Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

Pole akhy creedfx mimi nina mengi ya kukushauri mdogo wangu kwasababu nina historia ndefu kwenye hiyo bahari na nimepata kuumizwa kwa kiwango kisichomithilika, kupenda mahali usipopendwa ni kitu kinauma sana kama utapenda uje PM ntakupa mwongozo na ushauri wangu, ila kwa ufupi mkubwa nikwambie kuwa huyo binti si fungu lako mdhanie Allah kheri na ujifunze kusema maneno haya:-

لعله خير

"huenda hivyo ndio kheri"

Tizama mdogo wangu Allah anajua zaidi kuwa wewe unampenda zaidi huyo binti, na yeye anakuhurumia na kukuonea huruma zaidi kuliko unavyojionea mwenyewe, ila amini kwamba yeye anajua kuwa huyo binti sio stahiki yako ijapokuwa moyo wako umezama kabisa, anakuepusha na huyo binti kwa mapenzi na kukuhurumia si kwa makusudio ya kukuumiza na kukujeruhi, mola wetu subhaanah hufanya mambo yake kwa hekma kubwa.

Ambaye ameandikwa kwaajili yako yupo mahali anakusubiri na anakutafuta wewe pia anasubiri usiku na mchana utafika lini, usilie mdogo wangu mola wako anakupitisha njia ngumu kwa hekma na kukuhurumia, tizama mwanamke anaekujibu hivyo ni wazi hatakuwa na huruma na wewe, na hatokujali maana ana kiburi na anataka kuwa na mamlaka juu yako bali wewe umempenda zaidi na yeye hana haja na wewe, kwa kitu gani uidhalilishe nafsi yako kwa mtu asiyekuhitaji?! jikaze mdogo wangu mbona ni wiki moja tu utamsahau, najua kuna warning signs nyingi tu unazipata kupitia heart whispers kuwa ni yeye kweli!? ni huyu niliyekuwa namsubiri? ila unazipuuza kwasababu ya upofu wa mapenzi, jikaze na uamini moyo wako una thamani sio wa kuumizwa kila siku.

Basi nisiongee sana hapa ila wakati mwingine ukitaka kuoa fuata procedures za uislamu, peleka taarifa kwao wakikukataa achana nao usiwalazimishe na hutoumia sana, ila ukipita mwenyewe kwa njia unazozijua wewe maumivu yake ni fatal.

".......lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu, na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu, na Allah anajua na nyinyi hamjui kitu."

Qu'ran 2:216
 
sintokuwa tyr kuwekeza akili nyingi kwa mwanamke au mpenzi nishajifunza watu wanakuja na kuondoka kwenye maisha yetu,

Wakati mwingine watu wanapenda watutumie tukishakuwa exiperid na kufubaa wanapotea na kutafuta pengine Tena penye nguvu,

Hata bibiye alikuja kwako akihitaji kuponyeshwa jeraha la moyo na wewe, pengine kwenye healing au baada akakubwaga kwahiyo na kuona huna thamani,

Jifunze kuwaelewa watu mkuu, pole na hongera

Dominika njema in advance cc DIVISHENI FOO mkatumeni somo la kwanza litasomwa na Lucas Mwashambwa kwenye vipaji atatuongoza gentleman Tlaatlaah afu anadaiwa zaka na Lucas bado
 
Ahsante mtumishi.
 
Wengi hapa mtabeza na kukejeri, ila matukio ya mapenzi yanawapiga sana tyuuh.

Wakati fulanii, nilipigwa tukio na mtu ambaye niliona yeye ndo kabeba maisha yangu, kumbe nilikua najidanganya, afu sikujua game lilivyo kwa ground (ile akili sijui nilipata wapi, nilikua nawaza visivyo kuwepo kabisa)

Nilichachawa, afu unaumia ndani kwa ndani, na hakuna wa kumueleza, kwani unaanzaje? Dooh niishie hapa.
Ashukuriwe mtu yule aliyekuja kwangu km mchumba, kumbe yeye alikuja km rafiki, nia yake aniokoe ktk saga nililopo, barikiwa sana popote ulipo, Jah Akuzidishie na akuongezee mara dufu.

Mapenzi yanaumaa nyiee, lol
 
Noope kuna watu wanaweza kuwa daraja la mtu kuponaa.
Thou muhusika pia awe dhamira hiyo.
Akiwa hajaamua yeye ni ngumu sana, mtakua mnapigia mbuzi gitaa,,,ndo hio dhamira unayosemea sasa,asipokua nayo ni shwaaaa.
 
