Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Naongelea mapenzi kutoka moyoni kwani mtu kukujali ndo maana yake anakupenda? Kwenye mahusiano watu wanaishi kwa imani tu kwamba wanapendana lakini hakuna mwenye uhakika kwamba mwenzie anampenda ndo maana wanasemaga mapenzi ni imani tu mtu anaweza akawa anakufanyia kila kitu kizuri ila moyoni hana hisia na wewe kabisa tena hilo wanaume ndo huwa mnaliweza sana
Kwani shemeji hakuoneshi mapenzi ya kweli?

Isn’t our shemeji showering you with true love? maana yeye ndio muwakilishi wetu unayeishi nae huko ndoani mama.
 
Naongelea mapenzi kutoka moyoni kwani mtu kukujali ndo maana yake anakupenda? Kwenye mahusiano watu wanaishi kwa imani tu kwamba wanapendana lakini hakuna mwenye uhakika kwamba mwenzie anampenda ndo maana wanasemaga mapenzi ni imani tu mtu anaweza akawa anakufanyia kila kitu kizuri ila moyoni hana hisia na wewe kabisa tena hilo wanaume ndo huwa mnaliweza sana

Aisee
 
Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.

Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.

Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.

Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.

Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.

1. Je, huwa mnapenda?

2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?

3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.

4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?

5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?

6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?

7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?

Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...

Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.
kijana elewa kuwa mjini msingi kiuno
 
Mwanamke ukishamzidi mwanaume ni disqualified ndio...heshima itatoka wapi?.u have nothing kunizidi nakuheshimu vipi?..si wote tutakua na sauti..msilaumu wanawake bure nature iko hivyo(exceptions to the rule ni chache)
Kiujumla mwanaume anapaswa kuwa zaidi ya mwanamke anaemchagua kiumri,kipato,elimu,exposure ya maisha,connections,physical aspects mf urefu nk ukishazidiwa usilalamike..find another option

And What are you guys always assuming?kwamba mwanaume pekee ndo atakua kajiandaa kimaisha then binti hana kitu?hamuoni wanawake wenye maisha yao sikuhizi?..kujiestablish mnakuona kwa mwanaume tu kwanini?.

Shida ni nini mkikutana wote mmeshajiestablish na kila mtu ana mafanikio yake?..unadhani mapenzi kufanikiwa ni hadi muanzie chini?.what is wrong una gari na ye umekuta analo..una elimu na ye anayoo...ama biashara na ye anayooo..unajenga ye anakusaidia kumalizia tu ama unakuta na ye anajenga au kanunua kiwanja nk nk

Ts like mna assume binti yuko la 7 na katokea familia maskini hana mbele wala nyuma...which is not always the case..women are different these days

Swala la kustart from the bottom limeponza wengi si kuwa kuna mtu hapendi ...ni yaleyalee ya mchumba hasomeshwi

Na btw mbona nyie tu ndo mnataka msubiriwe?.
Vijana wa zama hizi can u take a woman to school?(jibu ni mchumba hasomeshwi)

Swala la independence and woman being a man
Ni tabia ya mtu tu
Mwanamke elimu haibadilishi uanamke wako
U can still remain a feminine woman despite maendeleo yako

Shida ni huu upuuzi ulozidi wa women empowerment hauna boundaries na wanaume hawafundishwi how to live with empowered women
Bruuh ni kweli nobody wants to marry a man ila the kind of women these days labda awe anajielewa sn kutofautisha

Dharau mume akishuka kipato inategemea pia...if my husband is faithful he deserves it and i will comfort him mnoo
Wangapi hawajali familia mke akijifungua?..ama uko bize na michepuko afu ushuke kiuchumi utegemee nikufariji kwa lipi?..nenda kwa mchepuko wako sh.wain kbs..uaminifu hakuna afu unataka mema kwa mke.,ulipanda nini.,?.kila kitu kina sababu women js dont react out of nowhere

Vizuri sana, bila shaka tunakubaliana kwamba nyinyi wanawake wa kizazi hiki suala la uvumilivu kwenu halipo na mmekaa kiopportunist, maana mwanaume akiwa chini yako hasa kiuchumi huyo unamuona hafai. Yaani pamoja na kuletewa mfumo wa maisha ambao umewapa nafasi ya kunufaika sawa na wanaume karibu kwenye kila kitu na nyie mkaukumbatia lakini bado mnapenda kuishi na wanaume ambao wamewapiga gap kiasi fulani kwenye nyanja kadhaa za kimaisha duuh!! mnataka nini hasa au wanaume wa sayari gana hasa mnaowataka?Tusisingizie nature kila muda, hata nature kuna muda inatutaka tuchanganye na akili kidogo kama ambavyo tumechanganya na kuamua kumpa elimu na fursa za kushikilia uchumi mwanamke.

