Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
- Thread starter
- #101
Umejibu vizuri, lakini inaonekana kwamba mambo huwa magumu sana hasa kwa victim na kwa watoto. Wanaweza kuathirika kwa maisha yao yote.
Lets hope most people have solid family support. But i doubt it very much, i suspect most don't have any support at all here in Tanzania.
Hii ingekuwa vizuri kuelewa. Sipati picha mateso ya watu wa hivi katika jamii yetu, ambayo haina professionals wa kutosha kusaidia suala kama hili.
Bipolar inaweza kuwa pretty common pia, lakini madhara yake naona yatakuwa yanapishana.
Yap , na hii ndio dunia tunayoishi. Nataman sama kuwapa somo jamii yetu ya kitanzania kuhusu huwa watu ambao ni abusers, jinsi gani ya kuwagundua mapema,jinsi ya kukwepa mitego yao kabla hawajakudhuru.
Abusers wengi wana aina za magonjwa ya akili yaitwayo (personality disorder).
-Narcissit personality disorder(NPD).( wabaya zaidi na hatari)
-Bipolar personality disorder(BPD)
-ASPD
-HPD
*hawa wote ni abusers isiipokuwa NPD ndio hatari zaidi.