Mapenzi yanauma jamaniii

Mapenzi yanauma jamaniii

Joined
Jun 16, 2026
Posts
23
Reaction score
48
Wazee inakuejee mabibi inakueje,

Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka kumaliza form six, sasa nikatupia swaga mtoto akakubali sababu Mimi ni mnyamwezi

Penzi likanogaa, sasa kinachoniuma kumbe alikuwa na mchumba huko mkoani, kwao Igunga, alikuwa anasubiri amalize shule amuoe, kibaya zaidi Mimi nimewekeza kila kitu kwake hela nimempa za kutosha na shoo akawa ananinyima akinambia yeye ni bikra nisubiri muda ufike atanipa😭😭😭

Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
 
Uza greda moja halafu tumtimbie huyo kimodo huko Manzega mwanangu.Hachomoi.
 
Back
Top Bottom