Hapa bila kutumia akili nyinyi wanawake ndio mnajikuta kwenye losing side. Ukifuata hiyo misingi eti mwanaume lazima anizidi kila kitu ndio ana qualify kuwa mume wangu, mwisho wa siku unajikuta una options chache sana za hao wanaume, maana kadri mmavyozidi kujiendeleza kielimu,kiuchumi vile vile pia unapunguza idadi ya wanaume wenye qualifications zako na hatimae kukosa kabisa.

Kiutamaduni,kiiimani na kijamii regardless wakati uliopo,mwanaume ndio anatakiwa kujiandaa kimaisha angalau hata msingi tu halafu ndio aje aungane na binti ambaye bado yuko kwenye zero wanyanyue huo msingi wote kwa pamoja huku mwanaume ndio akiwa kiongozi. Mahusiano/ndoa nyingi zenye afya wahusika wanakuwaga wamepita huku.

Mkishakutana wote wawili kila mtu amesha jiestablish kiuchumi sio kitu kibaya, lakini fahamu tu hapo hapatakuwepo na mwanamke bali wote ni wanaume tofauti yenu ni jinsia tu. Maana kabla ya kukutana kila mtu kafanya maandalizi ambayo kikawaida yapaswa yafanywe na mwanaume, hapo ni nadra sana hiyo ndoa yenu kuwa na nidhamu ya mume na mke alkadharika pia pepo la ubinafsi lazima liwaandame na hayo mahusiano/ndoa hayatakuwa na furaha ya kweli.

Lets put it buntly for any marriage to be frabjous,blissful,peaceful and bed of roses a wife should at least be dependent on her husband. contrary to that we will always have this kind of discussion over and over.. over

Suala la ku start from the bottom ni jema sana lakini kwa kizazi hiki kutokana na mporomoko wa maadili pamoja na matango poli tunayolishana linaonekana limepitwa na wakati, lakini nakuhakikishia kwa watu ambao bado wanalifuata katika kujenga mahusiano yao wanayafurahia maisha.

Unajua hakuna furaha kama kutumia kitu ambacho unafahamu kabisa jinsi kilivyopatikana? yaani ulikwepo kabisa tangu siku ya kwanza kinatafutwa na hii inakufanya hata ukiwa unakitumia, unakitumia kwa amani na kujiamini kabisa.

Binafsi sishauri mtu yoyote asomeshe mchumba fanya hivyo akiwa tayari ni mke wako, alkadharika pia kwa mwanamke sishauri aweke uvumilivu kwa mtu ambaye bado hawajawa pamoja kihalali.

Majority of ladies who get married while they’re already financially stable are just in need of upgrading their social status and bearing legitimate babies. They are too far from upholding feminine features in their marriages.
Kama ni tabia ya mtu basi wanawake wengi mnafanana tabia!

Hili sula la women empowerment kwa kweli limekuja kutuvurugia kabisa mfumo mzuri wa maisha ambao umepewa baraka kutoka kwa MUNGU tangu mwanzo wa hii dunia.Ni bahati mbaya sana huu mfumo umewalenga zaidi wanawake na kuwasahau wanaume, matokeo yake tumejikuta sisi wanaume tukiishi kwa kufuata misingi ya kale wakati wanawake wao wamebadilika. Unaona sasa hapo panapokuja kuleta mvurugano, ila sema nini huu mfumo mpya wa maisha unaenda kufeli vibaya sana na waathirika wakuu ni wanawake.

feminism/women empowerment imewharibu sana wanawake imewatengeneza kuwa wanaume, ni ngumu mno kumpata mke ambaye tayari akili yake iko crippled na mfumo huu.

Ukiyashirikia hayo mawazo utafeli na ndoa itakushinda hasubui sana, wewe hautakiwi kuwa mtu wa visasi na visasi vyenyewe eti unasubiria wakati wa matatizo kwa mume wako!! Labda nikukumbushe tu wewe mwanamke ndio mlinzi mkuu wa ndoa yako kuliko hata mume wako, sasa tatizo likitokea kwenye ndoa yako na wewe ukalitumia hilo tatizo kama sehemu ya kujipa ahueni ya mambo yaliyowahi kutokea huko nyuma na hayakukupendeza hapo unakuwa umepoteza maana nzima ya kuwa mke
 
Vizuri sana, hivyo tunakubaliana kabisa kwamba nyinyi wanawake wa kizazi hiki suala la uvumilivu halipo na ni ma opportunist, maana mwanaume akiwa chini yako hasa kiuchumi huyo unamuona hafai, yaani pamoja na kuletewa mfumo wa maisha ambao umewapa nafasi sawa na wanaume ya kunufaika karibu kwenye kila kitu na nyie mkaukumbatia lakini bado mnataka kuishi na wanaume ambao wamewapiga gap kiasi fulani kwenye nyanja kadhaa za kimaisha... mnataka nini hasa au wanaume wa sayari gana hasa? Tusisingizie nature kila muda, hata nature kuna muda inatutaka tuchanganye na akili kidogo kama ambavyo tumechanganya na kuamua kumpa elimu na fursa za kushikilia uchumi mwanamke.

