Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Yan katika stor bora kwangu iliyonifurahusha na kunihuzunisha ni hii imenigusa ndani kabisa hasa pale alipofariki dah kiukwel nilieka cm pemben mwili ukasisimka nimesoma km unaniadithia fac2fac naiman huyo R angekuepo aseh naiman angekuw mbali kimaendeleo.

Ila pole sana usisahau kumuombea dua km ww ni muslim bhas usisahau hilo iwe km unamkumbuka na pale unapomuombea dua ukiwa na mashekh(km muslim) huwa inamfikia na atalifurahia huko alipo.....ila nikuuliz ulipokuw chuo miaka 3 yan hujawai kudo!!!na je ulikuw hauna hamu ya dushe.
 
Yan katika stor bora kwangu iliyonifurahusha na kunihuzunisha ni hii imenigusa ndani kabisa hasa pale alipofariki dah kiukwel nilieka cm pemben mwili ukasisimka nimesoma km unaniadithia fac2fac naiman huyo R angekuepo aseh naiman angekuw mbali kimaendeleo ila pole sana usisahau kumuombea dua km ww ni

Kwa kweli nilimaliza kipindi kirefu bila kuamini kafa nilikua naamini atarudi tu. Nikilala namuota nikiamka naanza kulia niliteseka sana kuweza kuilazimisha nafsi kuwa hayupo.

Na hata mtu alikuwa akitaka mahusiano na mimi nilikuwa naona kama namsaliti R.

Sikuwahi kuwa na mahusiano kabisa, hata kuingia mahusiano hayo mengine bado mwanzo nilikuwa najiona kama msaliti ila baadae nafsi ikaridhia.
 
Pole san dua ni muhimu juu yake alifight kwajil yako had ukarud xul na amekuachia alama(mtoto)iwe km kumbukumbu kwako kila jambo hutokea ni kwa mapenz ya Allah
 
Yan wewe unakipaji cha uchawi aseh roho mbaya itakumaliza naimani majiran zako wanapata shida sana juu yako
Punguza mihemuko ndugu yangu,Kama unaisoma hii story uburudike au uamishiwe kihisia fine na story iko poa Sana..

Ila Kama unaisoma na kutafakari mapito aliyopitia muhusika katika hyo story utagundua Ni ya kutunga na ukitaka kuaminia fanya review soma kwa utaratibu na ukitafakari na uhalisia...

Kipato Cha sh laki moja kwa kugonga kokoto ?kwa kijijini?hyo mjini kwenyewe hupati...miezi mitatu na nusu upo nyumbani hujaonekana shule ,kwa nn asingemuambia Yule shangazi aliemfutuata Wakati wa ujauzito amsaidie kwenda shule?

Labda wewe umezaliwa mjini na umekulia mjini,ila ngoja nikuambie maisha ya vijijini watu wanaishi kiujamaa...huwezi kuta familia wanaishi wenyewe wenyewe tu hakuna uncle, mamdogo,mababu,mabibi ...lakini kwenye hii story tumeona wahusika wengine wamechomekwa sehemu za kujazilizia tu

Ngoja nikuambie waalimu /mapolisi hawana tofauti pindi umefanya msala akaitwa mzazi ,kamwe hawawezi kukutetea watakuchongea na mengine ya nyuma tofauti na kesi iliyomleta mpk utajuta kwa nn mzazi aliitwa (kwa sisi tuliokuwa watukutu tunajua)lakini kwenye hii story tumeona muhusika aliitwa mbele ya wanafunzi na waalimu akachezea fimbo amtaje bwana yake akauchuna na waalimu wakavunga hicho kitu sio kweli

Ishort story Ni nzuri labda aseme ipo based on true story lakini kajazia na vinyamanyama kuichangamsha

For instance: kwenye movie ya taitanic ilitakiwa Jack afe ili movie iwe tamu zaidi
 
Utasikia mtu anajiita star anahubiri eti hakuna ndoa bila hela, mbona hii pisi kali ilidumu katika shida na raha.
R hakua na pesa ila alikua mpambanaji na asie ogopa majukumu. Katikati ya umaskini wake alijivisha ushujaa na kumpambania bint kwa kila hali hata kipesa pia.Hakuna mwanamke asietaka mwanaume kama huyo.

