Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

D..kuna watu wanaogopesha aseh!

Mdada akileta za kuleta anaweza kujuta maisha.
Haswa,
na hayo mahusiano lazima yatakuwa cat-rat friendship.

can you imagine mtu anaachwa na kilema... I'd suggest kama umekerwa saana tena ile saana umeshindwa kujizuia basi kofi moja ni tosha.
 
Which extend?!, imagine unamtuhumu kufanya kosa fulani, badala ya kujibu kwa adabu, yeye anakushikia kiuno kama mke mwenzie na kukuuliza, kwa hiyo ulikuwa unasemaje?! Unamuacha tu unaenda kulala kwa kuogopa utakuwa "abusive"? Aroo mi namrarua brother! Hujakutana nao wa hivi?
Ni kweli kuna wanakera... ilakupiga hadi kuacha kilema is too much sir.
 
Uko so right mujuni. Abusers wengi wanahofia ni mtu mwenye msimamo. Waki sense kuwa upstairs huyumbishwi basi wenyewe wanakukwepa.
 
Nahisi mkuu Daby ana bahati ya kukutana na wapenzi wastaarabu, mimi nilishakutana na wabishi, unamuelekeza kitu kidogo tu na hauko kishari, lakini lazima mbishane, hawezi kukiri hata kitu kidogo, always yeye anataka kuwa right tu, utampiga tu hata kama wewe ni mpole...
 
Ni kweli kuna wanakera... ilakupiga hadi kuacha kilema is too much sir.
Yeah, huwa najizuia kupiga lakini inategemea na situation! Sio mtu kafanya kosa yeye, halafu anifokee tena mimi, tena mimi kama kiongozi wa familia, nitamchenjia vibaya mno, lazima awe na adabu anapoongea na mimi.
 
D..kuna watu wanaogopesha aseh!

Mdada akileta za kuleta anaweza kujuta maisha.
Nasema hivi, labda wale watu ambao Detective J anasema wana matatizo ya saikolojia, lakini kwa mwanaume wa kawaida tu, ni ngumu mno kumpiga mwanamke anaeomba msamaha kwa unyenyekevu, hao wanaolewa na kuja kuwapiga wake zao hiyo nayo ni kesi nyingine.
 
Haswa,
na hayo mahusiano lazima yatakuwa cat-rat friendship.

can you imagine mtu anaachwa na kilema... I'd suggest kama umekerwa saana tena ile saana umeshindwa kujizuia basi kofi moja ni tosha.

Mh!, nyie mna hatari lakini, hilo kofi what if, mtu hayuko vizuri kiafya halafu lisababishe makubwa zaidi. Naona ni bora kuongea vizuri na undani kwanza na mtu, asipokuelewa sasa labda yeye ndo mwenye tatizo zaidi na uangalie kwa undani.
 
Yeah, huwa najizuia kupiga lakini inategemea na situation! Sio mtu kafanya kosa yeye, halafu anifokee tena mimi, tena mimi kama kiongozi wa familia, nitamchenjia vibaya mno, lazima awe na adabu anapoongea na mimi.
Ni kweli, hili sio kwamba sexist ila nikiri wanawake ni watu ambao akifanya kosa ukamwonya kwa namna asivyopemda yeye atarudia kukukomoa. Ndiyo maana wengi wanaishia kupiga.

Nilijifunza kwa mdogo wangu... unamnunulia kitu unampa kesho unaambiwa kampa mwanaume halafu anakuja kuomba anunuliwe tena...unapiga kesho anarudia yale yale... nikaja kwenye mahusiano nkaona almost wengi ndiyo hivyo.

Ila ukilema hapana mkuu.
Nahisi mkuu Daby ana bahati ya kukutana na wapenzi wastaarabu, mimi nilishakutana na wabishi, unamuelekeza kitu kidogo tu na hauko kishari, lakini lazima mbishane, hawezi kukiri hata kitu kidogo, always yeye anataka kuwa right tu, utampiga tu hata kama wewe ni mpole...
 
Nasema hivi, labda wale watu ambao Detective J anasema wana matatizo ya saikolojia, lakini kwa mwanaume wa kawaida tu, ni ngumu mno kumpiga mwanamke anaeomba msamaha kwa unyenyekevu, hao wanaolewa na kuja kuwapiga wake zao hiyo nayo ni kesi nyingine.

Mjuni mpaka mwanamke afikie kuvuka mipaka mpaka huku kwa kiburi lazima ana tatizo mahala, sidhani kama mtu yuko Ok na anaejua nafasi yake katika familia atam provoke mwanaume kiasi hiki.
Ndo nasema ni vizuri kwa mtu kama huyu kumsoma vizuri kwanza kabla hujaenda physical.
 
Utaacha wangapi?

Na kwa nini usimsome mtu kwanza!, kabla hamjafika mbali halafu yakatokea kama hayo?
Naona ni rahisi zaidi ki hivyo kuliko kujiingiza kwenye matatizo makubwa zaidi.
 
