Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

dada yako huyo.........wacha kujifanya malaika wewe..... Tubu Mrudie Mungu wako mwambie mahitajio yako .....bwege wewe......umeshindwa kulitatua huko hapa tunakushauri na kukusukumia kule.....akili mbovu sana...
Wewe umemrudia? nyie ndo wale wachungaji Wapiga bapa Acha UK! kama hauna cha kushauri Kaa kmya. nahitaji crucial advice sio kujifanya we mtakatifu.
 
sijasema mimi ni mtakatifu,,, na wala siwezi kuwa......ushauri wa nini ........zaidi ya wazazi wako nani anaweza kukushauri......wacha kutumia makalio kufikiria ngono.......tafuta wa kwako....huyo sio.....bwege wewe....
 
wewe Ndie unafikiri kwa kutumia kalio kwakufikiri ushauri upo kwa wazazi tu. umuhimu wa kuwepo jamii ni nini ushauri unaweza upata kwa mtu mwenye akili timamu yeyote na ukakusaidia au usikusaidie kulingana na utakavyo uchambua na kujiridhisha nao Usiwe boya kwa kukariri.
 
Hili limekaribia kunikumba a have a lot of stress. Nilitaka kuomba ushauri nikasema nivumilie kidogo. kifupi Nina mahusiano na binti wa dini tofauti lakini tunapendana sana na mwaka huu nilipanga panapo majaliwa tuoane. tatizo Mwenzangu anataka Mimi nibadili dini nimfuate yeye, na hofu kubwa aliyonayo yeye kwao wanataka ndoa ya kiislam tu hawataki abadili wala hawataki ya serikali. na hivi karibuni amepata shinikizo na ameanza kubadilika na kuwa na msimamo mkali kuwa nibadili dini mimi kama sitaki tuachane. na Nina miaka zaidi ya 3 tupo kwenye relation na hatujawahi gombana kufikia hatua ya kutamani kuachana. sasa nina mtihani mkubwa hata jibu silipati yote ninayojaribu wazee wake wa imani kali anaogopa kutingwa. na Mimi sipo tiyar kamfuata mwanamke dini yake coz naamini katika dini yetu. ila tunapendana Sana Sana naomba ushauri wa kujenga please and please wadau.
Huu ni UZI kabisa mkuu, anzisha uje kushauriwa huko
 
Achana nae kwa amani... Tafuta wa dini yako
 
Hivi hii ina uhusiano na mada au mimi ndio slow leaner!!
 
Usibadili dini hata kama unampenda vipi
Kuwa na msimamo wako wewe kama mwanaume,
Mwanamke asikupelekeshe wala kukuyumbisha kwa mambo madogo kama hayo.
Akikataa kubadili yeye muache aende zake ila one day atakukumbuka tu.

* BEST REVENGE IS TO SUCCESS.
 
Kwani mwanzon utajua nini?? Mnakutana unampenda na yeye anakuonesha anakupenda lakin kumbe ni uongo na mwisho wa siku kitu alichokua anakihutaji ameshakipata ama alichokua anakipata kutoka kwako kila akiwa na shida kimeisha bas na mapenzi yanaishia hapo na ndo utakuta ugomvi usioisha na kutafuta sababu alimradi muachane apate kwenda kwa mwingine. Kwaio wewe ni kama alikutumia tu. Umenipata sijui
Yaah nimekupata.
 
Back
Top Bottom