Katika maisha jitahidi sana kuepuka mambo haya

Jebel

JF-Expert Member
Jul 10, 2021
306
2,041
Salaam;

Siyo vibaya kukumbushana mambo kadhaa katika maisha haya. Hapa simfundishi mtu jinsi ya kuishi, simzuii mtu kitu cha kufanya na wala simshawishi mtu kipi afanye.

Haya twende kwenye hoja.

1. Usijaribu kufanyia mapenzi ofsini kwako. Yaani iwe umeajiriwa usijaribu kumpeleka mchepuko wako ofsini kwako na kuzini naye. Mbaya zaidi kama umejiajiri usijaribu kufanyia mapenzi ofsini kwako. USIJARIBU UTANIKUMBUKA

2. Usijaribu kufanyia mapenzi kwenye gari lako au chombo chako cha usafiri. Ndugu usijaribu. Ukishupaza shingo usijeshangaa kila uchwao upo gereji. Usijaribu Utanikumbuka.

3. Usijaribu kufanyia mapenzi na mchepuko kwenye kitanda chako na mkeo au mmeo. Kama unaogopa mikosi na nuksi zinazoweza kuvunja ndoa yako basi usijaribu. Utakuja nikumbuka

4. Usijaribu kuruhusu mwenza wako athibitishe kwamba unachepuka. Ndugu usirogwe ukaruhusu jambo hili. Kama kabisa umeshindwa kujizuia kuchepuka basi tumia akili sana walau abakie na doubt tu asije confirm. Kama huna akili ya kumfanya asithibitishe basi usichepuke. Utakuja nikumbuka.

5. Usijaribu kufanya mapenzi na mwenza wako(hasa mkeo) mara utokapo kuchepuka kabla hujaoga. Maji yanaondoa nuksi na mikosi. Usijaribu hata kumbeba mwanao unapotoka kuchepuka kabla hujaoga. Utakuja nikumbuka.

6. Usijaribu kuchepuka na jirani yako. Hapa wahenga wasema, “ukitaka kujisaidia basi nenda porini mbali ukijisaidia ndani kinyesi kitakutesa mwenyewe”. Ndugu ukitaka kunya basi kanye mbali na kwako. Utakujanishukuru.

7. No matter ni mzuri kiasi gani, DADA YA KAZI wengine wasema beki tatu wengine wawaita namba saba. Rafiki usijerogwa ukamtafuna. Kama unapenda ndoa yako mwache tu wale wengine. Utakuja nikumbuka.

8. Ndugu yeyote wa mkeo au mmeo kaa naye mbali, usije kula au ukakubali kuliwa. Utakuja nikumbuka

Yapo mengi ila kwa jioni hii ni hayo tu

La Aquila non capit muscas!
 
Ahora vamos
 
Usijaribu kutumia mlango wa nyuma moyo wako utasononeka sana ikiwa upo na Mungu na kama
ulilazimisha uyajue yaliyomo utakua na sonona siku zote za maisha yako,
maana hakuna maajabu zaidi ya virus na bacteria. Ikiwa moyo hauna Mungu ukijaribu wakukutoa hayupo mazuri na mabaya yote yako kikubwa uwe na hela ya matibabu.
 
Mengine ni sawa ila namba 7 uongo kwa kweli,yaani nimtoe binti kijijini kwao hoi,nimlishe,nimvishe, anawili anone halafu atafune mwingine,haikubaliki hakika 😂😂😂😂

Kwa kweli Beki3 sijawahi kuacha,yaani nimnonoshe mimi ale mwingine?😂😂
Shemeji zangu nimekanyaga wawili kabisa;kisa shemeji aliachika kwake kwa upumbavu wake na badala ya kukimbilia kwao akakimbilia kwangu na watoto wake wawili na hataki suluhu na mmewe, so nikaanza kumtunza yeye na wanawe kuanzia chakula,afya,mavazi n.k nikaona huu ni usenge ikabidi niwe namtafuna tu kujilipa angalau kupooza machungu.Mmewe amekuja kumchukua nimeishamkongolowa vibaya sikuwa na namna.Huyu mwingine niliambiwa nimtunze baada ya kumaliza chuo,kazi amekosa kiasi kwamba mpaka mavazi nanunua mimi kupitia kwa wife,so mimi ninafanyaje km si kumtafuna tu sina namna yaani means km naishi na wake wawili ambao ni ndugu.
Hivi vinakuja automatic sio kwamba unavitafuta kwa nguvu
 
Mengine ni sawa ila namba 7 uongo kwa kweli,yaani nimtoe binti kijijini kwao hoi,nimlishe,nimvishe, anawili anone halafu atafune mwingine,haikubaliki hakika

Kwa kweli Beki3 sijawahi kuacha,yaani nimnonoshe mimi ale mwingine?
Shemeji zangu nimekanyaga wawili kabisa;kisa shemeji aliachika kwake kwa upumbavu wake na badala ya kukimbilia kwao akakimbilia kwangu na watoto wake wawili na hataki suluhu na mmewe, so nikaanza kumtunza yeye na wanawe kuanzia chakula,afya,mavazi n.k nikaona huu ni usenge ikabidi niwe namtafuna tu kujilipa angalau kupooza machungu.Mmewe amekuja kumchukua nimeishamkongolowa vibaya sikuwa na namna.Huyu mwingine niliambiwa nimtunze baada ya kumaliza chuo,kazi amekosa kiasi kwamba mpaka mavazi nanunua mimi kupitia kwa wife,so mimi ninafanyaje km si kumtafuna tu sina namna yaani means km naishi na wake wawili ambao ni ndugu.
Hivi vinakuja automatic sio kwamba unavitafuta kwa nguvu
Daaaaa we kiboko
 
Mengine ni sawa ila namba 7 uongo kwa kweli,yaani nimtoe binti kijijini kwao hoi,nimlishe,nimvishe, anawili anone halafu atafune mwingine,haikubaliki hakika 😂😂😂😂

Kwa kweli Beki3 sijawahi kuacha,yaani nimnonoshe mimi ale mwingine?😂😂
Shemeji zangu nimekanyaga wawili kabisa;kisa shemeji aliachika kwake kwa upumbavu wake na badala ya kukimbilia kwao akakimbilia kwangu na watoto wake wawili na hataki suluhu na mmewe, so nikaanza kumtunza yeye na wanawe kuanzia chakula,afya,mavazi n.k nikaona huu ni usenge ikabidi niwe namtafuna tu kujilipa angalau kupooza machungu.Mmewe amekuja kumchukua nimeishamkongolowa vibaya sikuwa na namna.Huyu mwingine niliambiwa nimtunze baada ya kumaliza chuo,kazi amekosa kiasi kwamba mpaka mavazi nanunua mimi kupitia kwa wife,so mimi ninafanyaje km si kumtafuna tu sina namna yaani means km naishi na wake wawili ambao ni ndugu.
Hivi vinakuja automatic sio kwamba unavitafuta kwa nguvu
Kweli we Nyalumana
 
Back
Top Bottom