Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,121
Hapo paragraph ya mwisho umemaliza vizuri kabisa.....hii kanuni ni Bora kabisaMwanamke nilazima amtii mwanaume wake, na utii umebeba taswira kubwa sana ambayo ni uvumilivu unao tokana na upendo.
Shemeji, minaamini kwamba..... mwanaume anapaswa kuishi na mwanamke kwa akili, then ataweka mipango/taratibu na sheria ambazo kazi ya mwanamke itakua niku lain yote yanayo toka kwa mwanaume wake.
Na kiasili, hakuna mwanamke anaeweza kukubali kuishi na kumtii mwanaume ambae hana akili.