Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Hii kidogo inaingia akilin
Hivi unajuaga hata malaya anayejiuza huwa anapenda ? Yawezekana alikupa namba ili akupige mzinga, lakini baadae anakuja kuona wewe ni zaidi ya mzinga aliotaka kukupiga. Na hapo ndipo anapoanza kukuchangamkia.
 
Daby, zamani wanawake walikuwa wanabaki nyumbani kulea watoto na kufanya kazi za nyumbani wakati wanaume wakienda kuwinda.
Kipindi hiki wawindaji hodari walishobokewa na wanawake kwasababu they could simply bring food on the table na hivyo kuhakikishiwa kutolala njaa.

Hata baadae ambapo watoto wakiume pekee walipokuwa wanapelekwa shule wasichana walivutiwa na wanaume waliosoma na waliokwenda mjini kuliko wale waliobaki kijijini. Simply, survival.

In this modern age, mwanamke amepewa nafasi sawa na mwanaume katika 'kuwinda' ili ifike mahali mwanadamu yeyote despite their gender aweze kujitegemea.

Ila I believe there is still the cave man and cave woman inside us.
Kabla ya kuongelea upendo, kuna mvuto ambao mtu anaona kwa mtu mwingine.
In this age mwanamke hawezi kumshobokea mwindaji tena but atamshobokea mwanaume mwenye POTENTIAL ya kuPROVIDE.
And that's the bitter truth.

Patriarchy has deeper roots than we think. So japokuwa mwanamke anauwezo wakuwinda bado mwanaume is expected to provide.

So tukija kwenye hii ishu, well its patriarchy yes but sema a more materialistic one than survival. Cause mwanamke wa saivi hahitaji mwanaume kula.

Ila patriarchy makes sex a bait. A disadvantage for men, an advantage for women. Mwanaume was saivi atamuomba number mwanamke. Interpretation yake ni kuwa unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi au to simply have sex.

Either way, you need to try to convince her enough to get in her pants or start a relationship with her. And how are you going to convince her?

So, what so shocking when a woman gives you extra attention when you give her something materialistic?

Ingekuwa sex inachukuliwa kama need ya mwanaume na mwanamke equally wanaume wasingepata shida. Ila ndio hivyo sio kila kitu mwanaume atakuwa equal na mwanamke-kuna biological and evolutionary reasons.

So mwanaume ukishobokewa after giving anything materialistic to a woman ni kawaida. Sema kwasababu tu ya life standards za saivi kuwa wanawake tunawinda pia basi inaonekana kama unyonyaji.

By the way it's hard a woman akushobokee out of nowhere cause you just have her number and want to chitchat, just ask her on a date and see if she's interested or not. Chivalry my Tanzanian men,Chivalry.

Ushauri wangu, choose what you can handle leave what you can't handle. That's the beauty of this world, a lot of options. But sadly we rarely end up with what we want.
I like this comment, very sweet comment
 
Alright i get your general concept of what you call true love, it is all about unconditional companionship solely built off affection from both sides..right?Now lets to push this idea into reality and see if it really works;

Does the current generation follow that cliche? kweli kabisa kizazi hiki kuna watu wanaingia kwenye mahusiano wakiongoza na affection? na hasa wanawake!!?

Allow me to tilt my argument towards women side as my first comment entails!

How many ladies you know who can jump into relationship with a guy whom they fully know that they are better than him financially?

How many of you ladies are ready to make a sacrifice of your livelihood for helping a guy to live up to his potential like Michelle did to Obama?

How many of you ladies willingly get into relationship without expecting anything bigger in return from the guy?

With regarding to your definition of true love i dare say true love doesn’t exist, kwanini? Kuombwa hela siku hizi imekuwa kama prerequisite ya mahusiano! ukitoa hela ndio unapewa attentions na sifa kede kede na usipotoa unapuuzwa na kutolewa maneno ya kejeri kama mvulana,dume suluali n.k.

Hauwezi ukanishirikisha mimi kwenye matatizo yako halafu baada ya kuona sina uwezo wa kukusaidia ukanipuuza kisha baadae useme eti unanipenda, hicho kitu hakipo.

