Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Mapenzi yananitesa, bora nife tu

ni kweli... asa hapo yeye ndo inabidi achague ushauri anaopewa,, comments nyingine azipuuze tu asije akachukulia serious akaharibikiwa
Daaaah na humu siku hizi isitegemee upate ushauri mzuri wengi wamejaa dhihaka kama vile wao ni malaika mabaya hayawakuti kumbe ni mbwembwe tu za nyuma ya keyboard.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Wengi sana wako na depression, so wanavyoona mtu akielezea matatizo yake wao wanapata hauweni kuona kwamba hawako pekeyao,, hiyo ni njia yao ya kujifariji na wao
 
Njoo uchukue
Nakujaa hapo Tanga chaaap
Twende kwanza Magoroto
Tukirudi unipe chaja, kisha umalizie mwenyewe mauaji.

BTW si mnasemaga K ni K?
Why ujiue sababu ya Ashu Babe?
Acha zako wewe!!
Usiku ukiingia liaaaaa
Yan lia mpaka uhisi kiu. Amka uoge unywe maji.
Toka nje kina Amina bado wapo..
 
Oh pole sana ndugu

Mwenyezi Mungu akutie nguvu,moyo wa uvumilivu,kupotezea jambo/kukubaliana na hali na kujipanga upya .
Kila binadamu yuko tofauti kukabili jambo ,pole sana.

Hakikisha uliloleta sio la kutunga maana jf members tutakupa laana .
Bora ww umetake sualaa lake serious..depression is real.tunaweza ona utanii kumbe mtu yuko serious
 
Nakujaa hapo Tanga chaaap
Twende kwanza Magoroto
Tukirudi unipe chaja, kisha umalizie mwenyewe mauaji.

BTW si mnasemaga K ni K?
Why ujiue sababu ya Ashu Babe?
Acha zako wewe!!
Usiku ukiingia liaaaaa
Yan lia mpaka uhisi kiu. Amka uoge unywe maji.
Toka nje kina Amina bado wapo..
Kampenda sana Ashura

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Dunia haitaki watu dhaifu,kaza mwanaume..btw niko hapa nasikiliza ngoma ya Fally Ipupa inatwa..Centieme dossier ,Maisha ndiyo haya haya mkuu..tatizo lenu mnapenda sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom