Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Kwenye oesa uwa mi binafsi uwa najishtukia sana
Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.

Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.

Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.

Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.

Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.

1. Je, huwa mnapenda?

2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?

3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.

4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?

5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?

6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?

7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?

Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...

Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.
kwa sababu ishakua ni comon problem sipendi kufanana na wengine yaan hata niwe nna shida ya laki nisipolipa nakamatwa basi sitakuambia nitakamatwa tuu mana sijakuzoea hatujuani na sipendi unione mm kama wanawake wengine.
Na nyie wanaume mnaboa mkipata wanawake tusiojua kuomba ela na nyi hamjiongez..mm pesa sikuombi ila usiponipa nakupotezea..Ata kama nna kazi pesa ya mwanume ni tam kuliko yangu.
 
"Siku hz moyo wa mwanamke ni kama nyumba ya kupanga, usipolipia huwezi kukaa" alisikika mlevi mmoja

[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]

Mimi ndo nataka nianze huo mchezo sasa, maana umama teresa wangu unanicost.
 
Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.

Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.

Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.

Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.

Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.

1. Je, huwa mnapenda?

2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?

3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.

4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?

5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?

6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?

7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?

Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...

Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.

Sio mlengwa but i would like to respond few questions;

1.We men should wake up and realize the word “love” is no longer existing in women’s dictionary of current generation we have, it has already been removed and replaced by new one “money” kama wanavyosemaga wao “no money, no honey”

2.They pretend to love you once they see you are not stingy and there is aesy accessibility to your pocket(hapa ndio kwenye zile sababu za mjomba anaumwa,simu imedondoka kwenye maji n.k).

3.Actualy they dont chase you away, they use that as a weapon to test your stinginess, if you agree to give in to their financial demands instantly they will even save your number in their phone book by that time, you refuse! they will give you zero attention na utajiondoa mwenyewe.

4.Some are hardwired for being financial parasites, they believe men are forever givers na baadhi wanajifunza kutokana na unpleasant past relationships.

7.Women are insatiable in nature kama wapo ambao hawafanyi basi ni wachache saana na wa hivyo ni wale wanaozaliwa na kukulia ikulu.
 
Na hii imekaaje mwanaume ukishamsaidia mpenzi wako hela...mkikosana kidogo unamdai tena kwa fujo...
Hii imetokea leo kwa rafiki yangu yani nimejisikia vibaya sana

Samahani kwa kutoka nje ya mada
 
Ukweli usiopingika, mwanamke anapenda yoyote yule atayeweza kumkojoza nakumuhudumia mahitaji yake. Hayo mengine nimbwembwe2
 
Kwenye oesa uwa mi binafsi uwa najishtukia sana

kwa sababu ishakua ni comon problem sipendi kufanana na wengine yaan hata niwe nna shida ya laki nisipolipa nakamatwa basi sitakuambia nitakamatwa tuu mana sijakuzoea hatujuani na sipendi unione mm kama wanawake wengine.
Na nyie wanaume mnaboa mkipata wanawake tusiojua kuomba ela na nyi hamjiongez..mm pesa sikuombi ila usiponipa nakupotezea..Ata kama nna kazi pesa ya mwanume ni tam kuliko yangu.
Well said....

Umeeleza kwa umakini sana

Swali je....

Nje pesa hamna uswahili mwingine
Ujanja ujanja

Mana mwanaume akikupa pesa unaweza muona kama lofa hivi...

Na wengine mzigo hawakupi
 
We fanya unachokitaka kwake, ukitaka kujua hayo yote utakata tamaa mapema sana
 
Kwenye oesa uwa mi binafsi uwa najishtukia sana

kwa sababu ishakua ni comon problem sipendi kufanana na wengine yaan hata niwe nna shida ya laki nisipolipa nakamatwa basi sitakuambia nitakamatwa tuu mana sijakuzoea hatujuani na sipendi unione mm kama wanawake wengine.
Na nyie wanaume mnaboa mkipata wanawake tusiojua kuomba ela na nyi hamjiongez..mm pesa sikuombi ila usiponipa nakupotezea..Ata kama nna kazi pesa ya mwanume ni tam kuliko yangu.
walewaleeeee mapenzi biashara.
Ila hili tatizo nahisi ni sisi wanaume ndio tumechangia kwa kiasi kikubwa, mambo ya kuchapa na kusepa ndio yamepelekea dada zetu nao kuamua kutuuzia.
 
Binafsi sijawahi kumwomba mwanaume ambae Nishawahi kuwa nae kwenye mahusiano nae kitu chochote iwe pesa au kitu kingine kutoka kwake. Nasubiri apende yeye anipe na asiponipa siwezi kumind, tho napendaga nipewe zawadi coz na Mimi natoaga sana tu. Nikiwa nashida nitamuomba rafiki namaliza shida yangu.

Pili kuna wanaume ambao wanajiongeza hata kabla hujamuomba anakupa. huyu huna haja ya kumwomba.

Tatu, Mara nyingi sana sisi wanawake, ukiona mwanamke kakuomba kitu hasa hela trust me hajakupenda yupo hapo kwa lengo Fulani.mwanamke akikupenda kutoka moyoni anakuonea huruma, hata wewe ukiwa na shida yupo tiyari kukukopea ili akusaidie.

Haiwezekani eti mtu hakuchangamkii, gafla akuombe kitu ukimpa ndio akuchangamkie, hapo hakuna mapenzi, anakuomba kitu, ukimnyima akutafutie sababu ya kukuacha.
 
Ushaambiwa KILA MWANAUME ANA SAUTI, ILA PESA NDO VOLUME BUTTON.
 
Kuna wengine wanazo ila waoga kwa madem. Back to 2015-16 wkt nko chuo nilikua na jamaa angu sana nilimpa jina la alwattan huyu janja kwao walikuwa na pesa sana kuendesha hizi prado, vx, bmw kwake ilikua kawaida sana, hyu jmaa shida ilikua mdomo tu yan alikuw na dem mbaya kwel [emoji23][emoji23]. Mimi ndio nlokuwa na kaz ya kumtongozea madem hasa tukienda batani ndo nilikua namtafutia chombo anakula[emoji119]. My point unaweza kuwa na Pesa ila ukawa mwoga kwa madem kumbuka ukishakuwa mwoga huwez omba namba au kutongoza
 
Back
Top Bottom