Ni kweli , lakin abusers ni manipulators by natural. While victim wengi ni empathy, ni rahisi sana victim kuteswa sababu mwanzoni most of victim huwa wanahisia za huruma, na kuona kwamba abuser anahitaji upendo wa hali ya juu.
Abuser anapomtega victim, victim huwa hajui kama ni mtego. Most of abusers huwa wanamsoma victim kuwa anapenda mtu wa aina gani, na wakishajua. Abusers wana copy tabia za mtu ambae victim humtarajia( the one love).
Abuser akishakamilisha hilo,huja kama mtu tofauti, huja na tabia ambazo victim anatarajia, ndio hapo victim anaona kama bahati kuwa amepata mtu aliyekuwa anamtarajia,mwenye tabia alizokuwa akizitaka. Baada ya hapo ni rahis sana victim kuanguka ktk mtego wa penzi zito, na kujikuta akimpenda abuser ambae ana act zile tabia.
Baada ya muda abuser akisha gundua kuwa victim amezama hapa ndipo abuser anavua ile ngozi ya kondoo na kuonyesha uhalisia, anaanza kumtesa victim, kumuonea,kudhalilisha.
Victim huwa wanabaki kung'ang'ania wakiamini kuwa abuser labda atabadilika mbeleni( huu ni uwongo.)
As muda unavyozid kusogea ndivyo abuser anazid kuongeza mateso,mpaka hapo victim atakapo amua kuachia mwenyewe.