Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi cha ngoma shuleni kwa ajili ya kupokea Mwenge maana ulikuwa unalala shuleni
Ni story nzuri, sema ndefu, nimeishia njiani!!
Nimeishia kule mstuni ambako watu walikuwa wanauwawa bila ya wengine kujua

Hii ndo ile movie ya Jamila na pete ya ajabu au...
Msaada tafadhari!!
 
Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi cha ngoma shuleni kwa ajili ya kupokea Mwenge maana ulikuwa unalala shuleni kwetu. Basi moja ya watu waliochaguliwa na mimi nilichaguliwa kujiunga na kikundi hicho ila
Kama hapo umefupisha sijui tungemaliza kusoma lini kama ungeiandika story yote
 
Hao wanaume wakikusumbua njoo kwangu nikupe mwanaume Bomba utafurahi! sana....pili huyo Mumeo wa kwanza alionewa wivu na watu wakamroga!...usisikie kitu watu zina wivu kweli!
 
Story nzuri Sana,, japo umenitoa machozi
Mtunze mtoto vzr na mjengee misingi mizuri awe kama baba yake. Kazi ya mola haihojiwi lkn R alikuacha ktk kipindi ambacho ulimhitaji na yy alikuhitaji zaidi ( Allah ampe pumziko la milele ) Daaah inahuzunisha Sana
 
pole sana mama,kwa kweli ni kumbukumbu ambayo haiwezi kufutika kamwe,Mungu amrehemu huko alipo
 
Back
Top Bottom