The world is fair because it is unfair to everybody! People are not living their own life, full maigizo
inahitajika ukauzu ili uende nayo sawa, Unayemwamini kwa 100% ndiyo atakayekutendea baya kuliko asiyekujua,
Watu tuna maumivu yetu usione tupo kimya, Si Wapenzi, Si Marafiki saa zingine hadi ndugu!
Tulipofika unahitaji kuwa Kauzu zaidi ya dagaa Bhaasi!!!!
Swala la kumtenda Mwenzako inategemea na makubaliano yenu,
But take it from me Mambo hayako hivyo,
Rafiki yako wa karibu unamshirikisha mipango yako kumbe anakulia timing,
Msichana anamtambulisha Boyfriend wake kwa rafiki zake wa kike, walewale rafiki zake wanamzunguka!
Weka Ubinadamu Pembeni, Vinginevyo utapotea!