So shida sio pesa shida ni upo tayari kutafuta na kushare na mwenzio hata hicho kdgo? Tena unashare kwa mapenzi kabisa ukiwa hivi hautaachwa.
 
Punguza mihemuko ndugu yangu,Kama unaisoma hii story uburudike au uamishiwe kihisia fine na story iko poa Sana..

Ila Kama unaisoma na kutafakari mapito aliyopitia muhusika katika hyo story utagundua Ni ya kutunga na ukitaka kuaminia fanya review soma kwa utaratibu na ukitafakari na uhalisia...
Ni wapi nimeandika nilikuwa nakaa kijijini?

Na unajua gharama ya kokoto ya kila mkoa?

Na nimeeleza alikuwa anafanya shughuli ngapi?

Ila ni vyema ukaamini ni ya kutunga maana ndio upeo wako huo.
 
R hakua na pesa ila alikua mpambanaji na asie ogopa majukumu. Katikati ya umaskini wake alijivisha ushujaa na kumpambania bint kwa kila hali hata kipesa pia.Hakuna mwanamke asietaka mwanaume kama huyo.

So shida sio pesa shida ni upo tayari kutafuta na kushare na mwenzieo hata hicho kdgo? Tena unashare kwa mapenzi kabisa ukiwa hivi hautaachwa.
We pia ni wife material na umeongea kutoka moyoni. Tunashauri vijana kabla hajasema nina pisi kali aangalie content za huyo mtu.

Pisi kali inabidi pia awe na content za mawazo chanya ya kuchukuliana wakati wa shida na raha kama wewe. Uko vizuri.
 
Mkuu umeandika ndefu sana hapa nimesoma mpaka nimepitilizishwa kituo cha kushuka kwenye daladala.

Ila sio mbaya story ni tamu sana na nimefurahia kuisoma, ngoja nitoe tena jero nipande daladala ya kurudi.
 
Punguza mihemuko ndugu yangu,Kama unaisoma hii story uburudike au uamishiwe kihisia fine na story iko poa Sana..

Ila Kama unaisoma na kutafakari mapito aliyopitia muhusika katika hyo story utagundua Ni ya kutunga na ukitaka kuaminia fanya review soma kwa utar

For instance: kwenye movie ya taitanic ilitakiwa Jack afe ili movie iwe tamu zaidi

Sas ndugu stor ya mtu unaforc iwe ya uongo ww unauhakika gn km ametunga!!au unakisia tu!!!stor iwe ya uongo au ya ukwel mm nimeburudika nayo na imenigusa hilo sijal mm namuamin muhusika mkuu ningekuamin na ww lait ungesema ww ndio ulikuw director wa hii stor hapo sawa
 
Polee sanaa Gldness story yako mwanzon nitaam sanaa ina hisia kama move ya kiindi. Ila mwishoni imenihuzunisha sanaaaaaaaa

Kwakweli nakupongeza kwa akili zako ulizo nazo. Napenda sana wanawake kama wewe kuwepo katika marafiki tuu wa maisha kwakweli.

Nakuombea sanaa we na Mtoto wako maisha mazuri sanaa.
 
Nimejikuta nalia eti daaa, kwa kua umeniuliza acha tu nikujibu.
A see pole tena we mamaa.

Kweli maisha ni changamoto kabisaaaa.

Ila cha kuku sihi usiache kuwapenda na kuwawekea chukii.

Mawaombea tena we na mtoto wako.

Rest in Piece Mr R
 
Back
Top Bottom