Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Hadi namzaba maana yake maongezi yamepruvu felia, unajaribu kuongea na mtu hasikilizi anapayuka, inabidi umnyamazishe kwa kofi... Kumsoma mtu vipi sasa?! Hatua ya kwanza inatakiwa aelewe kuwa anatakiwa kujifunza kukaa kimya na kusikiliza.. Unavyosema nijifunze kumsoma mtu, you sound like the woman i have decided to leave her alone!! Ananiambia, wewe hujanisoma tu, wanaonilewa nikoje wanajua sio mkorofi, Mimi nadhani hivi, mwanamke ndio anatakiwa anisome mimi nataka nini, siyo yeye nimsome yukoje, mimi ndio natunga sheria, mke wangu ananishauri tu.. Hivyo nikisema kimya ni kimya, otherwise nitamuumiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua nini Nalendwa formality ya maisha na attitude ya wanaume wengi iko very straight and simple kueleweka.
The most common things mwanaume anahitaji ili awe at peace ni good food,good sex, true love and respect pia ukimanage kumtendea vyema katika hayo anaweza ruhusu uwe mshauri wake wa karibu.
Katika yote respect ndio core need ya mwanaume yeyote duniani (usimjibu kunya,usimpandishie,omba yaishe kwa kusema samahani,usisaliti). Ndio eneo pekee ambalo linaweza fanya mahusiano yako yawe ya amani au yasiwe ya amani

Wanawake ndio wana matatizo sana katika nyanja hio maana wengi wana unafiki mwingi na ujuaji. Hapo ndipo tunaposhindwana na wengi. Mwanamke anayejitambua hawezi kujitutumua mbele ya mwanaume wake akijifaharisha na kuhisi ni jambo jepesi kuvumilika. Hio attitude haijawahi faa na haitakaa ifae kwa wanaume walio strong na misimamo mikali zaidi utaishia kutenguliwa taya tu.

Bila kuonyesha love kwa mwanamke hawezi kuku respect na hapo ndio tatizo linaanzia. Mapenzi ni two way traffic usitegemee uheshimiwe wkt wewe mwenyewe hujui jukumu lako.
 
Bila kuonyesha love kwa mwanamke hawezi kuku respect na hapo ndio tatizo linaanzia. Mapenzi ni two way traffic usitegemee uheshimiwe wkt wewe mwenyewe hujui jukumu lako.
Kumpenda mwanamke ni kitu ambacho wanaume wengi tunakifanya ila haijawahi kuwa guarantee ya upendo sababu wengine unaweza mpenda akawa ha vibe nawewe on the same key!
 
Ni kweli , lakin abusers ni manipulators by natural. While victim wengi ni empathy, ni rahisi sana victim kuteswa sababu mwanzoni most of victim huwa wanahisia za huruma, na kuona kwamba abuser anahitaji upendo wa hali ya juu.

Abuser anapomtega victim, victim huwa hajui kama ni mtego. Most of abusers huwa wanamsoma victim kuwa anapenda mtu wa aina gani, na wakishajua. Abusers wana copy tabia za mtu ambae victim humtarajia( the one love).
Abuser akishakamilisha hilo,huja kama mtu tofauti, huja na tabia ambazo victim anatarajia, ndio hapo victim anaona kama bahati kuwa amepata mtu aliyekuwa anamtarajia,mwenye tabia alizokuwa akizitaka. Baada ya hapo ni rahis sana victim kuanguka ktk mtego wa penzi zito, na kujikuta akimpenda abuser ambae ana act zile tabia.
Baada ya muda abuser akisha gundua kuwa victim amezama hapa ndipo abuser anavua ile ngozi ya kondoo na kuonyesha uhalisia, anaanza kumtesa victim, kumuonea,kudhalilisha.
Victim huwa wanabaki kung'ang'ania wakiamini kuwa abuser labda atabadilika mbeleni( huu ni uwongo.)
As muda unavyozid kusogea ndivyo abuser anazid kuongeza mateso,mpaka hapo victim atakapo amua kuachia mwenyewe.
Duh

Samcezar yaani hapa naziona tabia zote zile, niletee chips sasa
 
Back
Top Bottom