Hapa bila kutumia akili nyinyi wanawake ndio mnajikuta kwenye losing side. Ukifuata hiyo misingi eti mwanaume lazima anizidi kila kitu ndio ana qualify kuwa mume wangu, mwisho wa siku unajikuta una options chache sana za hao wanaume, maana kadri mmavyozidi kujiendeleza kielimu,kiuchumi vile vile pia unapunguza idadi ya wanaume wenye qualifications zenu na hatimae kukosa kabisa.

Kiutamaduni,kiiimani na kijamii regardless wakati uliopo,mwanaume ndio anatakiwa kujiandaa kimaisha angalau hata msingi tu halafu ndio aje aungane na binti ambaye bado yuko kwenye zero wanyanyue huo msingi wote kwa pamoja huku mwanaume ndio akiwa kiongozi. Mahusiano/ndoa nyingi zenye afya wahusika wanakuwaga wamepita huku.

Mkishakutana wote wawili kila mtu amesha jiestablish kiuchumi sio kitu kibaya, lakini fahamu tu hapo hapatakuwepo na mwanamke bali wote ni wanaume tofauti yenu ni jinsia tu. Maana kabla ya kukutana kila mtu kafanya maandalizi ambayo kikawaida yapaswa yafanywe na mwanaume, hapo ni nadra sana kuwepo na nidhamu ya mume na mke alkadharika pia pepo la ubinafsi lazima liwaandame na hayo mahusiano/ndoa hayatakuwa na furaha ya kweli.

Lets put it buntly for any marriage to be frabjous,blissful,peaceful and bed of roses a wife should at least be dependent on her husband, contrary to that we will always have this kind of discussion over and over.. over

Suala la ku start from the bottom ni jema sana lakini kwa kizazi hiki kutokan na mporomoko wa maadili pamoja na matango poli tunayolishana linaonekana limepitwa na wakati, lakini nakuhakikishia kwa watu ambao bado wanalifuata katika kujenga mahusiano yao wanayafurahia maisha.

Unajua hakuna furaha kama kutumia kitu ambacho unafahamu kabisa jinsi kilivyopatikana? yaani ulikwepo kabisa tangu siku ya kwanza kinatafutwa na unakitumia kwa uhuru na kwa kujiamini!

Binafsi sishauri mtu yoyote asomeshe mchumba fanya hivyo akiwa tayari ni mke wako, alkadharika pia kwa mwanamke sishauri aweke uvumilivu kwa mtu ambaye bado hawajawa pamoja kihalali.

Majority of ladies who get married while they’re already financially stable are just in need of upgrading their social status and bearing legitimate babies. They are too far from upholding feminine features in their marriages.
Kama ni tabia ya mtu basi wanawake wengi mnafanana tabia!

Hili sula la women empowerment kwa kweli limekuja kutuvurugia kabisa mfumo mzuri wa maisha ambao umepewa baraka kutoka kwa MUNGU tangu mwanzo wa hii dunia.Ni bahati mbaya sana huu mfumo mpyaa umewalenga zaidi wanawake na kuwasahau wanaume, matokeo yake tumejikuta sisi wanaume tukiishi kwa kufuata misingi ya kale wakati wanawake wao wamebadilika. Unaona sasa hapo panapokuja kuleta mvurugano, ila sema nini huu mfumo wa maisha mpya unaenda kufeli vibaya sana na waathirika wakuu ni wanawake.

feminism/women empowerment imewharibu sana wanawake imewatengeneza kuwa wanaume, ni ngumu mno kumpata mke ambaye tayari akili yake iko crippled na mfumo huu.

