Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

Polee sana kwa maumivu. Kitu ambacho tunapaswa kukielewa kuwa mahusiano ni hisia. Na unaweza kumpenda mtu na yeye asikupende.Hivyo shukuru amekua muwazi kwako ingali bado mapema. Usiumie wala kufadhaika.
Sahihi kabisa mkuu. Watu wengi hufikiri mtu akikwambia hakupendi anakuchukia. Wakati mwingine ni faida sana kuliko ukae nae na aishie kukudanganya.
 
Back
Top Bottom