Mapepo matano yanayoitesa dunia

Mapepo matano yanayoitesa dunia

Tehee...teheee...tihii ! Fool ni wewe na huyu mjombako mlio asi Kanisa !:becky:
Na wewe utakuwa umenaswa na pepo la upumbavu; kuasi kanisa maana yake nini; kama sio udini: Mwite fool kama kavunja mapenzi ya mungu na amri zake; sio kwa kete ya udini ama ukanisa. Ukanisa ni kama vyama vya siasa vinavyotafuta kuingia mbinguni;
Mungu hakuagiza ujenge makundi Yeye anatambua watu wake; waweza kuwaita kundi lake au kanisa lake lakini sio hilo waliojiundia wanadamu. mfano Ukatorik, urutheli; na hata uislam ni vya kibinadamu MUNGU HATAMBUI MAKUNDI HAYO BALI LILE LINALOFUATA MAPENZI YAKE. Sasa ni juu yako kulipa jina ulitakalo lakini kundi hilo ni jumla ya binadamu yeyote awe mwarabu, muislamu nk. Katika biblia kundi alitambualo Mungu lifuatalo mapenzi yake linajulikana kama kanisa lake. Sasa pepo la upumbavu limewagawa watu; utakuta katolik anasema ndio hilo kanisa haya mrutheli nae hata mpentekoste anajitambua kuwa kanisa lake ndio mengine sio. UPUMBAVU KUTETEA UDINI NA KUJIONA NYIE SAHIHI WENGINE SIO. MTEGO UPO HAPO!
FUATA MAPENZI YA Mungu yeye ndio atakutambua kuwa upo katika kanisa lake au kwa jina jingine kundi lake atakalo hakikisha linaingia mbinguni. Acha kutetea ufool
 
INAHITAJIKA NGUVU YA ZIADA KUMUELEWESHA MTU ALIENASWA NA PEPO LA UPUMBAVUWA KIDINI; MUNGU TUSAIDIE. Mana hata akielewa upumbavu wake jeuri inaendelea kumnasa katika upumbavu huo
 
Mcharo son kwenye kitabu cha mithali kuna mstari unasema "Ni heri kukutana na mnyama mkali kuliko kukutana na mpumbuvu katika upumbavu wake
 
Halafu watu wanaona Ni sifa kuwa hivo
hivi unaweza kujivunia involuntary action mkuu?

Kuna nguvu maalum ambayo wewe huwezi kuikwepa, lazima tu uifuate.

Tofautisha nguvu ya kwenda safari kwa mfano ambayo unaweza kuiahirisha, na nguvu ya kupiga chafya!

Different..


cc unknown.
 
kuishi kwa mazoea ndo maana hayo mapepo yanakuwa magumu kutoka katika maisha ya wanadamu wengi sana
 
Mcharo son kwenye kitabu cha mithali kuna mstari unasema "Ni heri kukutana na mnyama mkali kuliko kukutana na mpumbuvu katika upumbavu wake

NA zao kuu la upumbavu na ndugu yake jeuri ni kukufuru kitu ambacho Ally Kombo anakielewa na kukishabikia kwenye avator yake kanukuu QUR'AN 2:171 soma hapo juu
 
Last edited by a moderator:
hivi unaweza kujivunia involuntary action mkuu?

Kuna nguvu maalum ambayo wewe huwezi kuikwepa, lazima tu uifuate.

Tofautisha nguvu ya kwenda safari kwa mfano ambayo unaweza kuiahirisha, na nguvu ya kupiga chafya!

Different..


cc unknown.

kwa TAARIFA yako kuna nguvu nyingine pia INAYOWEZA kusaidia kuzuia hapo unaposema huwezi kukwepa. nayo ni NGUVU YA MUNGU TUIPATAYO KUPITA ROHO WAKE MTAKATIFU. Bila hiyo shetani atakupiga bao na kujikuta huwezi kumzuia. Yesu alitambua hilo na alihakikisha roho wa Mungu anakuja duniani kutoa msaada huo. sasa ni juu yako kuhakikisha unampokea huyo roho mtakatifu. SIO LAZIMA UWE MKRISTO MANA YEYE NI MUNGU NA HANA DINI ndio mana hata hao wakristo wengi wao hawana huyu roho ndio mana wanfanya vituko japo wanaenda kanisani kila juma2
 
Jamaa angu mbna unataka kuharibu thread yetu.... Ww unapenda sana kulumbana mambo ya dini na sijawahi kuona comments zako kwenye thread za kawaida ww kuponda dini ya wenzako tu...k
unamjua ishmael? yeye coment zake ziko vipi?
 
Hivi ni pepo au mashetani? Peponi si ndio huko mbinguni au?