Ukiyashirikia hayo mawazo utafeli na ndoa itakushinda hasubui sana, wewe hautakiwi kuwa mtu wa visasi na visasi vyenyewe eti unasubiria wakati wa matatizo kwa mume wako!! Labda nikukumbushe tu wewe mwanamke ndio mlinzi mkuu wa ndoa yako kuliko hata mume wako, sasa tatizo likitokea kwenye ndoa yako na wewe ukakitumia hilo tatizo kwa ajiri ya kujipa ahueni ya mambo yaliyowahi kutokea huko nyuma na hayakukupendeza halo unakuwa umepoteza maana nzima ya kuwa mke
Ujue trust me am one of those people hata my friends call me old fashioned..to be honest ndoa bila a certain degree of dependency si ndoa...na mwanamke u have to learn kushuka..ss factors at play ni nyingi sn na maisha yanabadilika..inabd uende na wakati
Na usiokote bora mwanaume tu...mana wanaume nao wanachagua sanaaa..tako sijui uzuri sijui la 7 sijui 4m4 nk nk heheh
Hata wanaume ni opportunist vibaya mno nani anataka goli kipa.?

On the side., mtaacha kupeleka wakike shule?.ili wakutwe at zero.?
Nani anawafundisha to remain feminine women?.nobody teaches sh.it

Hata ukioa darasa la 7 ama form 4 tuko kizazi cha women empowerment ndugu ni sheeedah na masimu haya na masemina sijui mwanamke jasiri mara sijui strong woman blah blahh blahh yani vurugu hadi unajiuliza hivi wanawake wanaelekea wapi sikuhz

Huu mfumo unapofeli wanapoteza wanawake na wanaume ..jamii kwa ujumla
Wanaume wangapi wanakwama leo wakidai hawaoni mke wa kuoa?.

Last para..si kwamba ni kisasi ili usitegeme uwe busy kumsaliti mke unamjaza uchungu rohoni and expect her to be good on ur rainy days..utavuna ulichopanda...we ukisalitiwa hata mara 1 utakaa kwenye hio ndoa?.
Ndoa mtafeli nyie kaka zangu msioweza kuvumilia wala kukubali mabadiliko ya mfumo wa kuelimisha wanawake sikuhizi
Angalia usije nunua gunia mbili za mkaa jmn😂😅

Wengine tunapeta na ndoa zetu miaka inasogea
 
Vizuri sana, bila shaka tunakubaliana kwamba nyinyi wanawake wa kizazi hiki suala la uvumilivu kwenu halipo na mmekaa kiopportunist, maana mwanaume akiwa chini yako hasa kiuchumi huyo unamuona hafai. Yaani pamoja na kuletewa mfumo wa maisha ambao umewapa nafasi ya kunufaika sawa na wanaume karibu kwenye kila kitu na nyie mkaukumbatia lakini bado mnapenda kuishi na wanaume ambao wamewapiga gap kiasi fulani kwenye nyanja kadhaa za kimaisha duuh!! mnataka nini hasa au wanaume wa sayari gana hasa mnaowataka?Tusisingizie nature kila muda, hata nature kuna muda inatutaka tuchanganye na akili kidogo kama ambavyo tumechanganya na kuamua kumpa elimu na fursa za kushikilia uchumi mwanamke.

Hapa bila kutumia akili nyinyi wanawake ndio mnajikuta kwenye losing side. Ukifuata hiyo misingi eti mwanaume lazima anizidi kila kitu ndio ana qualify kuwa mume wangu, mwisho wa siku unajikuta una options chache sana za hao wanaume, maana kadri mmavyozidi kujiendeleza kielimu,kiuchumi vile vile pia unapunguza idadi ya wanaume wenye qualifications zako na hatimae kukosa kabisa.

Kiutamaduni,kiiimani na kijamii regardless wakati uliopo,mwanaume ndio anatakiwa kujiandaa kimaisha angalau hata msingi tu halafu ndio aje aungane na binti ambaye bado yuko kwenye zero wanyanyue huo msingi wote kwa pamoja huku mwanaume ndio akiwa kiongozi. Mahusiano/ndoa nyingi zenye afya wahusika wanakuwaga wamepita huku.

Mkishakutana wote wawili kila mtu amesha jiestablish kiuchumi sio kitu kibaya, lakini fahamu tu hapo hapatakuwepo na mwanamke bali wote ni wanaume tofauti yenu ni jinsia tu. Maana kabla ya kukutana kila mtu kafanya maandalizi ambayo kikawaida yapaswa yafanywe na mwanaume, hapo ni nadra sana hiyo ndoa yenu kuwa na nidhamu ya mume na mke alkadharika pia pepo la ubinafsi lazima liwaandame na hayo mahusiano/ndoa hayatakuwa na furaha ya kweli.

Lets put it buntly for any marriage to be frabjous,blissful,peaceful and bed of roses a wife should at least be dependent on her husband. contrary to that we will always have this kind of discussion over and over.. over

Suala la ku start from the bottom ni jema sana lakini kwa kizazi hiki kutokana na mporomoko wa maadili pamoja na matango poli tunayolishana linaonekana limepitwa na wakati, lakini nakuhakikishia kwa watu ambao bado wanalifuata katika kujenga mahusiano yao wanayafurahia maisha.

