Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Pole mumy..mshukuru Mungu maana huwezi jua kakuepusha na nini....piga Konda Mr right wako yupo
 
Yaaan uzi kama huu nikiuona natamani nitoe somo lakini mda wa kuandika siupati. Natamani niongee rala akaandike!

Hivi dada una umri gani kutojua hawa wanaume? Kwanza ukipata mtu from now vaa ngozi ya kondoo tumia vizuri miezi miwili ya kwanza kiasi kwamba likiondoka huna hasara! Jutu unalionesha kulipenda kuliko hata mama yako? Vaa ngozi ya kondoo fanya mambo yako likiondoka lipe na nauri ya kulisafirisha.
hahahaaha umeandika kwa hasira mno...sio wote lakini...ila ajiulize wapi alichemka...
 
Pole sana...lkn changamoto ktk mahusiano ni nyingi....nakuomba utafute wanasaikolojia Particularly PROFESSIONAL COUNSELLORS hawa ni wataalamu wa kuweza kuongea na wewe vzur na utajisikia kuwa upo dunia nyingine nzur tofauti na hiyo ulipo kwa sasa.....utaanza maisha yako mapya mazur...maana Saikolojia inaponya. ukiona haina haja ya kuwaona hawa watu pia litakuwa jambo jema kwa kuwa. utakuwa umeshapata ahueni kwa control yako mwenyewe....b happy..songa mbele.
 
pole mpendwa...wanaume ndivyo walivyo...ipo siku yao mioyo yao itumizwa tuuu...atakukumbuka uko wapi hata umliwaze wakati huo atakuwa ameshachelewa..muda huo utkuwa umepata chaguo sahihi...nasema ipo siku tuuuu wanaume wataumizwa mioyo yao...kama wanavyotuumiza sisi...nasema ipo siku tuuu wanaume wataumizwa mioyo yao waangalie mbingu iwe ardhi hakuna wakuwafariji....
 
daah pole sana karibu sana nikufute machozi yako na utamsahau kabisa huyooo
 
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........
njoo maana mm namtafute mke unanifaa ww
 
Pole piga moyo konde yote yatapitaa kwny hii safari kila mtu hadithi najua utakuwa umejifunza kitu ambacho ulikusudiwa kujifunzaa
 
Miaka mitano hujamzalia unafikiri yeye kama kidume alikufikiria vipi eti,yawezekana kuna nyuma ya pazia miaka mitano hujamzalia na huna sababu ya msingi na yeye umri unaenda lazima achanje mbuga tuuu
Utanisamehe yawezekana hukuyajua ya moyoni mwake nini alitaka kwako
Halafu ikumbukwe mapenzi ya siku hizi ni kushindana, kama jamaa alikuwa mzima kiakili na afya njema ilikua nilazima akupige chini ili aanze maisha ya utu uzima
 
Tatizo lako ulimpenda sana,wenzio tunaangalia pesa kwanza mapenzi badae,mwanaume hapaswi kuonewa huruma km wao walivyo hawana huruma na sisi.BTW pole utakua umejifunza kitu
 
MICHAEL JACKSON LYRICS

"There Must Be More To Life Than This"
(with Freddie Mercury)

There must be more to life
than this
There must be more to life than this
How do we cope in a world without love

Mending all those broken hearts
And tending to those crying faces

There must be more to life than killing
A better way for us to survive
Why should it be just a case of black or white
There must be more to life than this

Why is this world so full of hate
People dying everywhere
And we destroy what we create
People fighting for their human rights
But we just go on saying c'est la vie
So this is life

There must be more to life than living
There must be more than meets the eye
What good is life, if in the end we all must die
There must be more to life than this

There must be more to life than killing
There must be more to life than this
I live in hope for a world filled with love
Then we can all just live in peace

There must be more to life, much more to life
There must be more to life, more to life than this
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom