Mapenzi yanauma jamani

Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Umekwisha atalala na mwingine kama kawaida maana keshajua ushakuwa dhaifu kwake na huna la kumfanya. Mimi nikigundua ameni cheat palepale tunamalizana afuate yake nifuate yangu.
 
Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa

Kuna relationship wote mnaumizwa na challenge mliyonayo.
Kuna relationship mmoja anaona ni sawa kuwa na challenge hiyo na hata kukupoteza ni fresh tu..

Hii ya kwanza fight for it, mkae sawa!!
Hii ya pili, kula buyu, ikuume ikuepuke!!

Mahusiano yote yana ups and down.
Sio wana mahusiano wote wako tayari kupambana uhusiano ubaki sawa.

Usijiumize zaidi ya kupambana vita uliyokwisha shindwa aseeh!!
 
Ndio alikutoa bikra ama alikuta njia tayari
 
Mkuu me pia bado nipo kwenye hali kama yako Ila nimepata dem mpya sawa lakn bado akili yangu ipo kwa yule dem yaan cjui kaniloga maana uyu wa saiv kila ninach hitaj ananipa Ila bado cridhiki namtaka yule wa mwanzo japo yeye kuna alivykuw ananinyima huw naomba mungu aje ata aniombe msamaha basi lkn kakaza saiv tuna siku 4
 
Hawa madogo Bwana, mm kanuni yangu lazima niwe na mademu wawili na wote huwa nawapenda the same percent akizingua mmoja na baki na mwingine akikausha hapo anakuwa ameliwa kichwa tayari
 
Pole mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…