Mh!, nyie mna hatari lakini, hilo kofi what if, mtu hayuko vizuri kiafya halafu lisababishe makubwa zaidi. Naona ni bora kuongea vizuri na undani kwanza na mtu, asipokuelewa sasa labda yeye ndo mwenye tatizo zaidi na uangalie kwa undani.

Ubaya unakuja binadamu tupo tofauti tofauti saana....

Na kuhandle cases kama hizo tunatofautiana pia.

wanaume tunapenda kuwa center ya kila kitu... na wanawake you're too talktive.

Sasa anapojitahidi kudrive points zote kwake ukawa kikwazo na akawa ni mtu wa kuchagua kipigo kama njia yake ya kukunyazisha... tehteh umekwisha.
 
We're too talkative...lol!
Sawa bwana. 🙂

D... Mjuni Lwambo Extrovert
Guys, it's NEVER, Ok to put your hands on a woman, period!
Tafuteni njia mbadala bwana, acheni hizo.

Ndio haya tunaongelea hapa, this's how it starts.
Unamchapa chapa mtu mwisho anaona it's ok ndo mapenzi. Kumbe mnaua confidence yake.
And by the end of the day self esteem yote inakufa. Kwa nini msitumie maongezi zaidi?
 
Kweli mtafute Robin lakof umsome na ni mwanamke.
 
Hadi namzaba maana yake maongezi yamepruvu felia, unajaribu kuongea na mtu hasikilizi anapayuka, inabidi umnyamazishe kwa kofi... Kumsoma mtu vipi sasa?! Hatua ya kwanza inatakiwa aelewe kuwa anatakiwa kujifunza kukaa kimya na kusikiliza.. Unavyosema nijifunze kumsoma mtu, you sound like the woman i have decided to leave her alone!! Ananiambia, wewe hujanisoma tu, wanaonilewa nikoje wanajua sio mkorofi, Mimi nadhani hivi, mwanamke ndio anatakiwa anisome mimi nataka nini, siyo yeye nimsome yukoje, mimi ndio natunga sheria, mke wangu ananishauri tu.. Hivyo nikisema kimya ni kimya, otherwise nitamuumiza.
We're too talkative...lol!
Sawa bwana. 🙂

D... Mjuni Lwambo Extrovert
Guys, it's NEVER, Ok to put your hands on a woman, period!
Tafuteni njia mbadala bwana, acheni hizo.

Ndio haya tunaongelea hapa, this's how it starts.
Unamchapa chapa mtu mwisho anaona it's ok ndo mapenzi. Kumbe mnaua confidence yake.
And by the end of the day self esteem yote inakufa. Kwa nini msitumie maongezi zaidi?
 
Kama mimi nina makosa Nalendwa hebu niambie, una ishu hot imekuvuruga kichwa, mtu unamuuliza yeye anakuambia, nata nilale sasa hivi utaniuliza kesho, hapo unafanyaje, unalala usubiri kujibiwa hiyo kesho au?! Hii ni ishu ambayo inanihusu mimi seriously!
 
Hadi namzaba maana yake maongezi yamepruvu felia, unajaribu kuongea na mtu hasikilizi anapayuka, inabidi umnyamazishe kwa kofi... Kumsoma mtu vipi sasa?! Hatua ya kwanza inatakiwa aelewe kuwa anatakiwa kujifunza kukaa kimya na kusikiliza.. Unavyosema nijifunze kumsoma mtu, you sound like the woman i have decided to leave her alone!! Ananiambia, wewe hujanisoma tu, wanaonilewa nikoje wanajua sio mkorofi, Mimi nadhani hivi, mwanamke ndio anatakiwa anisome mimi nataka nini, siyo yeye nimsome yukoje, mimi ndio natunga sheria, mke wangu ananishauri tu.. Hivyo nikisema kimya ni kimya, otherwise nitamuumiza.

Mjuni kakaangu bwana hapana. Yaani yeye tu ndio akusome kwa nini na wewe usimsome?!, huoni kama relationship itakuwa more balanced kama mtasomana?
Na kama wewe unaongea taratibu lakini unaeongea nae anapayuka, ukinyamaza utaona jinsi ataona kachemsha.
 
Kama mimi nina makosa Nalendwa hebu niambie, una ishu hot imekuvuruga kichwa, mtu unamuuliza yeye anakuambia, nata nilale sasa hivi utaniuliza kesho, hapo unafanyaje, unalala usubiri kujibiwa hiyo kesho au?! Hii ni ishu ambayo inanihusu mimi seriously!

Hapo kama kuna kitu kinakusumbua sana na yeye inabidi awe na busara ya ku respond kwa utaratibu hata kama kachoka kweli, ili kuonyesha hajakudharau.
Tunarudi tena hapo juu kuhusu kusomana, kama mmeelewana vizuri inakuwa rahisi kujua kama mtu amechoka kweli, au anaku ignore tu.
 
Back
Top Bottom