Mapenzi ya kweli hayapo these days it only exists in utopia. The only true love remains in between people of opposite genders is that of mother and son or daddy and daughter.

Hahaha.. Cute B bwana, sasa kwanini mpaka muoneshe viashara ishara hili sisi ndio tujiongeze, kwanini hata nyie msitufuate na kutupiga vesi kama sisi tunavyofanya? hahahaha.

Okay!
Remember what I told you hivi vitu vinatokea japo it's so rare these days. Kuashiria kuwepo kwa kitu hailazimishi kila mtu awe nacho ndiyo tuseme something does exist. Doesn't take a rocket scientist to believe that unconditional love truly exist and it's powerful and true.

Let's say kwenye suala la bikra as an example, wapo ambao wanaolewa wakiwa bado bikra japo ni wachache, so hauwezi kusema kwakuwa wengi unaokutana nao sio bikra useme bikra hazipo.

Unconditional love DOES exist and it believes the best in person even he/she is unlovable and it also has a power to change someone's future for good. Wangapi wameingia kwenye mahusiano na wadada na wadada ndiyo wakabadilisha mfumo mzima wa maisha yao na kuwafanya wawe watu wa maana. Hauonagi?

You talked about Michelle as your sample in population.. Who is Michelle?? Ni wakike au wa kiume? Ni wa kike yeah?? Sasa kitendo cha kuuliza swali kama hilo the answer will still be Yes, some of us we make a lot of sacrifices for helping our men and my example will still be Michelle. Kwanini nimesema Michelle? Hauwezi kusema hatuwezi kufanya kama Michelle alivyomfanyia Obama huku Michelle unayemtolea mfano ni mwanamke, so mpaka hapo inaashiria kwamba we Can and Yes I can.

We've already said all and over again kwamba mwanamke anapokuomba hela 50% it's indirect way of saying.. I don't like you and I will never love you so you better get the fck out of here. Anakuomba hela ukimpa atajiweka ili aendelee kupata hela ukimnyima atajitoa kwasababu she doesn't love you. Kwa hiyo hii siyo sababu ya kusema true love haipo. Ipo sana unapompata mtu sahihi kwako.
Same applied to men, wanaume siku hizi wanadanga hatari, wakimwona mwanamke ana hela anajiweka hata kama haupendi ili avune tuu mapesa lakini haimaanishi kwamba hana mtu anayempenda upendo wa kweli.

Usikimbilie sehemu ambayo haupendwi ukitaka kudhibitisha the existence of true love. Utaishia kuamini kwamba it doesn't exist. Once again, this is such an insecure mentality to have, y'all should redeem yourself from hizo imani mnazo zishikilia la sivyo you will never enjoy the existence of true love.

You've to change na kuanza kusali ili kujua mwanamke sahihi kwako ni yupi. Mfano Mimi cute b ninajua kushow true love lakini haimaanishi ni to everybody hell Nah...it's only kwa mtu ninayempenda kweli.

To cut a long story short Lizarazu just because y'all don't believe in something, doesn't mean it doesn't exist, it just means you don't get to experience it.
 
Umenena vema, ila katika aya yako ya kwanza nitatofautiana na wewe kidogo.

Ili upende, lazima kuwe na sababu inayokuvutia au kukusababisha upende.

Lazima uvutiwe,ndio upende.
Ambayo inaweza kuwa ni uzuri eeh? Vipi akipata ajali? Uzuri wake ukawa haupo?
 
Tatizo kubwa mnaamini pesa ndo kivutio
And it works like charm for cheap b.itches

Mwanamke mwenye pesa zake
Pesa si tatizo kwake
Find those women then u can test issue ya mapenzi

And issue ya Michelle kumkubalia Obama.,bruuh they werent average..enzi hizo Obama was still a catch..Michelle alikua mwanamke mwenye pesa zake za kutosha tu(they met wkt Mich was working at a law firm)
She had a job+gari miaka hioo a black woman

Obama hakuwa hohehahe pia.alikua na kitu,he was working and schooling pia...and Michelle having hela zake she simply loved Obama for mapenzi and potential-refer the Harvard thingy and ur black enzi hizo

Ts like watu wanaofanya kazi law firm kwa mfano utasema ni watu hohehahe?..Nope ni watu na pesa zao
Read biography za Obama na Mich utaona they were well off middle class tangu siku nyng sana

Not our fault though the society we live in has already put that corrupt sociatel settings for both women and men. So you literally tell me majority of you ladies are cheap b!tches right? coz money has been lubricant for dragging most of you into relationship now days

Then how many of those wealthy ladies are ready to get into relationship with the person whom they fully know he’s broke as hell and they still be submissive and help the guy to live better than he was before at their own expenses?

Hapo kwa Michelle you miss the whole point niliyoimaanisha.

how many of you ladies are ready to make a sacrifice of your livelihood for helping a guy to live up to his potential like Michelle did to Obama?

Nilichokimaanisha mimi hapa sio hicho unachokisema. Mwaka 2004 wakati Obama anachaguliwa kuwa senetor baada ya kuwa state senetor, Michelle aliacha kazi rasimi na kuamua kusapoti political career ya mume wake hasa kwenye safari yao ya kuelekea white house.

Hapa unaona Michelle alifanya sacrificial decision for the sake of love kwa mume wake hili atimize ambition zake. Sasa nikuulize wewe, ni wanawake wa ngapi wa kizazi hiki ambao wako tayari kuacha taaluma zao walizozisotea miaka kadha kwa ajili tu ya kutimiza ndoto za mwanaume?

Unachokisema wewe ni tukio liliotokea mwaka 1989 huko, mfano wangu unalenga tukio la mwaka 2004 hapo! kama huamini tafuta kitabu cha dream of my father cha Obama mwenyewe.
 
Okay!
Remember what I told you hivi vitu vinatokea japo it's so rare these days. Kuashiria kuwepo kwa kitu hailazimishi kila mtu awe nacho ndiyo tuseme something does exist. Doesn't take a rocket scientist to believe that unconditional love truly exist and it's powerful and true

Let's say kwenye suala la bikra as an example, wapo ambao wanaolewa wakiwa bado bikra japo ni wachache, so hauwezi kusema kwakuwa wengi unaokutana nao sio bikra useme bikra hazipo.

Unconditional love DOES exist and it believes the best in person even he/she is unlovable and it also has a power to change someone's future for good. Wangapi wameingia kwenye mahusiano na wadada na wadada ndiyo wakabadilisha mfumo mzima wa maisha yao na kuwafanya wawe watu wa maana. Hauonagi?

You talked about Michelle as your sample in population.. Who is Michelle?? Ni wakike au wa kiume? Ni wa kike yeah?? Sasa kitendo cha kuuliza swali kama hilo the answer will still be Yes, some of us we make a lot of sacrifices for helping our men and my example will still be Michelle. Kwanini nimesema Michelle? Hauwezi kusema hatuwezi kufanya kama Michelle alivyomfanyia Obama huku Michelle unayemtolea mfano ni mwanamke, so mpaka hapo inaashiria kwamba we Can and Yes I can.

We've already said all and over again kwamba mwanamke anapokuomba hela 50% it's indirect way of saying.. I don't like you and I will never love you so you better get the fck out of here. Anakuomba hela ukimpa atajiweka ili aendelee kupata hela ukimnyima atajitoa kwasababu she doesn't love you. Kwa hiyo hii siyo sababu ya kusema true love haipo. Ipo sana unapompata mtu sahihi kwako.
Same applied to men, wanaume siku hizi wanadanga hatari, wakimwona mwanamke ana hela anajiweka hata kama haupendi ili avune tuu mapesa lakini haimaanishi kwamba hana mtu anayempenda upendo wa kweli.

Usikimbilie sehemu ambayo haupendwi ukitaka kudhibitisha existence of true love. Utaishia kuamini kwamba it doesn't exist. Once again, this is such an insecure mentality to have, y'all should redeem yourself from hizo imani mnazo zishikilia la sivyo you will never enjoy the existence of true love.

You've to change na kuanza kusali ili kujua mwanamke sahihi kwako ni yupi. Mfano Mimi cute b ninajua kushow true love lakini haimaanishi ni to everybody hell Nah...it's only kwa mtu ninayempenda kweli.

To cut a long story short Lizarazu just because y'all don't believe in something, doesn't mean it doesn't exist, it just means you don't get to experience it.

Anything which is rare, its rarity should amount to non-existence in logical table, okay let me now align with your assumption.

Mfano mzuri, kumbuka hapo zamani ilikuwa ni kawaida binti kuolewa akiwa bado na bikra yake, lakini kadri miaka inavyozidi kwenda bikra zinazidi kuwa adimu. Hivyo hivyo hata kwenye hicho unachokiita true love, kwa kizazi cha miaka ya nyuma sina doubt kwa kizazi cha sasa love is scam(it’s already lost its meaning).

Unconditionl love now days is only found from our moms. Kwa nyinyi wadada wa kizazi hiki kuingia kwenye relationship na mtu ambaye bado hajawa na mbele wala nyuma halafu uka mpush kimaisha tumebaki kuona kwenye bongo movie tu. Si tunaonaga hata humu mnavyotiana ujinga mnasemaga eti kuanzia chini na mwanaume ni kiherehere na matumizi mabaya ya rasilimali.

Kwangu mimi Michelle sio mwanamke wa kizazi hiki, i don’t count her as a woman of this generation. Wanawake ninao wahesabu kuwa ni wa kizazi hiki ambao ndio nimewalenga hasa kwenye argument sangu, ni wale ambao ndio wako kwenye rika la kujenga familia(waliozaliwa kwanzia 1985 kuja juu huku) nyie ambao mmekuwa exposed na utandawazi mapema. So ni wangapi mko kama Michelle?

Hivi kweli hakuna njia nyingine ambayo ni modest ya kumfukuza mwanaume usiyemtaka tofauti na hiyo ya kuomba hela? Hauoni kwamba ukimfukuza kwa kumuomba hela tayari anaondoka huku amejijengea picha kwamba wewe ni malaya?. Hao wanaume wanaodanga achana nao kabisa wala haustahili hata kuwaongelea hapa

Lecture me on how to achieve the exact opposite of what you call “insecure mentality”

Praying for true love? plzz there are lotta things to pray for in this world of mine.
 
You are now playing devil's advocate Lizarazu. And that's cruel and unfair [emoji23]kwamba sisi wa kizazi hiki hatuna kabisa mapenzi ya kweli? Well that's your narrative not the right one.

People they are enjoying love/unconditional love and I am Absolutely and completely and forever glorious part of it ....yeah really I am!!!!
And as for some of you ndiyo hamyaoni [emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo maana it real hard to believe or to spot the existence of it kwenye this generation, so I can understand.

And yes, just because you can't see something doesn't mean it doesn't exist..nitaomba kwa niaba yako uonje ladha ya mapenzi ya kweli.[emoji23]

Kwa Leo umeshinda, but we are not done yet, you might take back your words.
 
You are now playing devil's advocate Lizarazu. And that's cruel and unfair [emoji23]kwamba sisi wa kizazi hiki hatuna kabisa mapenzi ya kweli? Well that's your narrative not the right one.

People they are enjoying love/unconditional love and I am Absolutely and completely and forever glorious part of it ....yeah really I am!!!!
And as for some of you ndiyo hamyaoni [emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo maana it's real hard to believe or to spot the existence of it kwenye this generation, so I can understand.

And yes, just because you can't see something doesn't mean it doesn't exist..nitaomba kwa niaba yako uonje ladha ya mapenzi ya kweli.[emoji23]

Kwa Leo umeshinda, but we are not done yet, you might take back your words.

Hahaha... devil’s advocate indeed! but that’s not my narrative it’s a graring truth that men should be exposed to. kupata true love kwa wanawake wa kizazi hiki ni sawa na kuokota pochi kwenye maandamano.

To a woman we men are just a utility! you women can only show love to us under the following stated conditions

1.i can afford your favorite life styles and fulfill other demands without questioning and expecting nothing big in return from you.
2.I don’t have money but i have a lots other things to offer that are too beneficial to you and money is not prob for you(already got your own).

Once i start to go down and fail to comply with the stated conditions above, i will be no longer useful,no longer loved,no longer given attention,no longer needed and welcomed. It doesn’t matter how much sacrifice i made for you in the past to make you happy, you will always live in NOW(wakati uliopo tu). I can do 99 good things for you but i will still become bad person the moment i fail once.

Hongera sana kwa kumpata soulmate ambaye unampenda kiukweli kweli, hakika huyo jamaa ni mtu mwenye bahati saaana, i can see your love escapedes in your write ups! maana sio kwa confidence hii bibie. Now set an example for your future generation that love really conquers all!

Nitaanza kutembelea huko ulipo/unapotoka yawezekana nikabadili mitazamo baada ya kuonja hiyo true love kwakweli.

hahahaha... Cute B bwana, basi mimi nasubiri uje unipe darasa.
 
Sasa mkuu kwani wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo?

Mi thijui[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Not our fault though the society we live in has already put that corrupt sociatel settings for both women and men. So you literally tell me majority of you ladies are cheap b!tches right? coz money has been lubricant for dragging most of you into relationship now days

Then how many of those wealthy ladies are ready to get into relationship with the person whom they fully know he’s broke as hell and they still be submissive and help the guy to live better than he was before at their own expenses?

Hapo kwa Michelle you miss the whole point niliyoimaanisha.

how many of you ladies are ready to make a sacrifice of your livelihood for helping a guy to live up to his potential like Michelle did to Obama?

Nilichokimaanisha mimi hapa sio hicho unachokisema. Mwaka 2004 wakati Obama anachaguliwa kuwa senetor baada ya kuwa state senetor, Michelle aliacha kazi rasimi na kuamua kusapoti political career ya mume wake hasa kwenye safari yao ya kuelekea white house.

Hapa unaona Michelle alifanya sacrificial decision for the sake of love kwa mume wake hili atimize ambition zake. Sasa nikuulize wewe, ni wanawake wa ngapi wa kizazi hiki ambao wako tayari kuacha taaluma zao walizozisotea miaka kadha kwa ajili tu ya kutimiza ndoto za mwanaume?

Unachokisema wewe ni tukio liliotokea mwaka 1989 huko, mfano wangu unalenga tukio la mwaka 2004 hapo! kama huamini tafuta kitabu cha dream of my father cha Obama mwenyewe.
Hahah mkuu

Ukisha kua na pesa we na mtu broke vipi tena
Pointblank hamuendani
Men dont fvck wth broke bitches pia
Mke kumhudumia mwanaume is against nature
Mwanaume unahitaji pa kuanzia ndo uwaze mapenzi
I thnk girls shld accept to wait for growth ya potential ya mwanaume lakini sio kumlisha na kumvisha..that BIG NO

Let me talk abt Michele cause i have read her biography..Becoming Michelle Obama

Bruhh muda huo Obama anakua Senator mwanzoni Michelle aligoma gomeee gomee kuhamia washington alibakia Chicago na kazi yake Obama ndo akawa anakuja

She was conviced to quit baada ya kupata matumaini ya mauzo ya kitabu cha pili cha Obama
Audacity of Hope kama sio dreams frm my father..whichever .,namaanisha cha pili
Na hapo sijaweka kipato cha Useneta aka Ubunge..u know how much that is hata kibongo bongo mke wa mbunge kuacha kazi ulee familia ni rahisi sana pesa ipoo mume analeta tena ndefu sana

Obama was making money ..too much money to convince Michelle
Haikua rahisi hata kidogoo
Na sio rahisi hata sasa unaachaje kazi wakati pesa home hazitoshi?..ama kama zipo anakunyanyasa nazo?..
Obama and Mich mda huo their marriage was also on a good point they had tried counselling ..their girls growing etc

Achaneni na Michelle asee Obama was making Money he was POTUS in the end pia...so u can imagine the cashflowww
 
Bila shaka umefuatilia comments zangu tangu awali na hasa nilizokuwa namjibu Cute B, mabishano yetu ilikuwa ni love is unconditional thing,it doesn’t necessarily need people of the same class to exist. If you can’t date a person be’se he/she not in the same with you be it financially or whatever then that’s not love. kwa hiyo mpaka hapa wewe umethibitisha kwamba hakuna upendo wa kweli(true love).

Ni kweli kabisa mke kumuhudumia mume ni kosa na ni against nature ikiwa tu yafuatayo hayatokuwepo katika ndoa/mahusiano hayo;

1.Mke kuwa na kazi ya kumuingizia kipato na anatumia muda mwingi zaidi katika kushughulika na kazi hiyo ya kumuingizia kipato kuliko kuangalia familia.

2.Mke kutofanya majukumu yake kama mama na badala yake kukabidhi majukumu hayo kwa watu wengine wafanye badala yake.

3.Bwana kupatwa na matatizo yanayoweza kumfanya akasitisha shughuli zake za kumuingizia kipato kwa wakati huo.

Nakubaliana na wewe kabisa, kuwa wanawake mnatakiwa muwe patient na kusapoti waume/wachumba zenu katika kutumia potentials zao na hatimae wote mje mfaidi matunda baadae. Lakini ni wanawake wangapi mliotayari kufanya hili? wengi wenu najua hamtaki hata kusikia!

Lets stop citing these michelle’s stories issue bacause the way you try to put it, it disfigures the whole meaning of this discussion.

Ila nimefurahi tu ume justify mwenyewe kwamba kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli hakipo siku hizi. Now days people are too materialistic and they pretentiously place love where they see there is a pool of milk.
 
Sasa mkuu kwani wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo?

Kwani shemeji hakuoneshi mapenzi ya kweli?

Isn’t our shemeji showering you with true love? maana yeye ndio muwakilishi wetu unayeishi nae huko ndoani mama.
 
Bila shaka umefuatilia comments zangu tangu awali na hasa nilizokuwa namjibu Cute B, mabishano yetu ilikuwa ni love is unconditional thing,it doesn’t necessarily need people of the same class to exist. If you can’t date a person be’se he/she not in the same with you be it financially or whatever then that’s not love. kwa hiyo mpaka hapa wewe umethibitisha kwamba hakuna upendo wa kweli(true love).

Ni kweli kabisa mke kumuhudumia mume ni kosa na ni against nature ikiwa tu yafuatayo hayatokuwepo katika ndoa/mahusiano hayo;

1.Mke kuwa na kazi ya kumuingizia kipato na anatumia muda mwingi zaidi katika kushughulika na kazi hiyo ya kumuingizia kipato kuliko kuangalia familia.

2.Mke kutofanya majukumu yake kama mama na badala yake kukabidhi majukumu hayo kwa watu wengine wafanye badala yake.

3.Bwana kupatwa na matatizo yanayoweza kumfanya akasitisha shughuli zake za kumuingizia kipato kwa wakati huo.

Nakubaliana na wewe kabisa, kuwa wanawake mnatakiwa muwe patient na kusapoti waume/wachumba zenu katika kutumia potentials zao na hatimae wote mje mfaidi matunda baadae. Lakini ni wanawake wangapi mliotayari kufanya hili? wengi wenu najua hamtaki hata kusikia!

Lets stop citing these michelle’s stories issue bacause the way you try to put it, it disfigures the whole meaning of this discussion.

Ila nimefurahi tu ume justify mwenyewe kwamba kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli hakipo siku hizi. Now days people are too materialistic and they pretentiously place love where they see there is a pool of milk.
Mkuu hakuna watu wavumilivu kama wanawake
I tell you hakuna binadamu mvumilivu kama mwanamke
Wanawake kila siku wanaolewa na average guys tu unasema hawako tayari kuvumilia.?Man please

