Mapepo matano yanayoitesa dunia

Mapepo matano yanayoitesa dunia

Utaambiwa una msongo wa mawazo shauri zako
 
Hapana ni majini ya bahri ambayo makafir wanayaabudu

Hatupaswi kwenda huko ! Hii post haimaanishi kuleta kashfa kejeli na dhihaka za kidini uongo wizi ulevi zinaa na roho ya kisasi havina dini rangi wala kabila
 
Liepuke hilo rubii ni baya sana kwakuwa lina husika kwa kiasi kikubwa kuharibu kuangamiza na kufisha kabisa

sawa bro halafu fanya kuirudisha ile thread yetu mi upweke nimechoka kesha peke yangu....
 
Last edited by a moderator:
Yote hapo sipo dah! Mimi nina pepo moja tu, pepo la kutoa bila kukumbuka.
 
Andrew gayo Ahsante kwa kutufunga na Mungu akubariki .

Aka miye ajanifunga!
 
Andrew gayo Ahsante kwa kutufunga na Mungu akubariki .

Aka miye hajanifunga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom