Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

Mkiambiwa oeni wanawake wenye kazi hamtaki. Mwanamke mwenye kipato asilimia kubwa mapenzi yake kwako ni genuine.

Sasa unaoa mwanamke anakaa tu nyumbani anategemea umpe hela ya chakula abane atoe hela za kikoba, za kusaidia ndugu nk, halafu unalalamika mapenzi yanaongezeka tarehe za mishahara?

Pole sana mkuu, pole sana. Vumilia tu.
Japo mimi sitaoa ,ila mwanamke mwenye kazi ni mtihani.
 
Mkiambiwa oeni wanawake wenye kazi hamtaki. Mwanamke mwenye kipato asilimia kubwa mapenzi yake kwako ni genuine.

Sasa unaoa mwanamke anakaa tu nyumbani anategemea umpe hela ya chakula abane atoe hela za kikoba, za kusaidia ndugu nk, halafu unalalamika mapenzi yanaongezeka tarehe za mishahara?

Pole sana mkuu, pole sana. Vumilia tu.
Nyinyi wenye kazi shida inakuja mnakuwa mnahudumia ndoa mbili
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
"Sishauriki"
🤣🤣🤣

Ila wanawake sisi sijui tinataka nini jmn!

Kaka Ako nae ana tatizo, haiwezekani wanawake 3 wote wawe na kasoro ye ndo Hana kasoro
 
Mkiambiwa oeni wanawake wenye kazi hamtaki. Mwanamke mwenye kipato asilimia kubwa mapenzi yake kwako ni genuine.

Sasa unaoa mwanamke anakaa tu nyumbani anategemea umpe hela ya chakula abane atoe hela za kikoba, za kusaidia ndugu nk, halafu unalalamika mapenzi yanaongezeka tarehe za mishahara?

Pole sana mkuu, pole sana. Vumilia tu.
Yote yaleyale tu
Wanawake sisi uwe na kazi ,isiwe nayo Tabia hizi wengi haziepukiki
 
Nilishaoa mara moja sidhani kama itajirudia tena , niliacha kila kitu nilichojijenga kimaendeleo ili tu nikimbie huo msala kwa sasa ni nature tu itaamua kama nirudi kwenye mapenzi ya kuishi kinyumba na mtoto wa mtu ama laa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Broo huu mwaka ni wa mwisho, mwakani utaoa tu ama tukuletee wife home kabisa.

Pole kwa ulichokutana nacho ila ni kwakuwa ulioa ubavu wa mtu. Safari hii tutahakikisha unapata ubavu wako ili uenjoy ndoa.
 
Mkiambiwa oeni wanawake wenye kazi hamtaki. Mwanamke mwenye kipato asilimia kubwa mapenzi yake kwako ni genuine.

Sasa unaoa mwanamke anakaa tu nyumbani anategemea umpe hela ya chakula abane atoe hela za kikoba, za kusaidia ndugu nk, halafu unalalamika mapenzi yanaongezeka tarehe za mishahara?

Pole sana mkuu, pole sana. Vumilia tu.
Mwanamke mwenye kazi ana matatizo yake pia,namshauri mleta mada,amrekebishe huyohuyo mke wake,waendelee kuishi.
 
Huyo mkewe ni furushi, yupo nyumbani hata kumtunza mwanae mmoja mpaka dada wa kazi?
Hapo mwanaume ndio mpumbavu,mi ndo nasema sitaki mwanaume jina!
Mwanaume lzm uwe na msimamo kwenye familia!

Ss anamruhusu vipi mke aweke dada wa kazi ilihali mke ni mama wa nyumbani?

Yeye ilitakiwa aweke msimamo, nyumbani kwangu sitaki dada,full stop!
Huo mshahara elf50 wa dada SI angefanyia mambo mengine?

Huyu mwanaume ndo maana mke anamletea drama
 
Ewaaaaahh Naishi buza kwenye chumba cha 20k. Hapa najitafuta nipange chumba cha maana cha fotee kama nyie.

Una kumbukumbu wewe😂😂😂
Kumbe kimepanda kilikuwa 15K na vijora unakuta ndani 😂

Naanzaje kusahau na nakitaka hiko chumba ukikihama unifaulishie tuwakomoe madalali.
 
Kumbe kimepanda kilikuwa 15K na vijora unakuta ndani 😂

Naanzaje kusahau na nakitaka hiko chumba ukikihama unifaulishie tuwakomoe madalali.
Kimepanda kipindi hiki cha mvua. Tunachanga buku tano tano tunaleta watu wa pump kuja kuvuta maji ndani. Maana maji yanajaa hadi sio poa na ukisema usubiri yakauke yanaweza kudumu hata miezi.

Njoo uhamie uone shoga zangu akina mwajei vile wanatoka kuoga na mtandio wa dera tu halafu kuna jiwe nje la kusugua magaga….wanasugua gaga pale mwili unatikisika tu, titititii
 
Back
Top Bottom