Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
- Thread starter
- #81
Hata sielewi mnachobishana lol
Mie bado naamini katika kilimo
Just because watu wengine walifeli walivyotegemea kilimo..it doesn’t mean na sisi tutafeli
Solution ni kuidentify the GAP ama makosa waliyofanywa wenzetu ..ndio tujipange ki stratergy
Pia tunahitaji mazao kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na mengine kuuza,then kilimo lazima kuwe na UZALISHAJI at maximum..
Hatuwezi kuwa na viwanda, kama kilimo hakijazalisha to this level..
Sasa utajenga viwanda,utatoa wapi malighafi ?
So,viwanda vinategemea kilimo,,,,
Kudismiss role ya kilimo kwenye uchumi,ni kua kwenye denial