Ila gharama za uvumilivu ndo zimefikisha mabinti wa kileo hapa..unavumilia but the man pays u shiit
Waulizeni Mama zetu kadhia walizopata kwny ndoa..most mamas walionyanyasika kwny ndoa wimbo mkuu anaohubiria binti yake ni awe independent mume asimtese km yeye alivoteseka
Atapambana no sitaki uolewe hadi upate degree au kazi au masters chochote yani ili mradi akuone ur better than her..like wise baba hamna baba anaedidimiza binti yake
No wonder kila mtu anatoka kutafta ukisubiri uletewe mtu anakunyanyasa mnoo

Afu watu mnakuaga biiize oh mama zetu hivi mama zetu vile
They tell their daughters a very different stort
Wanawake watakubaliana na mimi

Unless mwanamke mwenyewe ndo ajifunze elimu ya mahusiano..na ajitambue familia ni muhimu kwangu kuliko career..God has put that at the heart of every woman..u js need to find it and enjoy the wifely/mother/homemaker part as a woman

Kuhusu mapenzi usitizame wanawake tu
Jiulizeni wanaume mnapenda nini kwa wanawake
Let me tell you..tako,sura,hips,miguu ya bia,kiuno,sex,ana kazi ,ana elimu .,ana exposure,ana penda watoto nk
Utachukua bora mwanamke tu ama utachagua mzuri?..its all conditional..hupendi tu blindly/unconditional.,kuna selfish motives attached

Everybody needs a starting point ya mapenzi..uvumilivu ndo huwa una shinda watu

About Michelle i js wanted to say she's no different frm other women.,she was js educated and fell in love wth a guy who wanted to be president..Obama alikua mtu wa calibre yake..both Ivy League goers,black successful lawyers, tall..they met at marriageable ages etc etc
 
Ni kweli kabisa wanawake ni wavumilivu, lakini sio nyie kizazi cha sasa ambapo mume akishuka kiuchumi mnaanza dharau na kumuona hafai tena kuitwa mume,sio nyie kizazi cha sasa ambao mnaona kuanzia chini na mwanaume kujenga empire yenu kwa nguvu zenu wawili ni ushamba,sio nyie kizazi cha sasa ambao ukimzidi mwanaume mshahara tayari unamuona ni disqualified kuwa na wewe. Kiufupi tukiongelea wanawake wavumilivu tunaongelea kizazi kingine kabisa na sio nyie.

Halafu kuna kitu kimoja ambacho nyie mbinti wa kileo hamkijui, Ndio ni kweli unaweza ukamvumilia mwanaume huku uki support jitihada zake wakati wa shida halafu mwisho wa siku akaja kukufanyia mambo yasiokupendeza kma vile usaliti,ufujaji n.k Kitu kimoja yapaswa ukifahamu ni kwamba Mwanaume ana muheshimu sana mwanamke aliyetoka naye chini, yaani hata kama atafanya upuuzi wote lakini heshima yake kwako itabaki pale pale na lazima kuna mahali atafika nafsi itamsuta na kukurudia akihitaji msamaha wako tu. Tofauti kabisa na pale ambapo anakutana na wewe wakati tayari akiwa ameshajijenga kimaisha, anaweza akafanya upuuzi wowote bila aibu wala kuogopa kwamba utajua, hapo hana cha kupoteza wala kujutia juu yako na ni mara chache sana atakupa genuine respect kama mke.

Sasa ninyi mabinti wa siku hizi wengi wenu mnatafuta mwenza wa kujenga nae familia ambaye tayari ameji establish yeye mwenyewe kwanza ambapo wewe ukija unakuwa ni kama added variable tu kwenye safari ya maisha yake!! Na mnafanya hivyo Kwa minajiri ya kwamba eti likitokea la kutokea kwenye mahusiano yenu hasa kama jamaa akikengeuka wewe hutakuwa na cha kujutia..!! Aloo poleni saaana! ni nadra sana mwanaume kumpa heshima anayopaswa kupewa kama mke mwanamke wa dizaini hii you will always be taken for granted as a wife who bears my surname.

