Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Utegemezi na umaskini ndo sababu kubwa kwa wanawake walio weng,ukiwa independent huo ujinga hakuna
Sio kweli...hata uwe na kajiuwezo kama ukikutana na dominat utakuwa dominated tu kwa namna moja ama nyingine...wale wanajimu wanasema kuzidiwa nyota kama kina [HASHTAG]#mshan jr[/HASHTAG]
 
Sio wapole tupu mnakutana wote wacheshi watundu wachokozi yaani mnachokozoana mnataniana hamna kununiana au mmoja akinuna mwingine hapitishi dakika bila kuleta uchokozi na utani utaofanya aliyenuna arudi kawaida na mahaba yanaendelea.

Nilishakutana na mwanaume wa hivi..... hadi akakiri. ... Kasie you are the woman I wished and looking for..... but look the time he was confessing this tayari yeye yuko committed na mtu mwingine na hujui atatokaje kwenye hayo mahusiano yake wala hajui atatoka lini.

Tulikuwa marafiki muda mrefu tuu karibu miaka 4 kipindi chose hicho yeye yuko committed na nilikuwa najua, sikuwahi mwambie toka huko uje tuanze upya maana sikutaka kuwa sababu na chanzo cha yeye kutoka kwenye commitment yake. Ila nilitamani sana kumwambia toka uko uje tuanze maisha yetu mbona muda wote tunakuwa wote we match. ... yaani.... ukituona ni kama watoto wadogo wanavokuwa happy and joyous all the time.

Ikafika kipindi nikakaa pembeni abaki na commitment yake laah siku atayokuwa huru ntamrukia na kum grab kwanguvuuuu. ...

Yeah... I STILL & I WILL LOVE HIM TILL THE DAY I DIE though I sex other men.
Khaaaa aisee hapo mwishoni umejinasibu haswa.
 
Actually the abuser anakuwa teyari alishakuwa affected psychologically

- aidha katika malezi na makuzi yake
- makundi aliyojichanganya nayo maishani
- mahusiano ya kimapenzi aliyopitia
Kutokana na mtu anavyotafsiri na kujifunza au kufunzwa na hivi vitu ndipo vinajenga hisia chanya au hasi...

Mtesaji anakuwa ni yule mtu aliyeharibika kihisia, anakuwa alishakuwa victimized hivyo muda wote yuko alerted, infact ni kupitiliza...

Hivyo pale anapoona hisia zake zinaumizwa hawezi kujicontrol, ana react...

Matokeo yake anawavictimize watu wa karibu ili kujiokoa hisia zake...

And thus we see KARMA's great powers in action...

KARMA IS INDEED A F*KING BITCH!!!
 
Ni ukweli mtupu.... I love him to death na kabla hatujapotezana nilishamwambia hili na anafahamu, pia nilishamwambia kuwa lolote ufanyalo popote utapokuwa, fahamu kuwa nakupenda mno mno mno...... I just adores him na sioni aibu kutamka hili popote pale ni vile tuu kulinda heshima yake siwezi mtata hapa.

Nakumbuka kuna siku tulikuwa kwenye mall mmoja hivi nikampa kampani yeye alikuwa anapata kinywaji chake pendwa mie nilikuwa nataka niingie kuangalia cinema akasema hapendi kuangalia movie hasa kwenye cinemas.... Wajua nini nilimbembeleza anisindikize twende tuone kidogo tuu halafu tutoke, lovely alikubali nikalipia ticket yake tukaingia as I promise tukatoka on our way out suprisengly alinikumbatia kwanguvu hadi nikawa like babe.....!!!! Stop it ila sikuwa nataka aache.... He squeeze me so nicely and tenderly.

For sure I missed him.
 
Yeah nakuelewa sana kihisia...inatokea tunakutana na mtu sahihi kwa wakati usio sahihi, aidha tumewahi sana ama tumechelewa sana kukutana na mtu wa namna hiyo.
Sasa unapogundua kwamba umedandia behewa la watu inakubidi ushuke kistaarabu tu,,,one of the worst moment to be on earth!
 