Neno moja laweza kuwa na maana hata sita,kulingana na muktadha.
Mfano; pepo,kata,vunja,ota,tia,choma n.k.

Pepo iliyotumika hapo inamaana ya shetani!
 
Mi nahisi yote hayo yanachangiwa na Pepo moja kuu ambalo ni TAMAA...ukiwa na tamaa utakuwa muongo, mwizi, mzinzi na mengne ya kufanana na hayo...!!

Tamaa mbaya ndio baba wa mapepo hayo,yanayotumwa na shetani.

Maana kuna tamaa nzuri pia!
 
mie nina pepo namba5 kaka mshana jr niombee mwenzako

Jifunze kusamehe,kuhurumia na kusahau.omba mungu atakusaidia kulishinda hilo pepo.

Amini hakuna binadamu aliyekamilika,
Hata wewe unaweza kuteleza/kukosea.JE,NAWE USISAMEHEWE? La,usamemehewe ila ukanywe.

Basi usimfanyie mwenzio jambo ambalo hupendi kufanyiwa.

Same he 7x70.
Samehe nawe utasamehewa.

Mapepo ni roho za shetani!

Omba sana mungu,atakusaidia,utaacha kulipiza visasi.
 
Last edited by a moderator:
Tamaa mbaya ndio baba wa mapepo hayo,yanayotumwa na shetani.

Maana kuna tamaa nzuri pia!

Itabid tamaa nzuri tuitafutie jina zuri maana hili linaloanza na tamaa linapungukiwa kaupako Mkuu..!!
 
Hakuna cha kufanya zaidi ya kuishi kwa kutenda yaliyo mema kwakuwa kila kitu kimeumbiwa mbadala wake
Mshana naomba unieleze matendo mema ni yepi?
nawezaje kujua kuwa haya ni mabaya na yale ni mema?
mf kwenye jamii ya mashoga ushoga ni jambo jema lkn kwenye jamii nyingine sio jambo jema.
 
Mshana naomba unieleze matendo mema ni yepi?
nawezaje kujua kuwa haya ni mabaya na yale ni mema?
mf kwenye jamii ya mashoga ushoga ni jambo jema lkn kwenye jamii nyingine sio jambo jema.
katawa matendo mema ni
1. Yale yasiyoathiri uumbaji wala nafsi kwa namna yoyote ile

2.Yasiyo chukizo mbele za MUNGU

3.Yasiyoleta maumivu na hasara kwako na kwa wengine

4.Yasiyo na hila fitina wivu kijicho husuda ulafi na yasiyoacha hisia za kuhukumiwa na nafsi
 
Last edited by a moderator:
1.Pepo la uongo

2.Pepo la uzinzi

3.Pepo la pombe na madawa

4.Pepo la wizi

5.Pepo la kisasi na malipizi

Haya ndio mapepo matano makuu tunayoyaabudu na kuyasujudia kuliko hata dini na imani zetu; ni mapepo yaliyotukamata hasa. Pepo la uongo likiwa ndio kubwa lao. Hakuna ambaye si muongo, mwizi, mlevi nk, hata ukikuta mmoja hana pepo hili basi utamkuta na pepo/mapepo mengine na wengi wetu tunayatumikia kwa utiifu mkubwa kabisa lakini bila ridhaa zetu tuko chini ya himaya zao.

Chunguza maisha waishiyo watu, mambo wafanyayo nyuma ya pazia na vile wanavyojiweka mbele ya kadamnasi utashangaa mno. Tuna watu ambao hawapitwi na Chupi wala suruali, kuna watu ambao bila kupata japo tusker baridi hawawezi kupata usingizi, tuna watu ambao wana mali nyingi tu lakini ameshazoea kuiba, yeye asipoiba anakosa amani kabisa, anaiba hata visivyoibika.

Kuna wale ambao wasipodanganya wanaugua kabisa, anadangaya familia, kazini, mtaani kwa jioni boss wake yeye anadangaya tu. Ni pepo sio yeye.

Haya yote yameleta matatizo makubwa kabisa tuliyonayo duniani kwa sasa. Visasi na malipizi vimeleta vita visivyoisha, ngono, wizi na ulevi vimeleta matatizo si haba.

Cha kushangaza ni kwamba ukiacha pombe labda na sigara wengi wetu hatuko tayari kuyasema waziwazi mapepo yetu.
Pepo la DINI. Yes I mean it.
 
hivi unaweza kujivunia involuntary action mkuu?

Kuna nguvu maalum ambayo wewe huwezi kuikwepa, lazima tu uifuate.

Tofautisha nguvu ya kwenda safari kwa mfano ambayo unaweza kuiahirisha, na nguvu ya kupiga chafya!

Different..


cc unknown.

U can control but you don't want
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom