratisha chama, waliona hawana sababu za kuendelea na Zitto na kumvua nyadhifa zake na kwamba kitendo cha kuweka pingamizi mahakamani asijadiliwe kinamfanya awe mbunge wa Mahakama.

Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili, hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.

Katika hatua nyingine na mwendelezo wa M4C OPD Umati mkubwa wa wakazi wa Manispaa ya Bukoba jana walimiminika kwa wingi katika uwanja wa Uhuru kuwasikiliza Viongozi wa Chadema waliohutubia mkutano wa hadhara.

Kabla ya mkutano huo, yalifanyika maandamano makubwa yaliyokuwa yakiongozwa na vijana waendesha pikipiki.

Source: Nipashe Jumatatu.

Molemo ebu wekeni historia vizuri

elezeni nini kilipelekea madiwani kushuka hivyo?

kwa kumbukumbu zetu, kilichotokea miaka hiyo ni migogoro ya makao makuu na majimbo hayo, ilipelekea watu wengi kuhama chama na kuhamia NCCR mageuzi, walifanya hivyo kuwakomoa akina Mbowe

ebu weka ile historia vizuri Molemo maana Lema kaingia juzi tu
 
Zito tayari alikuwa maarufu na anajifanya mwamba...sasa kwanin asitumie uwezo wake kushawishi wanakigoma? hata mgombea wa ccm alikuwa ameng'ang'ania...eti tofauti ya about 3000? Hebu nenda kwa Myika aliwafanya nini magamba? Tena wakati huo akiwa junior kabisa...learn to argue

Mnyika si alidanganya kuwa ana degree ndo maana akapata kura za wasomi! Kwa sasa watu wote wanajua kuwa alifeli chuo kikuu cha Dsm.
 
Jamani matus kashfa nying vyote vya nn ZITTO mumfanyie yenu hukohuko cdm na si KGM mbunge wa KGM atachaguliwa na mwananch wa KGM labda kama mtaleta marol ya watu toka arusha kuja kupiga kura ndipo ztto ata achia jimbo tofaut na hapo Pigen propaganda Ztt nichaguo la KGM na si arusha sis ndio tulomchagua na sis ndie tutakae mkataa huyo LEMA aseme ukwel walipo tua hapa mwanga wamekuta nn kama si askar et mapokez yamshangaz lema jaman tuwe wakwel kwa kigoma zitto mseme lingine
 
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema kuwa juzi walipata mapokezi makubwa mjini Kigoma na kwamba kila mtu akiwa katika chama afanye kazi ya kukijenga badala ya kukibomoa.

Alisema licha ya kuwapo na madai kuwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, ana umaarufu mkubwa mkoani humo, jambo hilo halina ukweli.

Alidai mwaka 2010 walitegemea kupata ushindi katika Jimbo la Mpanda, lakini Zitto aliandika barua akieleza kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awe mgombea pekee.

Alisema baada ya chama kupata taaarifa na kutaka kumwajibisha Zitto, Mwenyekiti Mbowe, aliingilia kati na kusitisha uamuzi huo.

Alisema kutokana na waraka walioukamata aliodai uliokuwa na malengo ya kukisambaratisha chama, waliona hawana sababu za kuendelea na Zitto na kumvua nyadhifa zake na kwamba kitendo cha kuweka pingamizi mahakamani asijadiliwe kinamfanya awe mbunge wa Mahakama.

Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili, hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.

Katika hatua nyingine na mwendelezo wa M4C OPD Umati mkubwa wa wakazi wa Manispaa ya Bukoba jana walimiminika kwa wingi katika uwanja wa Uhuru kuwasikiliza Viongozi wa Chadema waliohutubia mkutano wa hadhara.

Kabla ya mkutano huo, yalifanyika maandamano makubwa yaliyokuwa yakiongozwa na vijana waendesha pikipiki.

Source: Nipashe Jumatatu.

- Chadema wote ni mizigo kwa Taifa, chama cha kupokea Rushwa na kujaza mimba wabunge wake wa Viti maalum hivi bado wanayo Moral Authority ya anything kwa hili Taifa sasa hivi? Hawa ni genge la wahuni tu!!

Le Mutuz
 
Huwezi kumlinganisha mtu aliyefeli form four na mtu anayemalizia PhD. Ni sawa na kulinganisha maiti na mtu aliye hai

issue kubwa ni utendaji na siyo elimu, jaribu kufiki wezi wakubwa wa nchi hii wana elimu gani wote hao mafisadi etc. Hao maprof wenu ndiyo wanaishia kubaka vitoto sasa umuhimu wa elimu uko wapi
 
Kisiasa tumzika zzt labda aje mamluki mwingine, na ww unayemzarau mnyika ndiye mbunge aliyepata kura nyingi kuliko wengine wote bungeni
 
Back
Top Bottom