Pepo hilo...!!!
Ha ha haaaa,Mtumishi wa Mungu asante kwa ujumbe huo ila naomba uamini dhamira yangu.
Kwanza ni kweli Mimi ni mpweke ila tofauti siku hizi sikeshi kwani huwa namuomba yule aliyetuambia tumpelekee mizigo yetu, kanituliza.
Naijua adha kama moyoni huna neno la Mungu na ukiwa kwenye hali ile,ibilisi atakufunga na kisha atakupelekesha utende dhambi,dhamira yangu je anaweza akanielewa kwanza amkubali Yes mume wa asiyekuwa na mume? Mengine majaliwa,nikaogopa Mara nyingi tunaambiwa tumechanganyikiwa,ila the language used was somehow cumbersome,pardon me I am as harmles as sisimizi