Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

Hili limekaribia kunikumba a have a lot of stress. Nilitaka kuomba ushauri nikasema nivumilie kidogo. kifupi Nina mahusiano na binti wa dini tofauti lakini tunapendana sana na mwaka huu nilipanga panapo majaliwa tuoane. tatizo Mwenzangu anataka Mimi nibadili dini nimfuate yeye, na hofu kubwa aliyonayo yeye kwao wanataka ndoa ya kiislam tu hawataki abadili wala hawataki ya serikali. na hivi karibuni amepata shinikizo na ameanza kubadilika na kuwa na msimamo mkali kuwa nibadili dini mimi kama sitaki tuachane. na Nina miaka zaidi ya 3 tupo kwenye relation na hatujawahi gombana kufikia hatua ya kutamani kuachana. sasa nina mtihani mkubwa hata jibu silipati yote ninayojaribu wazee wake wa imani kali anaogopa kutingwa. na Mimi sipo tiyar kamfuata mwanamke dini yake coz naamini katika dini yetu. ila tunapendana Sana Sana naomba ushauri wa kujenga please and please wadau.
Watu wa namna hiyo wakuachana uzoefu umeonyesha huwa wana tabia ya kukumbushia baadae.
 
Nilitaka kuanza Uzi ila naona umegusa yale ambayo nilitaka kuyasemea..

Uliyosema ni kweli,kweli kabisa.... Na ndomana ndoa nyingi hazidumu kutokana na hizo KARMA ambazo tunafanyia wengine

Sio ndoa tu hata mahusiano ya kawaida !
 
Back
Top Bottom