Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,846
- 78,641
S&M relationship na abusive relationship ni vitu viwili tofautiWanainjoi SADISM.
Ila kwa nakala yafikiri hao wameshajikomit kwa hao sadists kimaisha, kuyoka ngumu.
S&M relationship na abusive relationship ni vitu viwili tofautiWanainjoi SADISM.
Ila kwa nakala yafikiri hao wameshajikomit kwa hao sadists kimaisha, kuyoka ngumu.
Katika kanuni moja jumuishi basi kuna kijikanuni kinzani ndani mwake.Utegemezi na umaskini ndo sababu kubwa kwa wanawake walio weng,ukiwa independent huo ujinga hakuna
S&M ni nini?S&M relationship na abusive relationship ni vitu viwili tofauti
Umewahi kunyaswanyaswa bibie?Aiseeeee
mimi napita naogopa kuendelea kusoma
Ndiyo hao wanaoenjoy sadismS&M ni nini?
Unajua ukidharirishwa sana na kupigwa pigwa sana unaweza usijiamini tena. Itachukua muda mrefu sana kurudi ulivyokuwa unajiamini. Jamii zetu haziwasaidii sana watu kwenye hizo situations.
Mama yake mwenyewe anaweza kumwambia vumilia tu haya ndiyo maisha ya ndoa.
hahaaaa hapa umemaliza kabisaaaTatizo bills, wengine wanashindwa kusimama wenyewe.
This's true, watu wa hivi naona hupoteza kabisa confidence na kujiona sio wa thamani tena.
Inasikitisha lakini pale ambapo mtu hana any other choice except to cling on to someone who's abusive katika jamii zetu.
Halafu ndoa za zamani hii kitu ya "vumilia maisha ya ndoa" ilikuwa inapoteza sana.
Afadhali kidogo siku hizi.
Kwa jamii yetu ya kitanzania sawa, maybe hizo factor zinachangia. Lakin factor kubwa ambayo watu huwa hawaioni, ni ile addiction ya hisia fulani ambazo ex ambae ndio anaweza kuziamsha.Hi N...
Nimeliona saana hili uswahilini kwetu. Mwanamke anapigwa anaondoka ila baada ya siku anarudi.
Mimi sio expert wa saikolojia ila kwa common sense... victims wengi wanakimbia kwasababu ya uwoga, hasira, hofu, resentment n.k
By the time, hivyo vitu vikiisha wanarudi katika hali ya kawaida... haujawahi kuudhiwa na mtu ukamjibu vibaya ila baadae baada ya hasira kukuisha ukajilaumu? [emoji118] is where I am.
Sasa, wakishakuwa kawaida... wanaona aibu kwa kueleza matatizo yao kwa watu... at the same time abusers wanaomba msamaha tena vizuri tu....
Na saikolojically(sorry] hakuna msamaha unao-make sense kama wa kumwomba mtu aliyepo kwenye resentment na ulimfanyia mabaya kweli kweli.... mwisho wengi hurudi
Kuna factor zingine.
-kutishiwa unaambiwa usiporudi nakuua mimi.
-children
-labda atabadilika
-unaogopa kuoneka loser
N.k.
Yap false beliefs, kwamba watabadilika.Victims wengine hurudi sababu ya upendo na imani waliyo nayo kwa wenza wao.
Kitaalam Inaitwa trauma bonding.
Ni kwa sababu victim wanapokaa kwenye mahusiano na abusers kwa muda mrefu, kwenye bongo zao hujengeka kitu kama addiction. Kinacho warudisha kwa abusers wao ni kama kupata dozi ya zile hisia walizokuwa wanapata kwa abusers wao ili wajisikie raha tena.
Ni kama teja anavyoacha kula unga, arosto inapomshika anarudi kwa pusha ili ampatie unga ajisikie vizur.
Ndio na wao wako hivyo hivyo, wanapotoka kwenye mahusiano na abusers wao, baada ya muda flan wanapata ile hali ya kutaman kitu fulan kutoka kwa ma ex wao ambao wali waabuse ili wajisikie vyema.
Some people dont deserve msamaha. Unawasamehe leo na wanazid kurudia yale yale everyday.Ila kusamehee sio vibaya samehe mara saba sabini na saba elfu [emoji85]
Ndio ukweli huo Nalendwa, Jamii yetu ilikuwa ukirudi nyumbani wanaona aibu sana mtoto wao amerudishwa, wazazi wanaona kama hawakufanya kazi nzuri ya malezi kwa hiyo wanamwambia haya ndio maisha, rudi kwa mume wako.
Muhimu tuwe na sheria nzuri, mahakama nzuri na sheria zifuate sheria.
Njoo tuendelee basiii...!Aiseeeee
mimi napita naogopa kuendelea kusoma
Kitaalam Inaitwa trauma bonding.
Ni kwa sababu victim wanapokaa kwenye mahusiano na abusers kwa muda mrefu, kwenye bongo zao hujengeka kitu kama addiction.
Kinacho warudisha kwa abusers wao ni kama kupata dozi ya zile hisia walizokuwa wanapata kwa abusers wao ili wajisikie raha tena.
Ni kama teja anavyoacha kula unga, arosto inapomshika anarudi kwa pusha ili ampatie unga ajisikie vizur.
Ndio na wao wako hivyo hivyo, wanapotoka kwenye mahusiano na abusers wao, baada ya muda flan wanapata ile hali ya kutaman kitu fulan kutoka kwa ma ex wao ambao wali waabuse ili wajisikie vyema.