DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Siionichukua
Siionichukua
Una hela?Kabla ya kutekeleza haya maamuzi hebu fanya namna mimi na wewe tuwasiliane... 😉
Oouh naanza kuelewa somo.Shida kubwa ya mapenzi ya siku hizi wadada wengi wanapenda sana KITONGA....
Unakuta mdada yeye kiwango kikubwa boyfriend wake awe ana play part kubwa sana kwenye maisha yake unaweza sema ndio kama baba yake.....
Kiufupi wanapenda vitu ambavyo vipo nje wa uwezo wao
Kwa hiyo nawe huwa humchangamkii muomba mawasiliano hadi akutumie zawadi uliyoomba?Kwenye oesa uwa mi binafsi uwa najishtukia sana
kwa sababu ishakua ni comon problem sipendi kufanana na wengine yaan hata niwe nna shida ya laki nisipolipa nakamatwa basi sitakuambia nitakamatwa tuu mana sijakuzoea hatujuani na sipendi unione mm kama wanawake wengine.
Na nyie wanaume mnaboa mkipata wanawake tusiojua kuomba ela na nyi hamjiongez..mm pesa sikuombi ila usiponipa nakupotezea..Ata kama nna kazi pesa ya mwanume ni tam kuliko yangu.
Una hela?
Kwanini unataka uaanze?"Siku hz moyo wa mwanamke ni kama nyumba ya kupanga, usipolipia huwezi kukaa" alisikika mlevi mmoja
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Mimi ndo nataka nianze huo mchezo sasa, maana umama teresa wangu unanicost.
Duuh....msaada wa namna gani?Na hii imekaaje mwanaume ukishamsaidia mpenzi wako hela...mkikosana kidogo unamdai tena kwa fujo...
Hii imetokea leo kwa rafiki yangu yani nimejisikia vibaya sana
Samahani kwa kutoka nje ya mada
Utoto unakusumbua.....Tangu dunia hii kuumbwa hakuna aliyewahi kumuelewa mwanamke...Ukitaka kuchanganyikiwa jaribu kutaka kumuelewa mwanamke......You will never know with a woman.....Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.
Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.
Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.
Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.
Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.
1. Je, huwa mnapenda?
2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?
3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.
4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?
5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?
6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?
7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?
Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...
Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.
Mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1162257
Oouh sawa sawa.Utoto unakusumbua.....Tangu dunia hii kuumbwa hakuna aliyewahi kumuelewa mwanamke...Ukitaka kuchanganyikiwa jaribu kutaka kumuelewa mwanamke......You will never know with a woman.....
MAPENZI YA SIKUIZI HAYANA TOFAUTI NA SIASA ZA CCM.