SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 5,193
- 8,009
Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401.
Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu. Video ya Mayele akiwa na jezi mpya ya Yanga iliyopostiwa pia wiki mbili zilizopita July 5, mpaka sasa imepata likes 98,189 na comments 5,925 tu.
Kwa maana hiyo, post moja ya jezi za Simba tayari ina comments nyingi kuzidi video zote mbili za Yanga kwa pamoja na kuna uwezekano kabla ya 6 asubuhi ya kesho yaani masaa 6 yajayo, post ya jezi ya Simba itakuwa na likes nyingi kuliko video zote mbili za Yanga kwa pamoja.