Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

Wanawake Michezo Yao Ya Kausha Damu Ndio Inawasumbua Inabidi Watumie Hadi Pesa Wanazopewa Kwa Matumizi Yao Binafsi Huko.

Kuna Mmoja Huyo Nilikutanae Na Michezo Yake Ya Kausha Damu Mara Laki Mbili Kwa Siku Kwa Wiki Wanachukua Mil 10.

Sasa Heri Acheze Mmoja Unakuta Ipo Mingi Bado Ya Mwisho Wa Mwezi Kiasi Cha Maana Pia.

Hapo Hata Uwe Mwamba Kiasi Gan, Kutoboa Kwa Huyo Mwanamke Ni Kazi, Inafika Mahali Huyo Mwanamke Kwenye Hiyo Michezo Yake Anashindwa Ibadi Wakati Mwingine Umsaidie Tu Maana Atatia Aibu.
Kausha damu nalo ni janga
 
Pole.siku mzuge omba likizo kazini asijue halafu jiweke kihuzuni foji barua umefukuzwa kazini huna kazi tena.tuone atareact vipi?

Wanawake wengi hatuna shukrani!
Vijana wazingatie AYA yako ya mwisho...

NB:
Mimi Huwa tunaweka mezani chake na changu
(Huyu wangu hapa nyumbani nimempa u PRIME MINISTER na u FINANCE MINISTER)

Alinipenda kipindi Sina kitu yaan kipindi nimepauka kapuku nimekondaaa kiàs ikitokea kumtongoza mdada walinikataa (Duces)

Dr am 4 real PhD upo wap namjibu nipo huku kwenye gari ya brother angu alikua anakasirika sanaa.. Mimi kuji attach kwenye Mali za bro....alipenda nitafute vyangu...

Mimi ndie dream man wake na tumepitia all odds in life Tupo pamojaa Huwa ananambia Kifo ndio kitatutenganisha..

Watu wengi wanatamani hii couple yetu ni mfano wa mapenzi ya dhati ya mume na mke...

Haya ni Kwa uchache
 
Haya Mambo Ni Mepesi Sana Kuyazungumza Ila Kuyatekeleza.

All In All Pesa Ya Mwanamke Ni Mwanamke Kama Mtu Hataki Vurugu Na Malumbano.

Mwanamke Akijisikia Kutoa Hiyo Ni Yeye Mwenyewe Akiamua Ila Usimpangie.
Aaah weee, mbona tupo sisi hela zetu zinaonekana? Mwanamke usimwambie afanye hivi na hivi kwa kutumia pesa yake , wewe acha uone atakavyofanya mwenyewe.

Wewe nunua vitu muhimu kama , mchele, nyama, samaki, mahindi, mafuta weka ndani. Uone kama atakuambia hamna nyanya, vitunguu nk, uone kama gesi ikiisha atakuambia, uone sukari ikiisha kama atakuambia. Uone pia luku ikiisha kama atakuambia uone pia kama hatomlipa mshahara dada wa kazi na kuwanunulia watoto nguo.

Hivo vitu wala hautajua kama vina vipo kwa sababu yeye mwenyewe anavisimamia.
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hakuna maumivu makali tunayopata sisi wanaume hasa pale tunapogundua kumbe "aliamua kuishi na mimi k asababu Fulani hasa kipato"au alikua na shida Fulani Sasa imeisha sina maana Tena kwake" hilo no sonona tosha yaani Kila kitu kina bei yake siku hizi hakuna kisicho na bei!!
 
Wapi huko mkuu?[emoji1787][emoji1787]
Huko tuendako ndoa itakuwa haipewi uzito tena , uzito uliopo sasa ni kutokana na jamii zetu kuona mtu ambae ajaoa kama mhuni fulani ivi , wadada wengi wanapenda ndoa ili jamii iwape tu heshima kama mrs fulani.


Unakuta dada kaolewa anapewa kibano kila siku na mumewe ila anaogopa kusepa kwa sababu mbili unakuta hana pakwenda ( kipato wala makazi) au anakipato na makazi ila anaogopa jamiii itamchukuliaje?

Unakuta mwanaume anateseka na ndoa ila anaogopa kumwacha kisa ana tako na ni pisi kali wahuni watakuja kumchukua ,kwa hiyo anaona avimbe tu .

Kingine kuogopa watoto watateseka au wataishi vipi bila upendo wa baba au mama.

Mimi sinaga hizo pigo,asee niliacha pisi ya moto na kila kitu ,wahuni wapige wasipige ,wapigie humo ndani kwa nyumba nimeijenga mwenyewe watajua wenyewe.

Hakuna kitu bora kama kuwa na amani na uhuru .
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
......Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi......
 
Back
Top Bottom