Abeeeh.
Abeeeh.
Abeeeh.
Duu jamaa utakuwa muongaji mzuriIla mi niko tofauti siombi namba natanguliza prsa mbele namba najua atatoa maana hakuna mwanamke anadanganya namba ya kumuwekea hela
Kukojoza sina utalaam nalunda penzi kwa hela kukojoza wenzangu watafanya, mi show off tu na wapenzi wametulia
Sio mlengwa but i would like to respond few questions;
1.We men should wake up and realize the word “love” is no longer existing in women’s dictionary of current generation we have, it has already been removed and replaced by new one “money” kama wanavyosemaga wao “no money, no honey”
2.They pretend to love you once they see you are not stingy and there is aesy accessibility to your pocket(hapa ndio kwenye zile sababu za mjomba anaumwa,simu imedondoka kwenye maji n.k).
3.Actualy they dont chase you away, they use that as a weapon to test your stinginess, if you agree to give in to their financial demands instantly they will even save your number in their phone book by that time, you refuse! they will give you zero attention na utajiondoa mwenyewe.
4.Some are hardwired for being financial parasites, they believe men are forever givers na baadhi wanajifunza kutokana na unpleasant past relationships.
7.Women are insatiable in nature kama wapo ambao hawafanyi basi ni wachache saana na wa hivyo ni wale wanaozaliwa na kukulia ikulu.
Natafuta comment yako.[emoji3][emoji3]haka kauzi katamu sana.
Hajui , tena mnanibembelezea.Hajui kama watu tunakutumia wenyewe kwa upendo wetu bila, shuruti
Mapenzi kwangu si kipaumbele tena. Mnalinga sana nyie watu😀😀Natafuta comment yako.
Au wahanga hamruhusiwi kucoment?
Kwanini si kipaumbele?Mapenzi kwangu si kipaumbele tena. Mnalinga sana nyie watu[emoji3][emoji3]
Mkuu,Naomba nikuulize swali,Akikuchangamkia inakua ni mazima au ni kwa muda tuu,alafu anarudi kama alivyokua?Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.
Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.
Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.
Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.
Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.
1. Je, huwa mnapenda?
2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?
3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.
4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?
5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?
6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?
7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?
Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...
Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.
Unajua nini wanasemaga kuna muda ni bora kuwa mwenyewe hakuna atayekuumiza.😀😀Kwanini si kipaumbele?
Kwa sababu unaogopa kupigwa vizinga?
Loyal people we still exist tho...[emoji23][emoji23][emoji23]
Zesh mi nakupenda. Naomba namba.Mmmh huu uzi ngoja nisome comments tu
Kitonga kwa upande mwingine ni mlima. Ukitokea Morogoro. Kwanini mnaichukulia kitonga ni mteremko tu?Shida kubwa ya mapenzi ya siku hizi wadada wengi wanapenda sana KITONGA....
Unakuta mdada yeye kiwango kikubwa boyfriend wake awe ana play part kubwa sana kwenye maisha yake unaweza sema ndio kama baba yake.....
Kiufupi wanapenda vitu ambavyo vipo nje wa uwezo wao
Sisi wenyewe hatujui tunapenda nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nyie mnapenda nini? au mnapenda kila kitu katika hii dunia
Hahahahahahahahah unaona sasaKabisa kabisa
Kuna dada mmoja anafanyiwa yote hayo lakin anamsaliti jamas eti kisa sio mkorofi,jamaa mpole mpole. Nampa hitaji la moyo wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui , tena mnanibembelezea.
Nikikataa mnavizia pochi yangu mnaziweka huko nikifika nyumbani nazikuta[emoji23][emoji23].
Good morning Cole Williams.
Zesh mi nakupenda. Naomba namba.
Kwanini unahofia kuumizwa?Unajua nini wanasemaga kuna muda ni bora kuwa mwenyewe hakuna atayekuumiza.[emoji3][emoji3]
Ongeza sautii Cole Williams kuna watu nataka wasikiee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Good morning Mcute, Duniani kuna watu wabishi sana mpaka wakutane na raia kama wewe
Endelea kuwakilisha kizazi bora kabisa ulimwenguni