Hahaha aisee, kweli jasiri haachi asili.Utajisumbua bure mzee mwenzangu, sumni yako nitakula na bado nitabaki wa baridi kama maji ya mtungini!
(Hiyo sumni tuma kwenye namba ileile inayoishia na 70)[emoji6]
kwahyo umeamua kunianika dingiKuna wengine wanazo ila waoga kwa madem. Back to 2015-16 wkt nko chuo nilikua na jamaa angu sana nilimpa jina la alwattan huyu janja kwao walikuwa na pesa sana kuendesha hizi prado, vx, bmw kwake ilikua kawaida sana, hyu jmaa shida ilikua mdomo tu yan alikuw na dem mbaya kwel [emoji23][emoji23]. Mimi ndio nlokuwa na kaz ya kumtongozea madem hasa tukienda batani ndo nilikua namtafutia chombo anakula[emoji119]. My point unaweza kuwa na Pesa ila ukawa mwoga kwa madem kumbuka ukishakuwa mwoga huwez omba namba au kutongoza
naomba kujua kama bado upo nae . na kama mliachana ni kwa sababu zipimimi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume na wala sidhan kama inafundishika ni tabia tu ya mtu
kuna mmoja nilikuwa sijawahi kumuomba kitu na ndio alikuwa wa kwanza kunipa hela.Siku moja tulikuwa tunazunguka madukani kununua viatu kwa ajili ya graduation akapiga simu uko wapi nikamwambia nipo huku natafuta simple za graduation akasema sogea mahali fulani nikamwambia nipo na marafiki zangu akasema njoeni wote tukaenda hapo ndo nilijua kumbe ana duka la viatu na vitu vingine nakumbuka tulipewa viatu na saa bure wote halafu akanipa elfu 50000 akasema hii kanunue keki nikarud home na elfu 80000 point hapa ni kuwa kuna wanaume wanatoa tu bila kuombwa ila wengine hawajiongezi
Haya sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza sautii Cole Williams kuna watu nataka wasikiee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Louder[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]Haya sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1162257
tuliachana mkuu japo bado nachat naye sababu ni alienda kumsalimia mama yake songea huko akampa na mimba mtu hukonaomba kujua kama bado upo nae . na kama mliachana ni kwa sababu zipi
Tutapasua ear drum... Afu nasikia sauti kubwa inapunguza nguvu za kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Louder[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
That isn't enough!!!
Hahahahhaha I feel attacked.
BTW this is such an insecure mentality to have.
True love does exist THO a man should be trying to get our attention na nyie wenyewe huwa mnaamini katika hela ndiyo kitu pekee kinachoweza kututeka.
Sisi tufanyaje?
Eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]makelele yanapunguza nguvu za kiume.Tutapasua ear drum... Afu nasikia sauti kubwa inapunguza nguvu za kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahhahah kasema kiongozi flan wa NEMC[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]makelele yanapunguza nguvu za kiume.
Dunia hii jamani.
kwahyo umeamua kunianika dingi
you feel attacked by gospel truth..huh?
what’s true love then? how can we separate true one from fake one? imekaaje hii?
why should i be the one who tries to get your attention and not vice verse? wanawake bwana
Msemaji mkuu wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahah kasema kiongozi flan wa NEMC[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani ni matokeo ya wanawake kujiposition kuwa wanauza huduma ya uhusiano ndio maana uhusiano ukifeli mwanaume anadai chakeNa hii imekaaje mwanaume ukishamsaidia mpenzi wako hela...mkikosana kidogo unamdai tena kwa fujo...
Hii imetokea leo kwa rafiki yangu yani nimejisikia vibaya sana
Samahani kwa kutoka nje ya mada
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Msemaji mkuu wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PoleniiiiSisi wenyewe hatujui tunapenda nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]