Na wazazi wenu nao wanawatieni miseducation(nisiseme ujinga) eti sijui mkiwa independent wanaume hawatawasumbueni na blah..blah zingine, ni kweli wako sahihi kwa hicho wanachokisema lakini pia hapo hapo wanatengeneza tatizo lingine bila kujua, once you fall into that miseducational trap then your marriagiability becomes in jeopardy! As they insist you to study hard and build your own wealth before you consider anything about marriage, they indirectly teach you to be a MAN.

No man wants to marry a MAN.

Our parents prepare a generation of single mothers unknowingly by dishing out bad tips to you on marital life, shauru lenu.
 
Mwanamke ukishamzidi mwanaume ni disqualified ndio...heshima itatoka wapi?.u have nothing kunizidi nakuheshimu vipi?..si wote tutakua na sauti..msilaumu wanawake bure nature iko hivyo(exceptions to the rule ni chache)
Kiujumla mwanaume anapaswa kuwa zaidi ya mwanamke anaemchagua kiumri,kipato,elimu,exposure ya maisha,connections,physical aspects mf urefu nk ukishazidiwa usilalamike..find another option

And What are you guys always assuming?kwamba mwanaume pekee ndo atakua kajiandaa kimaisha then binti hana kitu?hamuoni wanawake wenye maisha yao sikuhizi?..kujiestablish mnakuona kwa mwanaume tu kwanini?.

Shida ni nini mkikutana wote mmeshajiestablish na kila mtu ana mafanikio yake?..unadhani mapenzi kufanikiwa ni hadi muanzie chini?.what is wrong una gari na ye umekuta analo..una elimu na ye anayoo...ama biashara na ye anayooo..unajenga ye anakusaidia kumalizia tu ama unakuta na ye anajenga au kanunua kiwanja nk nk

Ts like mna assume binti yuko la 7 na katokea familia maskini hana mbele wala nyuma...which is not always the case..women are different these days

Swala la kustart from the bottom limeponza wengi si kuwa kuna mtu hapendi ...ni yaleyalee ya mchumba hasomeshwi

Na btw mbona nyie tu ndo mnataka msubiriwe?.
Vijana wa zama hizi can u take a woman to school?(jibu ni mchumba hasomeshwi)

Swala la independence and woman being a man
Ni tabia ya mtu tu
Mwanamke elimu haibadilishi uanamke wako
U can still remain a feminine woman despite maendeleo yako

Shida ni huu upuuzi ulozidi wa women empowerment hauna boundaries na wanaume hawafundishwi how to live with empowered women
Bruuh ni kweli nobody wants to marry a man ila the kind of women these days labda awe anajielewa sn kutofautisha

Dharau mume akishuka kipato inategemea pia...if my husband is faithful he deserves it and i will comfort him mnoo
Wangapi hawajali familia mke akijifungua?..ama uko bize na michepuko afu ushuke kiuchumi utegemee nikufariji kwa lipi?..nenda kwa mchepuko wako sh.wain kbs..uaminifu hakuna afu unataka mema kwa mke.,ulipanda nini.,?.kila kitu kina sababu women js dont react out of nowhere
 
Binafsi sijawahi kumwomba mwanaume ambae Nishawahi kuwa nae kwenye mahusiano nae kitu chochote iwe pesa au kitu kingine kutoka kwake. Nasubiri apende yeye anipe na asiponipa siwezi kumind, tho napendaga nipewe zawadi coz na Mimi natoaga sana tu. Nikiwa nashida nitamuomba rafiki namaliza shida yangu.

Pili kuna wanaume ambao wanajiongeza hata kabla hujamuomba anakupa. huyu huna haja ya kumwomba.

Tatu, Mara nyingi sana sisi wanawake, ukiona mwanamke kakuomba kitu hasa hela trust me hajakupenda yupo hapo kwa lengo Fulani.mwanamke akikupenda kutoka moyoni anakuonea huruma, hata wewe ukiwa na shida yupo tiyari kukukopea ili akusaidie.

Haiwezekani eti mtu hakuchangamkii, gafla akuombe kitu ukimpa ndio akuchangamkie, hapo hakuna mapenzi, anakuomba kitu, ukimnyima akutafutie sababu ya kukuacha.
Nafikiri kwa kifupi umenena vema na umeeleweka
 
Back
Top Bottom