Kumbe Simiyu Yetu ni mdada? Simiyu Yetu Zitto anatafuta mtu wa kumsaidia stress
Molemo kaongea uongo upi wewe dada?
Molemo kaongea uongo upi wewe dada?
sawa kamanda nakiri ni kuyumba kwa chadema kigoma.....sasa ili kutenda haki, kwa heshima na taadhima tuwekee takwimu za jimbo la hai kwa mbowe (KUB).
tuambia ni madiwani wa chama gani ni wengi na kwa nn?!
Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???
Alikuwa TLP kwa Mrema. Ila anaijua CHADEMA kuliko aliowakuta, Thats why i hate working with Less educated People! They Tend to Know Everthing while they know nothing..Poor LEMA.
'''Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita(6) na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???
Sina , kama unayo iweke hapa...... nijuavyo jimbo lilikuwa Chini ya ccm na 2010 likatwaliwa na chadema.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema kuwa juzi walipata mapokezi makubwa mjini Kigoma na kwamba kila mtu akiwa katika chama afanye kazi ya kukijenga badala ya kukibomoa.
Alisema licha ya kuwapo na madai kuwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, ana umaarufu mkubwa mkoani humo, jambo hilo halina ukweli.
Alidai mwaka 2010 walitegemea kupata ushindi katika Jimbo la Mpanda, lakini Zitto aliandika barua akieleza kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awe mgombea pekee.
Alisema baada ya chama kupata taaarifa na kutaka kumwajibisha Zitto, Mwenyekiti Mbowe, aliingilia kati na kusitisha uamuzi huo.
Alisema kutokana na waraka walioukamata aliodai uliokuwa na malengo ya kukisambaratisha chama, waliona hawana sababu za kuendelea na Zitto na kumvua nyadhifa zake na kwamba kitendo cha kuweka pingamizi mahakamani asijadiliwe kinamfanya awe mbunge wa Mahakama.
Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili, hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.
Katika hatua nyingine na mwendelezo wa M4C OPD Umati mkubwa wa wakazi wa Manispaa ya Bukoba jana walimiminika kwa wingi katika uwanja wa Uhuru kuwasikiliza Viongozi wa Chadema waliohutubia mkutano wa hadhara.
Kabla ya mkutano huo, yalifanyika maandamano makubwa yaliyokuwa yakiongozwa na vijana waendesha pikipiki.
Source: Nipashe Jumatatu.
Hatakiwi kupewa support wala msaada wote popote pale na wanachadema,akienda aende na bendera ya Chauma...Hii nchi hiko huru na kila mtu yuko huru kwenda popote.
Sasa subiri uone zitto anatangaza kwenda arusha au mbeya uone jinsi ambavyo bavicha na chadema watakavyo anza kulia na kuahidi kufanya vurugu.
Hakika zitto ni kiboko ya chadema ndio maana wana timia muda mwingi kumjadili yeye.
Kigoma ipi uliopo labda kambi ya magamba..Acha uongo mtu mzima!!!!
Wana Kigoma tumeshagundua uongo na ukanda mliouweka mbele kuliko kitu chochote.
Mbona maswali yote tuliyouliza juu za ZITTO hayakujibiwa, walijiumauma kama vile wamelewa mbege?????
Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???
mkuu, tatizo mie sikubali kukaririshwa kama kasuku.....LAZIMA nihoji siwezi kuwa kama msukule!!![]()
naunga mkono sana tu mabadiliko ya kisiasa 2015 BILA kuhusisha zengwe dhidi ya wenzetu wenye mawazo tofauti - vinginevyo chadema na maccm itakuwa ni wale wale, tofauti itakuwa ni majina tu!!
Jamani nyie wana M4C msiwe wepesi wa kusahau unakumbuka LEMA 2005 alichukua RUSHWA na kusaidia CCM kuchukua jiMbo leo hii mnamuina wa maana! Au na nyie mna akili kama yeye!
Hawez rudi tena kwenye huu uzi...Kumbe Simiyu Yetu ni mdada? Simiyu Yetu Zitto anatafuta mtu wa kumsaidia stress
Mkuu,ukweli unaoufahamu wewe ni upi..!? Hebu tujuze!Mtu mzima anapozungumza inatia hasira huyu molemo haoni aibu kuongea uongo?
aisee,kumbe huyu kabwe amehujumu hadi kigoma,kutoka madiwani 11 hadi 2!!!
Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???