kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
Pepo la DINI. Yes I mean it.
We ndio pepo mkubwa humu jf.
Unatakiwa ukemewe na padri wote.
Pepo la DINI. Yes I mean it.
Asante kaka,jibu limeniridhishakatawa matendo mema ni
1. Yale yasiyoathiri uumbaji wala nafsi kwa namna yoyote ile
2.Yasiyo chukizo mbele za MUNGU
3.Yasiyoleta maumivu na hasara kwako na kwa wengine
4.Yasiyo na hila fitina wivu kijicho husuda ulafi na yasiyoacha hisia za kuhukumiwa na nafsi
Hahahahaaaa osie waahemba iwe
sawa bro halafu fanya kuirudisha ile thread yetu mi upweke nimechoka kesha peke yangu....
Kaka MSHANA, 1Yoh 3:8,atendaye dhambi ni wa abilisi,kwa kuwa ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo kwa kusudi hil mwana wa Mungu alidhihirishwa ili azivunje kazi za shetani.
Dhambi ni uasi na shetani aliasi, kwa hiyo kazi lake kubwa kutushawishi tuasi twende Motoni pamoja naye,kaa ndani ya Yes na umuombe akushindie peke yako huwezi.
Nimeona watu wengi wasomi wanajaribu kuproove mambo ya roho na elimu,saikoloji,hekima zao nk,huwezi Mungu utamjua kwa neno lake tu, Zab 25:14 "siri ya BWANA iko kwao wamchao. Nate atawajulisha agano lake"
Ukifungua mlango wako roho za ibilisi ikakuingia lazima utatenda dhambi kwani mapepo yanasubiri yafanye kazi yaliyotumwa na baba yao Lucifer