Actually the abuser anakuwa teyari alishakuwa affected psychologically

- aidha katika malezi na makuzi yake
- makundi aliyojichanganya nayo maishani
- mahusiano ya kimapenzi aliyopitia
Kutokana na mtu anavyotafsiri na kujifunza au kufunzwa na hivi vitu ndipo vinajenga hisia chanya au hasi...

Mtesaji anakuwa ni yule mtu aliyeharibika kihisia, anakuwa alishakuwa victimized hivyo muda wote yuko alerted, infact ni kupitiliza...

Hivyo pale anapoona hisia zake zinaumizwa hawezi kujicontrol, ana react...

Matokeo yake anawavictimize watu wa karibu ili kujiokoa hisia zake...

And thus we see KARMA's great powers in action...

KARMA IS INDEED A F*KING BITCH!!!
Yeah kuna mahali nilisomaga kitambo, a cold hearted person was once a person who cared too much.
 
Kiukweli umenigusa sana, mi pia ninapenda sana na kumthamini mwanamke yeyote nikiwa nae katika mahusiano ila nina hasira sana endapo akiniletea upumbavu wowote. Huwa sisaliti wala sina tabia ya ku entertain wanawake wengine isipokuwa yeye tu.

Katika hali kama hio hua naumia sana yani mambo yakienda kinyume na utaratibu nakuwaga kama simba. Najiulizaga kama mie sikusaliti why wewe unisaliti? Ina maana mi ni mjinga sana kukuamini na kukuthamini kama mtu muhimu katika maisha yangu? Kama umetongozwa ukajua upo katika uhusiano na mimi why unaendelea kumu entertain anayekutongoza? Ina maana umenidharau sana sio?

Baada ya kukosa majibu stahiki ya hayo maswali kitachofata naomba iwe siri yangu mkuu...ila sitakuacha salama!!!

You are right Mkuu, yaani unamsomesha, unampenda sana, unafikiri na yeye ni hivyo lakini unagundua yuko na mwanaume mwingine miaka yote hii na ukienda mahakamani anapewa watoto na nyumba yako. Huwa vigumu kwa wengi kuvumilia. Tuombe Mungu tupate watu wazuri, waaminifu ambao wako committed no matter what bro.
 
Yeah nakuelewa sana kihisia...inatokea tunakutana na mtu sahihi kwa wakati usio sahihi, aidha tumewahi sana ama tumechelewa sana kukutana na mtu wa namna hiyo.
Sasa unapogundua kwamba umedandia behewa la watu inakubidi ushuke kistaarabu tu,,,one of the worst moment to be on earth!

I agree with you.... to leave your loved one just because you can't be together. ... muda ndo unakuwa kikwazo kikubwa..... inauma san.

Kwa upande wangu najipa moyo iko siku tutakuwa pamoja ila sijui lini na mapenzi yangu kwake hayajawahi kupungua hata kidogo.

To death I will love him, what makes me happy and gives me hope is he knows it.
 
Wanawake ni wavumilivu sana...

Ila wanapoamua kitu, hawarudi nyuma... Siku akisema basi, ni basi mpaka mwanaume utashangaa ni huyu kweli au?

Cc: mahondaw
Sio wanawake tu. Mwanaume anaejielewa pia( narudia mwanaume anaejielewa ambae yuko committed kwa mpenz wake) . Huwa ikifika mahali kachoka vituko,akisema basi that it. Ni kama milango ya mbingu ikifunga not even a devil can open it.
So ni kwa jinsia zote, sikuzote mtu mvumiliv akikuchoka,basi that the end and there is no going back.
 
Actually the abuser anakuwa teyari alishakuwa affected psychologically

- aidha katika malezi na makuzi yake
- makundi aliyojichanganya nayo maishani
- mahusiano ya kimapenzi aliyopitia
Kutokana na mtu anavyotafsiri na kujifunza au kufunzwa na hivi vitu ndipo vinajenga hisia chanya au hasi...

Mtesaji anakuwa ni yule mtu aliyeharibika kihisia, anakuwa alishakuwa victimized hivyo muda wote yuko alerted, infact ni kupitiliza...

Hivyo pale anapoona hisia zake zinaumizwa hawezi kujicontrol, ana react...

