Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

relax na utulize ubongo ufanye mambo yako. hawa viumbe unaweza hujamuuzi,hujamfanyia ubaya wowote, ukampenda na umasikini wake, ukamheshimu na bado isitoshe yeye kuwa na wewe! haukuwa chaguo lake kampata aliyekuwa anamtafuta basi kubali yaishe unavyolia ndo ananenepa!
 
Pole, usishangae siku akarudi kwa magoti. move on sahau.
 
Nenda insta kwa usipojipanga utakuta watu wanakunywa kojo na kunuia kusahau afu wanaleta ushuhuda wamesahau, sijui ya kwel yale. Jaribu afu ulete mrejesho. N.b pole sana.
 
Pole sana sister ,hivyo ndio vijimambo vya Duniani hakuwa chaguo lako huyo alikuwa chaguo la wengine wewe wako yupo tu
 
Pole sana dada, jaribu kujichanganya sasa na marafiki na mizunguko ya washikaji ya hapa na pale, uta sahau , kwa kua ame onyesha nia hiyo, ina maana hawezi rudi nyuma hivyo nawe yakupasa kuto kurudi nyuma tena, Kama ni muamini asali kwa Imani yako uta poa na kusahau, angalizo usiweke kinyongo kwa mwingine utakaye mpata, maana uzoefu una onyesha asilimia kubwa kwa mpenzi atakae dhurika kimapenzi awe mwanaume au mwanamke , mahusiano mapya huwa magumu zaidi kwa kua mtu hukumbuka ya awali . Kila la kheri.
 
Mwache aende akafie mbele..jipende wewe zaidi maisha yataenda
 
pole mpendwa...wanaume ndivyo walivyo...ipo siku yao mioyo yao itumizwa tuuu...atakukumbuka uko wapi hata umliwaze wakati huo atakuwa ameshachelewa..muda huo utkuwa umepata chaguo sahihi...nasema ipo siku tuuuu wanaume wataumizwa mioyo yao...kama wanavyotuumiza sisi...nasema ipo siku tuuu wanaume wataumizwa mioyo yao waangalie mbingu iwe ardhi hakuna wakuwafariji....

Aiseee dada umewalaani kweli hawa viumbe. But jifunze kusamehe na sio kulaani, wakati mwingne mtu anakuacha akijua kakukomoa kumbe anakusaidia pasipo yeye mwenyewe kujua. Unaweza jikuta unakua mtu bora zaidi baada ya kuachwa. Si kila akuachae anakutakia mabaya. Kuna mengne Mungu anakua anakuepushia majanga
 
huko hakunifai and may be ufanye utaratibu wa kujipakuwa mwenyewe
Kujipakua mwenyewe haiwezekani mamii,sababu wewe ndio una nyenzo umeificha huko chini,sasa jaribu kutoa sadaka hapa,vile vile hata ukitaka nitachangia pesa ya sabuni.
 
wajinga ndio waliwao. kwanini ulifungua miguu kabla ya ndoa???
 
Yaaan uzi kama huu nikiuona natamani nitoe somo lakini mda wa kuandika siupati. Natamani niongee rala akaandike!

Hivi dada una umri gani kutojua hawa wanaume? Kwanza ukipata mtu from now vaa ngozi ya kondoo tumia vizuri miezi miwili ya kwanza kiasi kwamba likiondoka huna hasara! Jutu unalionesha kulipenda kuliko hata mama yako? Vaa ngozi ya kondoo fanya mambo yako likiondoka lipe na nauri ya kulisafirisha.
unaonekana kuwa na nyota ya u-single mama!!!
pole,ni jambo la kawaida katika mapenzi,
 
Yaani kuna siku nilisha wahi kuachwa na demu nili data hadi nikamtafuta mwanasaikologia akanipa msaada japo msaada wake kwa kiasi flani ulinisaidia now na miaka 7 sijawah kuwa na mahusiano na mwanamke nikiwa na shida naenda ilala naende kuchukua mzingo wa buku mbili jero natulinza mtima wangu!
misery life!!! wht about u'r health status currently ???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom