Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

Kwanini usioe? Utakuwa unapikiwa chakula na nani? Kwanza kwanini usioe? Unaogopa papuchi? Au unaogopa kuambiwa uoge kila siku😂😂.

Wewe utaoa tu kwa lazima
Watu wanajikatia tamaa ya kuingia kwenye ligi mapema kwa wanayoyaona na kuyasikia huko uwanjani.
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nikuhakikishie cha kwanza angalia unao mwanamke wa kabila gani. Jaribu kuoa mke mwingine utajakufa masikini bure. Tafuta mke mwingine. Huyo atakufanya ufe masikini
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
pesa sabuni ya roho
 
Mshahara wa serikali ushatoka mkuu,? Ili mapenzi yaanze tena ,,,
 
Back
Top Bottom