Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

Aisee siwezi oa mwanamke mwenye kazi, Wana shida haoo🤣😀😀
Basi ndio pambana uwe na hela ya kumtimizia majukumu yake. Sio aanze kubana hela ya chakula badala ya kununua nyama kilo ananunua robotatu ndio apate hela ya saloon.
Wanawake wasio na kazi ni kwa ajili ya wanaume wanaojiweza kiuchumi.
 
Huyo mkewe ni furushi, yupo nyumbani hata kumtunza mwanae mmoja mpaka dada wa kazi?
 
Basi ndio pambana uwe na hela ya kumtimizia majukumu yake. Sio aanze kubana hela ya chakula badala ya kununua nyama kilo ananunua robotatu ndio apate hela ya saloon.
Wanawake wasio na kazi ni kwa ajili ya wanaume wanaojiweza kiuchumi.
Madam spending on the right woman, who is worth for it.
👉Will never be a problem to jobless pro max Mimi🤒
 
Mkiambiwa oeni wanawake wenye kazi hamtaki. Mwanamke mwenye kipato asilimia kubwa mapenzi yake kwako ni genuine.

Sasa unaoa mwanamke anakaa tu nyumbani anategemea umpe hela ya chakula abane atoe hela za kikoba, za kusaidia ndugu nk , halafu unalalamika mapenzi yanaongezeka tarehe za mishahara?

Pole sana mkuu, pole sana. Vumilia tu.
Tuoe wanawake wenye akili ya maisha na hofu ya Mungu, mwanamke akiwa nakazi huku nikiazi hakuna faida yeyote .
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?
Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi , asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi , anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.la

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na lazimisha Nyumba Nyumba ya kupangishaa kuje peß

Kwa tusio na salary ndio inakuaje?
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mfungulie mradi Wa kufuga mabataa au kuku Wa nyama awe bize na kuku.

Nyingine tafuta nguruwe wakubwaa wawili Wa kuzalisha vitoto.Akipga mzinga unamwambia subiriri vitotoo vikue.Atakuwa anauza kutokona na anachozalisha ndo atume kwao
 
Pole.siku mzuge omba likizo kazini asijue halafu jiweke kihuzuni foji barua umefukuzwa kazini huna kazi tena.tuone atareact vipi?

Wanawake wengi hatuna shukrani!
Dah bora umesema! Mwezi January nilichukua mkopo kidogo kwa ajili ya ada, ikabaki kama 1m nikampiga wife laki 7. Sasa juzi nimetumia elf 50 yake kaniwashia moto balaa! Hakuna kumbukumbu,,,
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Komaa nae mkuu!! Ila badili mfumo wa maisha mpe pesa yake ya matumizi binafsi, nunua vyakula vyakutosha alafu muache usiumize kichwa hizo style anazokuletea” tafuta mchepuko ishi nae yani unapiga shoo nje unarudi om kulala alafu tarehe za mshahara unamkaza ile haswa uyo si ndo anakuwa available? Hii ndo njia rahisi ila kuacha sio solution bro
 
Mkiambiwa oeni wanawake wenye kazi hamtaki. Mwanamke mwenye kipato asilimia kubwa mapenzi yake kwako ni genuine.

Sasa unaoa mwanamke anakaa tu nyumbani anategemea umpe hela ya chakula abane atoe hela za kikoba, za kusaidia ndugu nk, halafu unalalamika mapenzi yanaongezeka tarehe za mishahara?

Pole sana mkuu, pole sana. Vumilia tu.
Wenye kazi nao pia wanatofautiana, kuna wengine (wale warembo wanaotongozwa sana) wanapenda maisha ya juu zaidi ya uwezo wake plus mme wake, matumizi yao ni hatari. Wanaishiaga kuchepuka tu (experienced)

But ukipata anaejitambua maisha yanakuwaga matamu sana
 
Sasa vuta picha mwanamke mwenye sifa ulizozitaja hapo juu, halafu awe na jobless kabisa😂😂😂atakamatika huyo?
 
Biashara ina wenyewe sio ya kila mtu. Na hao wenyewe mmoja wao ni wewe.
Mimi nimeajiriwa mkuu😂😂huku ndio penyewe.

Sema pia mimi ni mjasiriamali tangu enzi za shule nilikuwa sikai kizembe maana napenda hela nikizikosa nachanganyikiwa, napenda kupendeza, napenda vitu vizuri, napenda pia kula vizuri😂😂halafu sipendi kumtegemea mtu katika mahitaji yangu ya lazima kama hayo.
 
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?

Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000 hadi 10000 ya matumizi, anajua tu mume account ime dorola. Hapo ni kinyongo na masimango tu.

Huwa najitagidi kununua vitu kwa pamoja punde tu mshahara ukitoka. Lakini mke hapendi utasikia matumizi mabaya ya pesa, mafuta lita 5, unga kg 25 unataka kufungua duka? Mara tuta kula wali kila siku, sijui ugali kila siku. Na tarehe za mshara shida kwao haziishi, mara mama mgonjwa, dogo hana kalo, sijui msimu wa parizi.

Niliwahi kukodi shamba alisimamie aisee nilitamani kulia, nae alajifanya boss wakampiga pesa ya Pembejeo, mahindi yakageuka na kuwa tumahindi. Biashara ndo kabisaaa alishashindwa. Anachojua yeye ni kupendeza, avae abadili nguo mpya kila uchwao. Katoto kenyewe kamoja tuliko nako amekatelekeza kwa binti wa kazi.

Kwakuwa ndoa ni Changamoto navumilia. Ila wanawake nimewaogopa naweza piga chini huyu nikadondokea kaa la moto. Maana braza yeye kanishauri nitafute mwanamke anayejua maisha na nikiangalia yeye ameshaachana na wanawake tatu mpaka sasa na wote amezaa nao.

Nasoma tu comment zenu, maana sishauriki kama wanavyo niitaga kwetu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Tuko wengi tulioamua kufa na tai shingoni. Umeandika kama vile umeandika yanayonikuta mimi kwa miaka mingi, cha ajabu nimekomaa hivyo hivyo
 
Mimi nimeajiriwa mkuu😂😂huku ndio penyewe.

Sema pia mimi ni mjasiriamali tangu enzi za shule nilikuwa sikai kizembe maana napenda hela nikizikosa nachanganyikiwa, napenda kupendeza, napenda vitu vizuri, napenda pia kula vizuri😂😂halafu sipendi kumtegemea mtu katika mahitaji yangu ya lazima kama hayo.
Umesahau malizia na unaishi buza 😂

Hongera kwa kujipambania na kuweza kujitegemea.
 
Back
Top Bottom