Wanawake wengi sahivi hawapendi kupika, tena walioajiriwa ndo kabisa, hawatakagi kugusa jiko HannahKwanini usioe? Utakuwa unapikiwa chakula na nani? Kwanza kwanini usioe? Unaogopa papuchi? Au unaogopa kuambiwa uoge kila siku😂😂.
Wewe utaoa tu kwa lazima