Huyu w.J Marecela
pamoja na hoja dhaifu kabisa napenda anijibu haya;
* aliyeiba fedha za escrow alilenga kuhakikisha wanafunzi wetu wafe kwa njaa shuleni?, waendelee kukaa chini, wazazi wakilazimika kuuza vitumbua ili kulipa hela ya tution na kuchangia madawati?
* aniambie aliyeoa mwanafunzi wa Azania ni kiongozi wa chadema?
* ikiwa kweli ndani ya chama chake wana moral ethics kwa nini hata ofisi tu za ccm wameshindwa kuzijenga?
Ikiwa wameshindwa kuzijenga ofisi za ccm,wanawezaje kuwaza kununua ndege za ATC zaidi ya kulifilisi shirika hilo?
Rafiki,unataka tuweke nini humu ili ujue kuwa ni ninyi baada ya kugundua sheria mbovu mlizojitungia,mkafanya maovu mmeogopa kuifanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo ingekuwa siraha kwa akina dada,mama kuwashughilikia wanaume wakora?
Elimu si kigezo cha kufanya mambo mazuri Pr Muhongo na Akina Jairo wamekumbwa na matumizi mabaya ya ofisi where were moral ethics for them?, mmeiua Tiss na Takukuru zimeacha kufuatilia nyendo zenu mkazilazimisha wawe watazamaji with no teeth!
Zzk hakujua tu kuwa,mtu anatengenezwa na kupandishwa juu!, alipofika juu akajisahau akawatukana waliompandisha na kuwatukana,hawakuhitaji manati, waliamua kuukata mti kwani waligundua waliompandisha wanaendelea kuteseka bure( wapigakura wa kigoma na chama chake)