Pole akhy creedfx mimi nina mengi ya kukushauri mdogo wangu kwasababu nina historia ndefu kwenye hiyo bahari na nimepata kuumizwa kwa kiwango kisichomithilika, kupenda mahali usipopendwa ni kitu kinauma sana kama utapenda uje PM ntakupa mwongozo na ushauri wangu, ila kwa ufupi mkubwa nikwambie kuwa huyo binti si fungu lako mdhanie Allah kheri na ujifunze kusema maneno haya:-

لعله خير

"huenda hivyo ndio kheri"

Tizama mdogo wangu Allah anajua zaidi kuwa wewe unampenda zaidi huyo binti, na yeye anakuhurumia na kukuonea huruma zaidi kuliko unavyojionea mwenyewe, ila amini kwamba yeye anajua kuwa huyo binti sio stahiki yako ijapokuwa moyo wako umezama kabisa, anakuepusha na huyo binti kwa mapenzi na kukuhurumia si kwa makusudio ya kukuumiza na kukujeruhi, mola wetu subhaanah hufanya mambo yake kwa hekma kubwa.

Ambaye ameandikwa kwaajili yako yupo mahali anakusubiri na anakutafuta wewe pia anasubiri usiku na mchana utafika lini, usilie mdogo wangu mola wako anakupitisha njia ngumu kwa hekma na kukuhurumia, tizama mwanamke anaekujibu hivyo ni wazi hatakuwa na huruma na wewe, na hatokujali maana ana kiburi na anataka kuwa na mamlaka juu yako bali wewe umempenda zaidi na yeye hana haja na wewe, kwa kitu gani uidhalilishe nafsi yako kwa mtu asiyekuhitaji?! jikaze mdogo wangu mbona ni wiki moja tu utamsahau, najua kuna warning signs nyingi tu unazipata kupitia heart whispers kuwa ni yeye kweli!? ni huyu niliyekuwa namsubiri? ila unazipuuza kwasababu ya upofu wa mapenzi, jikaze na uamini moyo wako una thamani sio wa kuumizwa kila siku.

Basi nisiongee sana hapa ila wakati mwingine ukitaka kuoa fuata procedures za uislamu, peleka taarifa kwao wakikukataa achana nao usiwalazimishe na hutoumia sana, ila ukipita mwenyewe kwa njia unazozijua wewe maumivu yake ni fatal.

".......lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu, na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu, na Allah anajua na nyinyi hamjui kitu."

Qu'ran 2:216
Asante sana kaka, kiukweli nimefarijika sana nakuj PM kupata nasaha zaidi
 
Dogo una umri gani?
Kiukweli me bado mdogo sana mid 20's ila my perspectives kuhusu maisha nahofia sana kuangukia kwenye kua mtu wa kuumiza wanawake na kua baba wa watoto watakao lelewa na mzazi mmoja, naomba sana Allah anijaalie furaha na Familia ambayo itakua sababu ya mimi kua mchamungu hapa duniani na maisha baada ya dunia
 
Wengi hapa mtabeza na kukejeri, ila matukio ya mapenzi yanawapiga sana tyuuh.

Wakati fulanii, nilipigwa tukio na mtu ambaye niliona yeye ndo kabeba maisha yangu, kumbe nilikua najidanganya, afu sikujua game lilivyo kwa ground (ile akili sijui nilipata wapi, nilikua nawaza visivyo kuwepo kabisa)

Nilichachawa, afu unaumia ndani kwa ndani, na hakuna wa kumueleza, kwani unaanzaje? Dooh niishie hapa.
Ashukuriwe mtu yule aliyekuja kwangu km mchumba, kumbe yeye alikuja km rafiki, nia yake aniokoe ktk saga nililopo, barikiwa sana popote ulipo, Jah Akuzidishie na akuongezee mara dufu.

Mapenzi yanaumaa nyiee, lol
Yanauma sana
 
Kama aliondoka kwa mbwembwe ivyo ni suala la muda ata ludi mkuu😂 we chill tu 😂
 
Kiukweli me bado mdogo sana mid 20's ila my perspectives kuhusu maisha nahofia sana kuangukia kwenye kua mtu wa kuumiza wanawake na kua baba wa watoto watakao lelewa na mzazi mmoja, naomba sana Allah anijaalie furaha na Familia ambayo itakua sababu ya mimi kua mchamungu hapa duniani na maisha baada ya dunia
Kumbe bado ubwabwa wa shingo hauja kutoka sikia pambana na life always wanawake wanapenda wanaume washindi basii😆😆
 
Ni historia ya kweli nimeandika kwa maumivu makali kama njia ya kunisaidia kupona ila bado nikikumbuka sikuwah fanya kosa lolote kwake wala kumuonyesha dharau yoyote yeye akaamua kunichukia na kukataa kabisa mawasiliano na mm
Wanawake wakishakupa kisogo wala usimlilie, jikaze tafuta mwingine. Huwa hawana huruma na hawajali wala kukumbuka lolote. Huwa nawasikitikia sana watu wanaohudumia malaya wakidhani ni wake.
 
Pole sanaa, utampata wa kukufaa... Akili lazima iwe timamu Ili ku handle masuala kama hayo, tatizo ni vipaumbele.
 
Back
Top Bottom