Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli.
Wanatengeneza mazingira ya kuwasumbua watoto, wazaz wao wameshaona shida wao wamezama kwenye hubba hawaon shida.
Yaani mnakaa mnaambiana mtaoana ndoa ya serikali?Kwanza wazaz mbona wanaweza kuungana kuwatosa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu unadini kabisa inayoamini katika Mungu alafu ufunge ndoa ya kipagani kweli!!!
 
Kwahio stori yako sio tu kwa upande ulioukusudia haya huwa yanatokea hata kwa rafiki to wa kawaida au ndugu zako au wazazi wako ilimradi kama mtu alikufanyia wema kisha ww ukawa hukusamini eema ule basi yatkukuta tu au kumfanyia mwenzio ubaya Wakati yeye alikutanfea wema itakurudi
 
Kuna mwingine unaomba msamaha akusamehe anagoma katakata.Nifanyeje?
You cant blame him/her sababu ulimuumiza
kwaio inapofikia hatua hio usikate tamaa endelea kumshawishi pia shirikisha watu wachache wwakusaidie ktk hilo. Utakapopuuzia hakika itaenda na hauta prosper sababu kuna mtu umemkosea na ameumia sana na anatembea na hicho kitu moyon ni mbaya sana na zaid awe anakumbuka
 
Kwahio stori yako sio tu kwa upande ulioukusudia haya huwa yanatokea hata kwa rafiki to wa kawaida au ndugu zako au wazazi wako ilimradi kama mtu alikufanyia wema kisha ww ukawa hukusamini eema ule basi yatkukuta tu au kumfanyia mwenzio ubaya Wakati yeye alikutanfea wema itakurudi
Ni kwel ndug yangu
 
Samahani wakuu am out of content but things seems to overwhelm me. very hard period of time I have in my relationship that's why anaecomment kwa mzaha namshangaa Sana. ila haya maisha ni mzunguko lisipokupata leo litakupata kesho japo laweza kuwa la aina tofauti. nashukuru wote wanaotoa michango ya mawazo.
 
Samahani wakuu am out of content but things seems to overwhelm to me. very hard period of time I have in my relationship that's why anaecomment kwa mzaha namshangaa Sana. ila haya maisha ni mzunguko lisipokupata leo litakupata kesho japo laweza kuwa la aina tofauti. nashukuru wote wanaotoa michango ya mawazo.
 
Samahani wakuu am out of content but things seems to overwhelm me. very hard period of time I have in my relationship that's why anaecomment kwa mzaha namshangaa Sana. ila haya maisha ni mzunguko lisipokupata leo litakupata kesho japo laweza kuwa la aina tofauti. nashukuru wote wanaotoa michango ya mawazo.
Pole ndugu yangu
 
Valentina hivi vitu vipo sem watu hua wanachukulia simple sana, lakini vikija kufumuka kama vilivyofumuka kwa huyo dada wa kwa Prophet Bushiri unakuta its too late and the damage has been done
Mr Pato kila nikikujuza kunicheki unajisahau kumbuka tuliyoyafanya ndugu nicheki plz 0783848802
 
Wtt mnawaacha wachague wenyewe atakaependa kumfuata baba Poa atakaemfuata mama nae Poa tuu
Unamuacha achague akiwa na umri gani? Maana msingi wa dini mtoto anajengewa tangu ananyonya.
 
Back
Top Bottom