Unajua hakuna furaha kama kutumia kitu ambacho unafahamu kabisa jinsi kilivyopatikana? yaani ulikwepo kabisa tangu siku ya kwanza kinatafutwa na hii inakufanya hata ukiwa unakitumia, unakitumia kwa amani na kujiamini kabisa.

Binafsi sishauri mtu yoyote asomeshe mchumba fanya hivyo akiwa tayari ni mke wako, alkadharika pia kwa mwanamke sishauri aweke uvumilivu kwa mtu ambaye bado hawajawa pamoja kihalali.

Majority of ladies who get married while they’re already financially stable are just in need of upgrading their social status and bearing legitimate babies. They are too far from upholding feminine features in their marriages.
Kama ni tabia ya mtu basi wanawake wengi mnafanana tabia!

Hili sula la women empowerment kwa kweli limekuja kutuvurugia kabisa mfumo mzuri wa maisha ambao umepewa baraka kutoka kwa MUNGU tangu mwanzo wa hii dunia.Ni bahati mbaya sana huu mfumo umewalenga zaidi wanawake na kuwasahau wanaume, matokeo yake tumejikuta sisi wanaume tukiishi kwa kufuata misingi ya kale wakati wanawake wao wamebadilika. Unaona sasa hapo panapokuja kuleta mvurugano, ila sema nini huu mfumo mpya wa maisha unaenda kufeli vibaya sana na waathirika wakuu ni wanawake.

feminism/women empowerment imewharibu sana wanawake imewatengeneza kuwa wanaume, ni ngumu mno kumpata mke ambaye tayari akili yake iko crippled na mfumo huu.

Ukiyashirikia hayo mawazo utafeli na ndoa itakushinda hasubui sana, wewe hautakiwi kuwa mtu wa visasi na visasi vyenyewe eti unasubiria wakati wa matatizo kwa mume wako!! Labda nikukumbushe tu wewe mwanamke ndio mlinzi mkuu wa ndoa yako kuliko hata mume wako, sasa tatizo likitokea kwenye ndoa yako na wewe ukalitumia hilo tatizo kama sehemu ya kujipa ahueni ya mambo yaliyowahi kutokea huko nyuma na hayakukupendeza hapo unakuwa umepoteza maana nzima ya kuwa mke

Mkuu huo ni mtazamo wake na si wanawake wote, maana baada ya kuona mchango wake kuna mwanamke karibu yangu nikamuuliza na akanijibu tofauti kabisa na alivyotanabaisha yeye
 
Ujue trust me am one of those people hata my friends call me old fashioned..to be honest ndoa bila a certain degree of dependency si ndoa...na mwanamke u have to learn kushuka..ss factors at play ni nyingi sn na maisha yanabadilika..inabd uende na wakati
Na usiokote bora mwanaume tu...mana wanaume nao wanachagua sanaaa..tako sijui uzuri sijui la 7 sijui 4m4 nk nk heheh

On the side., mtaacha kupeleka wakike shule?.ili wakutwe at zero.?
Nani anawafundisha to remain feminine women?.nobody teaches sh.it

Hata ukioa darasa la 7 ama form 4 tuko kizazi cha women empowerment ndugu ni sheeedah na masimu haya na masemina sijui mwanamke jasiri mara sijui strong woman blah blahh blahh yani vurugu hadi unajiuliza hivi wanawake wanaelekea wapi sikuhz

Huu mfumo unapofeli wanapoteza wanawake na wanaume ..jamii kwa ujumla
Wanaume wangapi wanakwama leo wakidai hawaoni mke wa kuoa?.

Last para..si kwamba ni kisasi ili usitegeme uwe busy kumsaliti mke unamjaza uchungu rohoni and expect her to be good on ur rainy days..utavuna ulichopanda...we ukisalitiwa hata mara 1 utakaa kwenye hio ndoa?.

Kama uko hivyo basi hauko pabaya sana kuliko pale ambavyo ungekuwa hauko hivyo! Old marriages life styles will always be better than modern marriage life styles! No matter the circumstances we are now!

Kwenda na wakati kusilete athari kubwa kihivyo kiasi cha kukufanya mpaka mtu usiwe na sifa za kuwa na mwenza machoni kwa wale unotarajia kuwa wao ndio wakuchague wewe kuwa mwenza wao.

