Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Hongera sana kwa kupata wa kukuoa ambaye mnaendana, ni yule mjeda uliyempost siku zile?


Anyways, inawezekana huyo aliyekutesa baada ya kukuoa ulikuwa unakumbushia mambo ya mpendwa wako R, nikushauri kama unaingia kwenye ndoa jitahidi mambo ya R yasiwepo katika ndoa yako, vinginevyo kila la heri.

Msalimie mjeda wako.
 
mjusilizard Hongera sana kwa kupata wa kukuoa am


Aliyenioa hajui story ya R kwa ukamilifu maana mimi sikutaka kumhadithia full story, na hata vipande vya story alihadithiwa na mama na ndugu zangu.

Anachojua ni kuwa nilibeba mimba shule, na aliyenipa alifariki basi. Sikua na uwezo wa kuhadithia nilikuwa nikisikia hata mtu anaitwa jina nalia so sikua na story kabisa zinazohusu huyo R.

Ni yule yule mjeda ndie anayetarajia kunioa.
 
Daah mpaka machozi yamenilenga. Aiseee what a love story. Pole sana kwa kumpoteza baba mtoto wako na hongera kwa kua na copy yake.
You fool! Hii story ya kutunga, sio kweli...labda umsifie anajua uandishi mzuri
 
Back
Top Bottom