Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Shukran mwinyi.
lakini nilitaka kukufahamisha tuu kuwa hiyo ni shairi la nyimbo nyimbo iliyopigwa na Culture.
mkuu hicho kigongo kimepigwa na NADI IKHWAN SWAFAA na sio CULTURE MUSIC CLUB.
mkuu hicho kigongo kimepigwa na NADI IKHWAN SWAFAA na sio CULTURE MUSIC CLUB.
GT umeingilia fani za watu sasa!
hahaha!kweli ni upendo!litakauka lini sasa?Nitakupenda mpaka ziwa victoria likauke!
Nikitembea mbele naiona sura yako,
Nipo tayari nife nikikukosa wewe,