Halafu kuchagua mtu sisi wanaume hatuna vigezo vingi kama nyie, vigezo vyetu ni pamoja na hivyo ulivyovioorodhesha hapo lakini havina uzito kulinganisha na vile mnavyowekaga nyie.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anawaza kutompeleka mwanae wa kike shule hili akutwe kwenye zero step! Sema kinachotakwa kifanyike sasa hivi ni kutafuta namna ya kuwafanya watoto wetu wawe mama bora kwenye familia zao pasipo kuathiriwa na elimu waliyonayo katika kuhandle ndoa zao.

Halafu ni kwambie suala lingine ambalo linaweza likawa la kufikirika kwa upande kwako lakini ni kweli, hilo suala la women empowerment ni moja wapo ya ajenda ya NWO(New World Order) limeletwa mahususi kwa ajili ya kuzivuruga familia na kutengeneza jamii ya ovyo itakayokuwa rahisi kui control na kutimiza ajenda zingine kuu za hiyo NWO.

Huu mfumo unawaathiri zaidi nyie wanawake sababu hamjui mshike kipi muache kipi. Kuna muda mnataka kushikilia nature ambao ni kinyume na huu mfumo na pia kuna muda mnaona huu mfumo ndio unawafaa, sasa nini kinawatokea?

Mmeaminishwa kuwa nyie mnaweza kufanya kila kitu anachofanya mwanaume na wanaume nao wameshakubaliana, sasa kimbembe kinakuja kwenye kuiweka hiyo dhana kwenye uhalisia!

tunafahamu kwamba nyie ni dhaifu kuna mambo kadhaa mnatutegemea sana sisi ndio tuwafanyie! sasa tunapowatelekeza mnaanza kuleta lawama na kutia kutia huruma.

Mwaka juzi nchini Sweeeden wanawake waliandamana baada ya matukio ya ubakaji kushamiri, wakiwatuhumu wanaume eti wameshindwa kuwalinda wanawake wa nchi hiyo wasipatwe na matukio kama hayo ya kigaidi. Kumbuka Sweeden ni moja wapo ya nchi zenye radical feminism ya hali ya juu.

Huo ni mfano tu hili uone jinsi gani nyie ndio mko kwenye athari kubwa zaidi. Kama wanaume nao wakiukubali huu mfumo 100% ni hatari sana kwa wanawake.
 
Mtazamo gani mkuu? maana hapa tumeandika maandishi mengi sana yaliyobeba mitazamo ndani yake na sio tu mtazamo moja tu.

hebu jaribu ku point reply unayoilenga hasa
 
Ujue trust me am one of those people hata my friends call me old fashioned..to be honest ndoa bila a certain degree of dependency si ndoa...na mwanamke u have to learn kushuka..ss factors at play ni nyingi sn na maisha yanabadilika..inabd uende na wakati
Na usiokote bora mwanaume tu...mana wanaume nao wanachagua sanaaa..tako sijui uzuri sijui la 7 sijui 4m4 nk nk heheh
Hata wanaume ni opportunist vibaya mno nani anataka goli kipa.?

On the side., mtaacha kupeleka wakike shule?.ili wakutwe at zero.?
Nani anawafundisha to remain feminine women?.nobody teaches sh.it

Hata ukioa darasa la 7 ama form 4 tuko kizazi cha women empowerment ndugu ni sheeedah na masimu haya na masemina sijui mwanamke jasiri mara sijui strong woman blah blahh blahh yani vurugu hadi unajiuliza hivi wanawake wanaelekea wapi sikuhz

Huu mfumo unapofeli wanapoteza wanawake na wanaume ..jamii kwa ujumla
Wanaume wangapi wanakwama leo wakidai hawaoni mke wa kuoa?.

Last para..si kwamba ni kisasi ili usitegeme uwe busy kumsaliti mke unamjaza uchungu rohoni and expect her to be good on ur rainy days..utavuna ulichopanda...we ukisalitiwa hata mara 1 utakaa kwenye hio ndoa?.
Ndoa mtafeli nyie kaka zangu msioweza kuvumilia wala kukubali mabadiliko ya mfumo wa kuelimisha wanawake sikuhizi
Angalia usije nunua gunia mbili za mkaa jmn[emoji23][emoji28]

Wengine tunapeta na ndoa zetu miaka inasogea

hapo kwenye gunia mbili za mkaa nimecheka saaana!! na mkiendelea kutupanda kichwani zitawahusu sana [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naongelea mapenzi kutoka moyoni kwani mtu kukujali ndo maana yake anakupenda? Kwenye mahusiano watu wanaishi kwa imani tu kwamba wanapendana lakini hakuna mwenye uhakika kwamba mwenzie anampenda ndo maana wanasemaga mapenzi ni imani tu mtu anaweza akawa anakufanyia kila kitu kizuri ila moyoni hana hisia na wewe kabisa tena hilo wanaume ndo huwa mnaliweza sana

Kwa hiyo wewe kwenye mahusiano/ndoa unaishi kwa imani/assumptions tu kwamba mwenzagu ananipenda?

