Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,228
Halafu ukaniach solemba..na kule kamba ilikatika ujue.Wako wengi hii salamu yako niifikishe kwa yupi?
Nyie siku hizi hamtabiriki kbs...unaweza fanya mema ndo unalipwa upuuzi,ukisema ufanye ujinga ndo unagandwa kwelikweli....Hapo wala usimlaumu huyo msichana au mwanamke, laumu wazazi waliomlea au mazingira aliyokulia.
Halafu sijui kwanini. ...... janaume li abuser halikutani na janamke likorofi ili kama kutwangana watwangane weeeh hadi wapendane upya. Yaani wafanyiane ubabe wao kwa wao.
Unakuta mwanamke mbabe anaolewa na mwanaume anayejali mtaratibu mpolee hajui hata kupiga......
Huku unakuta janaume libabe na korofi na lilevi linaoa mke mtaratibu mzuri mpolee ana adabu zote na heshima tele matokeo yake mke anakuwa mjane huku yuko kwenye ndoa yaani anaendesha maisha mwenyewe akati janaume lipolipo halafu akiulizwa kitu ubabe na kujihami juu.. sijui kwanini. ...
Japo wapo pia wanaokutana wote wataratibu wanelewana wanataniana wanacheka wanasononeka pamoja walaea familia pamoja na kusaidiana majukumu pamoja.
Nafikiri kuna nguvu za uvutano wa dunia kuhakikisha korofi anakutana na pole kwa wingi ..... labda ndo sababu....
Halafu ukaniach solemba..na kule kamba ilikatika ujue.
Hamtabiriki nyie....Aiseeh!, ni kuna wa hivi lakini pia si vizuri kujumlisha. Kukosea kupo, lakini isiwe sababu ya kufanya uone wote wana tabia hiyo.
Nyie siku hizi hamtabiriki kbs...unaweza fanya mema ndo unalipwa upuuzi,ukisema ufanye ujinga ndo unagandwa kwelikweli....
Katika aina hiyo ya mahusiano aghalabu lazima awepo dominant ambapo dominant hua anakua manipulator mzuri sana.
Hua anamfanya dominated ahisi hakuna mwingine kama huyu dominant.
Dominated huhitimisha kua yeye ni worthless hakuna anayemtaka ni bora agandane na dominant.
Mind you uhusiano hua hauruki tu kutoka dominant na dominated, hapana. Huanza pole pole mpaka kila mmoja atakapoclaim nafasi yake.
Ni wapenzi wakubwa wa BONDAGE.![]()
![]()
![]()
![]()
Baadhi ya waathirika wa mapenzi ya uonevu wengi wao wakiwa wanawake, huwa na tabia ya kuwarudia wapenzi wao waliowapiga au hata kuwaumiza kabisa bila kujali matokeo ya mahusiano hayo mabovu. Ni suala ambalo wengine tumekutakana nalo katika maisha.
Hawa ni baadhi ya wanawake wa jinsi hiyo. (Majina yamebadilishwa)
Kate.
Ameishi na boyfriend wake kwa miaka 5 na wana mtoto mmoja. Boyfriend kamchapa mara kadhaa na hata kumuumiza lakini Kate anashindwa kumwacha. Kila akijaribu kumwacha, boyfriend huja na maneno matamu na Kate huingia kingi na kuamua kuendelea nae.
Hawako pamoja sasa baada ya boyfriend kumkasirikia Kate na kuondoka, kisa Kate kabeba mimba ya pili. Na baada ya boyfriend kuondoka Kate kaanza kumtafuta..
Hollo.
Holo ameolewa na mumewe karibu miaka 10 na watoto 3. Mume ni mpigaji haswa akilewa, lakini Hollo pamoja na kupigwa mara kadhaa, kati ya hizo mojawapo akiwa mjamzito mpaka kulazwa, hataki kumwacha mume pamoja na kushauriwa mara kadhaa.
Baada ya kujifungua mtoto wa pili Hollo alivyorudi nyumbani toka hospitali, mume alimlazimisha Hollo kufanya tendo la ndoa, kitu kilipelekea Hollo maumivu makubwa na kuchelewa kupona kizazi. Hollo ndo kwanza anajiachia facebook na mumewe kipenzi.
Wenye kujua tatizo na wana Saikolojia, nini kinapelekea Victims hawa kurudi kwa Abusers wao?
Yea nchi za wenzetu wana hadi hotline, very supportive.Mh!, very interesting. Ndo maana huwa wanasema never ignore the red flags.
Uki ignore, by the time unakuja kushtuka it's too late, ndo mtu hawezi kutoka kwa ajili ya woga wakati ameshampa abuser wake all the power to do them whatever they want.
Nchi za wenzetu at least wana sehemu za kulinda na ku support wadada kama hawa, na Imagine nyumbani wanawake wa hivi sijui huishi vipi bila professional support ama ulinzi.
Njoo bwanaAiseeeee
mimi napita naogopa kuendelea kusoma
Niliona wajihi wake! Kipendacho roho........
Yea nchi za wenzetu wana hadi hotline, very supportive.
Bongo dawati la jinsia lipo polisi lakini mhusika wa dawati uelewa wa hivi vitu hana
Yooooh....Heey.... hello.
More Spiritual right?!
Infwakti upo well informed kwenye hili.
That's the thing, ndo kwanza mtu anaweza hata kuchekwa, bila kujua kuwa things like these vina affect mtu kisaikolojia zaidi, na kushindwa kufanya maamuzi binafasi na ya tija.