Matokeo yake anawavictimize watu wa karibu ili kujiokoa hisia zake...

And thus we see KARMA's great powers in action...

KARMA IS INDEED A F*KING BITCH!!!
Kuna abusers wa aina mbili. Ambaye anaweza kurekebika akienda counselling, na ambae harekebiki kwa lolote maana part ya brain yake inakuwa ina shida.

Hawa ambao hawarekebiki,ni wale ambao wamearibiwa wakiwa katika age ya miaka mitatu mpaka minne, katika hiyo age ndipo personality ya mtu hujengeka(mpole,mcheshi,mtu wa watu,mkarimu). Na mtoto hucopy hizo from mzazi mmojawapo.
Inapotokea wazazi hawamjali mtoto, wanamtesa mtoto, basi part ambayo huitwa Frontal lobe( huwa ina deal na personality ya mtu, tabia,planning ,ogranizing).
Sehem hii ya ubongo hu stop ku function vizuri.
Hii humfanya mtoto, instead ya kuweza ku feel real emotion, na kujenga personality, ashindwe kufanya hivyo instead mtoto anajifunza ku copy hisia za wengine ili wazazi wampende.

Wakija kuwa wakubwa, sehem hiyo ya ubongo bado huwa ina tatizo. Huwa inapelekea wao kuwa katili maana hawana personality halis, wanacopy tabia na hisia za watu sababu wao hawawez ku feel hisia. Na pia wanakuwa na lack of emotion, hawafeeel hisia kama za (huruma,upendo,mapenz), instead wao hujisikia raha pale watu wanapo umia au kudhurika.

Thats why wana abuse sana sana kama wapenz wao, ndugu zao wa karib maana wao husikia raha sana pale watu hao wanapokuwa katika hali za huzuni.

Na pia ndio maana abuser wa type hii, hu copy tabia za mtu ambae victim anamuhitaji, ili kumdanganya victim kuwa wao ndio "the true love". Victim akishanasa tu,ndio abusers hufungua makucha na kuanza kumtesa mtu wake wa karibu.
 
Unajua uko na wajukuu mengine hayasemwi humu

Mbona una ruka ruka hata hueleweki unazungumzia nini....

Anyways.... it's not a secret Kasie is an old granny cubic and it's known all over. ...
 
Ndoa ni janga jingine LA dunia hakuna mwalimu hakuna mwanafunzi ....
 
Also, a loss of self esteem.

Victims are made to believe that they are worthless and no one else can have them other than the abusers.

Some women are daft enough to believe that abuse is a form of love.
You're precocity.[emoji4], always.
 
Kiukweli umenigusa sana, mi pia ninapenda sana na kumthamini mwanamke yeyote nikiwa nae katika mahusiano ila nina hasira sana endapo akiniletea upumbavu wowote. Huwa sisaliti wala sina tabia ya ku entertain wanawake wengine isipokuwa yeye tu.

Katika hali kama hio hua naumia sana yani mambo yakienda kinyume na utaratibu nakuwaga kama simba. Najiulizaga kama mie sikusaliti why wewe unisaliti? Ina maana mi ni mjinga sana kukuamini na kukuthamini kama mtu muhimu katika maisha yangu? Kama umetongozwa ukajua upo katika uhusiano na mimi why unaendelea kumu entertain anayekutongoza? Ina maana umenidharau sana sio?

Baada ya kukosa majibu stahiki ya hayo maswali kitachofata naomba iwe siri yangu mkuu...ila sitakuacha salama!!!

Unaonekana kabisa you don't play, lakini Ex..
Kwa nini usimwache mtu tu, badala ya kujitafutia issues nzito?!
 
I agree with you.... to leave your loved one just because you can't be together. ... muda ndo unakuwa kikwazo kikubwa..... inauma san.

Kwa upande wangu najipa moyo iko siku tutakuwa pamoja ila sijui lini na mapenzi yangu kwake hayajawahi kupungua hata kidogo.

To death I will love him, what makes me happy and gives me hope is he knows it.

Aww!, this's so sweet of you Kasie..
 
Back
Top Bottom