Na kwanini unasema wanaume ndio hodari kwa kuwa waigizaji wa hayo mapenzi ilihali tunaona wanawake kibao tu wakiingia ndoani tena wakila na viapo kabisa halafu baadae kile walichokifuata kikianza kutoweka na wao wanaona hiyo ndoa haina umuhimu tena?
 
Kama uko hivyo basi hauko pabaya sana kuliko pale ambavyo ungekuwa hauko hivyo! Old marriages life styles will always be better than modern marriage life styles! No matter the circumstances we are now!

Kwenda na wakati kusilete athari kubwa kihivyo kiasi cha kukufanya mpaka mtu usiwe na sifa za kuwa na mwenza machoni kwa wale unotarajia kuwa wao ndio wakuchague wewe kuwa mwenza wao.

Halafu kuchagua mtu sisi wanaume hatuna vigezo vingi kama nyie, vigezo vyetu ni pamoja na hivyo ulivyovioorodhesha hapo lakini havina uzito kulinganisha na vile mnavyowekaga nyie.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anawaza kutompeleka mwanae wa kike shule hili akutwe kwenye zero step! Sema kinachotakwa kifanyike sasa hivi ni kutafuta namna ya kuwafanya watoto wetu wawe mama bora kwenye familia zao pasipo kuathiriwa na elimu waliyonayo katika kuhandle ndoa zao.

Halafu ni kwambie suala lingine ambalo linaweza likawa la kufikirika kwa upande kwako lakini ni kweli, hilo suala la women empowerment ni moja wapo ya ajenda ya NWO(New World Order) limeletwa mahususi kwa ajili ya kuzivuruga familia na kutengeneza jamii ya ovyo itakayokuwa rahisi kui control na kutimiza ajenda zingine kuu za hiyo NWO.

Huu mfumo unawaathiri zaidi nyie wanawake sababu hamjui mshike kipi muache kipi. Kuna muda mnataka kushikilia nature ambao ni kinyume na huu mfumo na pia kuna muda mnaona huu mfumo ndio unawafaa, sasa nini kinawatokea?

Mmeaminishwa kuwa nyie mnaweza kufanya kila kitu anachofanya mwanaume na wanaume nao wameshakubaliana, sasa kimbembe kinakuja kwenye kuiweka hiyo dhana kwenye uhalisia!

tunafahamu kwamba nyie ni dhaifu kuna mambo kadhaa mnatutegemea sana sisi ndio tuwafanyie! sasa tunapowatelekeza mnaanza kuleta lawama na kutia kutia huruma.

Mwaka juzi nchini Sweeeden wanawake waliandamana baada ya matukio ya ubakaji kushamiri, wakiwatuhumu wanaume eti wameshindwa kuwalinda wanawake wa nchi hiyo wasipatwe na matukio kama hayo ya kigaidi. Kumbuka Sweeden ni moja wapo ya nchi zenye radical feminism ya hali ya juu.

Huo ni mfano tu hili uone jinsi gani nyie ndio mko kwenye athari kubwa zaidi. Kama wanaume nao wakiukubali huu mfumo 100% ni hatari sana kwa wanawake.
Kuna rafiki angu mmoja anasoma huko
Anakwambia kila mtu ni divorcee ndoa wanavunja dk 3 nyingi.,
Kila kitu kiwe na kiasi
 
Ni sawa na wanaume tu ndo maana nasema siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kwa wote wanaume na wanawake na siyo mnatupa lawama kwa wanawake peke yao
Kwa hiyo wewe kwenye mahusiano/ndoa unaishi kwa imani/assumptions tu kwamba mwenzagu ananipenda?

Na kwanini unasema wanaume ndio hodari kwa kuwa waigizaji wa hayo mapenzi ilihali tunaona wanawake kibao tu wakiingia ndoani tena wakila na viapo kabisa halafu baadae kile walichokifuata kikianza kutoweka na wao wanaona hiyo ndoa haina umuhimu tena?
 
Ni sawa na wanaume tu ndo maana nasema siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kwa wote wanaume na wanawake na siyo mnatupa lawama kwa wanawake peke yao

Labda nikuulize swali, kinachokufanya uwe ndoani wewe ni nini? na unahisi kinachomfanya mwanaume awe ndoani na wewe ni nini?
 
Kuna rafiki angu mmoja anasoma huko
Anakwambia kila mtu ni divorcee ndoa wanavunja dk 3 nyingi.,
Kila kitu kiwe na kiasi

cha kushangaza wao ndio wanaoanzaga kudai ndoa sasa! halafu hao hao ndio wanakuwa wa kwanza kuzichoka hizo ndoa, unakuta mwanamke ana umri wa miaka 35 hapo amewahi kuolewa mara nne.

