Mapepo matano yanayoitesa dunia

Mapepo matano yanayoitesa dunia

Mshana umenena yote uliyosema ni kweli tupu sasa nini kimefanyike ili dunia iondokane na hayo mapepo na wanadamu wapone?
 
Mshana umenena yote uliyosema ni kweli tupu sasa nini kimefanyike ili dunia iondokane na hayo mapepo na wanadamu wapone?

Hakuna cha kufanya zaidi ya kuishi kwa kutenda yaliyo mema kwakuwa kila kitu kimeumbiwa mbadala wake
 
Umehubiri saana. Ubarikiwe. Wasomani tufanyie kazi ujumbe huu kuepuka mapepo haya. Neema ilishatolewa siku nyingi. Tuamue sasa
 
Binadam amejaliewa utashi na maarifa.. Hekima ya Kimungu ikukuongoza utayashinda..
 
chanzo cha haya yote ni nini?kwaha tizi ni ccm.je nchi nyingine je?
 
mshana jr
Wataalamu wanasema ni hulka ya mwanadamu kutafuta kitu cha kusingizia anapofanya kosa ili asionekane ametenda yeye kwa utashi wake. Hapa watu wanatumia gea ya ''mapepo'', kumbe ni tabia ya mtu mwenyewe na wala si pepo. Naamini Biblia na naamini kuna mapepo lakini sio kiasi hicho.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samahani sikubaliani nawe.Hayo uliyoorodhesha kuwa ni mapepo siyo mapepo.Ni aina ya maisha (lifestyle) tu.Mbona mtu/jamii ukiamua/unaweza kuacha tu.Ulevi!uzinzi!wizi!uwongo!kisasi! mbona vinadhibitika tu.Usisingizie mapepo.
 
hilo pepo la uzinzi limemuingia Padre Slaa mpaka akakimbia kanisa
 
Mkuu samahani sikubaliani nawe.Hayo uliyoorodhesha kuwa ni mapepo siyo mapepo.Ni aina ya maisha (lifestyle) tu.Mbona mtu/jamii ukiamua/unaweza kuacha tu.Ulevi!uzinzi!wizi!uwongo!kisasi! mbona vinadhibitika tu.Usisingizie mapepo.

Asante kwa mchango
 
Last edited by a moderator:
1.Pepo la uongo
2.Pepo la uzinzi
3.Pepo la pombe na madawa
4.Pepo la wizi
5.Pepo la kisasi na malipizi
Katika wagombea urais wa sisiem waliojitokeza mpaka sasa nitajie mmoja ambae hana hata moja katika hayo tumpigie debe. Mind you social media sikuhizi zina nguvu kuliko hata magazeti
 
Namba 1 na 2 havikwepeki kabisa jamani, yaani waweza jitahidi we lakini unajikuta umenaswa!!
 
Ally Kombo leave that foolish behaviour to little children to behave like that does not benefit you
Stop despasing people's faith as if you are a little foolish idiot
........naamini mpum.bavu wa kupindukia ni wewe uliye leta mambo ya kufikirika !.......Vipi Yesu naye ana pepo la kuwabebea dhambi zenu !!? :confused2: mshana jr
 
Last edited by a moderator:
hilo pepo la uzinzi limemuingia Padre Slaa mpaka akakimbia kanisa

Dr Slaah-upadrisho.JPG
mshana jr, mzaramo .......... :confused2:
 
Last edited by a moderator:
Umesahau pepo la kupenda pesa

Ongezea na pepo la upumbavu na kiburi; hili ndio linawafanya watu waiache kweli ya Mungu na kujikita kwenye UDINI wakiamini ndio KWELI YA MUNGU wakati Mungu hana dini wala hatambui dini; Yeye Muumba anachotambua duniani kuna viumbe wake. Sasa utalikuta jitu limepagawa na pepo la upumbavu na kiburi haliambiwi kitu; ati hoo DINI yetu ndio ya Mungu nyie na dini yenu sio; hapa jitu lipo tayari kuutoa uhai wake na ndugu zake kutetea kitu DINI bila kujua ni pepo la upumbavu lililotumwa na shetani kuhakikisha linawapotosha binadamu kwa kutumia kete UDINI.
UKWELI NI kwamba udini ni mpango wa shetani kuwagawa watu wa Mungu wakaitalifiana na kujikuta wakimkosea Mungu. Hapa shetani alitumia akili sana na kawapata wengi. Ilianzaje ni hivi; wale wanaomfuata Yesu wakasema ni wakristo na akahakikisha wanajitenga kwa kutumia dhana Ukristo; Pepo la upumbavu ndio lilipoanza kazi mana kikundi hiki kilijibagua kwa dhana hiyo. Pia waliomfuata Muhamad nao wakajitenga kwa dhana yao na kujiita Waislamu. Hapo pepo la upumbavu lilihakikisha linapiga upofu makundi haya kila mtu anamnyooshea kidole mwenzake na kiburi juu. kila binadamu akajitenga kwa dhana ya udini ambapo dini nyingi zimezuka kusababisha vikundi vikundi vinavyorumbana nyiani wasijue wapi wamesimama bila kujua tayari wamenaswa. MFANO kuua kwa kutetea au kuongeza dini yako ni upumbavu unaosababishwa na pepo Kwani Mbinguni hakuna dini bali kuna wale wayafuatayo mapenzi ya MUNGU sasa nyie mnaoua kwa jina la dini mjue mbinguni hakuna hiyo kitu na mungu anachukia hiyo kitu mana hajaianzisha. Hata mkifika mbinguni mtataka kuendeleza upumbavu wenu wa kuua na kueneza dini yenu mana mtakuta kule haipo. Sasa unafikiri mungu atakuruhusu ufike kwake??; mmepotea huo ni ushetani maana yeye ndio bingwa wa kujisifia na ndio kilichomfanya afukuzwe Mbinguni.
Mwisho nasikitika kusema pepo hili limewanasa wengi hasa wale wanaojiona wapo mstari wa mbele kuelekea mbinguni (wanafikiri mungu ataruhusu wenye udini waingie kwake wakaendeleze migogoro! wapi)na ukiwa na pepo hili lazima na ujeuri ukuvae wa kutetea upumbavu huo.
SURUHISHO. KEMEA PEPO LA UPUMBAVU HUU na usimshambulie mwenzio kwa sababu ya udini. Fanya kivyako Mungu atakukubari ukifuata mapenzi yake bila kujari dini yako mana yeye hatambui hiyo.
SUBIRI WALE WENYE PEPO HILI WATATOA MAPOVU SASA HIVI MANA SINDANO YA DAWA IMEINGIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom