Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Nimesoma mpaka dots, sijaacha chochote ila kuna sehemu zimenitoa machozi.

Hongera sana kwa mapambano na pole kwa kufiwa. Mungu ni mwaminifu, sasa tafakari mimba kweli ingetoka ungekua sehemu gani? Huyo mtoto umpendaye na kusema anaakili ungekua umemuua. Omba Mungu akusamehe kwa hilo.

Mwisho, wewe ni mzuri wa simulizi na uandishi mzuri sana.
 
Punguza mihemuko ndugu yangu,Kama unaisoma hii story uburudike au uamishiwe kihisia fine na story iko poa Sana..
Me nakupinga mkuu hii story inaonekana 100% ni ukweli, maana hata me pia nilisoma na nilikua mkorofi sana hata nilipokua nachezea bakora za maticha kamwe ckusema kundi langu na mambo yaliisha kimya.

Na kingine huezi amini kuna baadhi ya wasichana tulisoma nao wengine darasa moja kabisa walipata mimba wakazaa nakurudi kuendelea na masomo yao bila shida kutokana na juhudi zao darasani waalimu waliona kuwafukuza shule itapunguza ufaulu wa shule kiujumla.

Na kuhusu maswala ya kokoto hujui tu watu wanavyo fight wapate chochote kitu, watu wanapambana sana hujui tu.

Na kuna baadhi ya vijiji watu hawaishi kiujamaa wala kiujamii kila mtu anapambana na familia yake mfano mzuri ni kwetu huko.

Ila wewe ndo mwenye maamuzi ya kuchagua kipi cha kuamini na kipi kutokuamini.
 
Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufipi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikiwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi cha ngoma shuleni kwa ajili ya kupokea mwenge maana ulikuwa unalala shuleni kwetu. Basi moja ya
For the first time nimetoa chozi tangu kuifahamu JF. Mungu akupe maisha marefu na hongera kwa uaminifu kwenye ndoa yako ya mwanzo.
 
Nimejikuta nalia eti daaa, kwa kua umeniuliza acha tu nikujibu.

Kifupi mpaka leo sijui alifariki kwa ugonjwa gani, baada ya mimi kurudi shule ndugu nasikia walienda kwa mganga, maana ziliibuka imani za kishirikina kwa upande wa wao. (Alinambia rafiki wa marehemu)
Daaah!pole kipenzi!
 
Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufipi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikiwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa
Naomba kuuliza,eti Kulfi ndo nini?
 
Back
Top Bottom