Sasa na nyie wanawake wa huku afrika hayo maisha yanawanyemelea bila ya nyinyi kujua.
 
Mapenzi!!!

Sasa kumbe wanaume bado tunapenda kwa dhati, halafu unajishauwa tu hapa?!!

Hebu nenda kwanza kwa huyo jamaa akupeti peti na hili baridi akupe na msumali wa moto ushibe.
 
Sasa kwani hapo kwenye swali lako umeuliza mwanaume tu? Si umeniuliza kwanza mimi kinachonifanya niwe ndoani ni nini halafu ukaniuliza na mwanaume kinachomfanya awe ndoani na mimi ni nini?

Ndo maana nikakujibu kwa kifupi tu kuwa ni mapenzi nikiwa na maana kwamba kinachotufanya wote wawili tuingie ndoani ni mapenzi na ndo nilitaka nikukamatie hapo hapo nione unavyoenda kujichanganya mwenyewe maana hata wewe umesema siku hizi wanawake wote hatuna mapenzi
 
Your answer was too general and more of ambiguity so i could choose whatever interpretation that acquiesce in my point of view.

Pengine labda kwenye hayo mahusiano yenu mwanaume ndio mwenye mapenzi ya rohoni wakati wewe ni actor tu!

Ni kweli wanawake ninyi hamna mapenzi ya kweli kama ambavyo nimekwisha elezea hapo nyuma hilo halibadiliki.

Unaweza ukanipa sababu kuonesha kwamba nyinyi wanawake mna mapenzi ya kweli kuliko wanaume!?
 
Mwanamke ukishamzidi mwanaume ni disqualified ndio...heshima itatoka wapi?.u have nothing kunizidi nakuheshimu vipi?..si wote tutakua na sauti..msilaumu wanawake bure nature iko hivyo(exceptions to the rule ni chache)
Kiujumla mwanaume anapaswa kuwa zaidi ya mwanamke anaemchagua kiumri,kipato,elimu,exposure ya maisha,connections,physical aspects mf urefu nk ukishazidiwa usilalamike..find another option

And What are you guys always assuming?kwamba mwanaume pekee ndo atakua kajiandaa kimaisha then binti hana kitu?hamuoni wanawake wenye maisha yao sikuhizi?..kujiestablish mnakuona kwa mwanaume tu kwanini?.

Shida ni nini mkikutana wote mmeshajiestablish na kila mtu ana mafanikio yake?..unadhani mapenzi kufanikiwa ni hadi muanzie chini?.what is wrong una gari na ye umekuta analo..una elimu na ye anayoo...ama biashara na ye anayooo..unajenga ye anakusaidia kumalizia tu ama unakuta na ye anajenga au kanunua kiwanja nk nk

Ts like mna assume binti yuko la 7 na katokea familia maskini hana mbele wala nyuma...which is not always the case..women are different these days

Swala la kustart from the bottom limeponza wengi si kuwa kuna mtu hapendi ...ni yaleyalee ya mchumba hasomeshwi

Na btw mbona nyie tu ndo mnataka msubiriwe?.
Vijana wa zama hizi can u take a woman to school?(jibu ni mchumba hasomeshwi)

Swala la independence and woman being a man
Ni tabia ya mtu tu
Mwanamke elimu haibadilishi uanamke wako
U can still remain a feminine woman despite maendeleo yako

Shida ni huu upuuzi ulozidi wa women empowerment hauna boundaries na wanaume hawafundishwi how to live with empowered women
Bruuh ni kweli nobody wants to marry a man ila the kind of women these days labda awe anajielewa sn kutofautisha

Dharau mume akishuka kipato inategemea pia...if my husband is faithful he deserves it and i will comfort him mnoo
Wangapi hawajali familia mke akijifungua?..ama uko bize na michepuko afu ushuke kiuchumi utegemee nikufariji kwa lipi?..nenda kwa mchepuko wako sh.wain kbs..uaminifu hakuna afu unataka mema kwa mke.,ulipanda nini.,?.kila kitu kina sababu women js dont react out of nowhere
Kwa maelezo yako hapa ni kama unasema tuoe wadaada wa std7, maana ukishaamua kuoa msomi, tayari unaijiingiza kwa mtu mwenye elimu, exposure na kuna uwezekano at some time in life atakuwa na kipato kumshinda mwanaume.

Mwanaume akishaoa msomi mwenzake, then akubaliane na fact kwamba huyo mdada ana mambo mengi ambayo huenda hata akamzidi mume wake.
 
Back
Top Bottom