Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Tunaishi katika zama ambazo u fake fake ndo una thamani, zamani mwanamke ukimjali na kumpenda na kumuhudumia na kumpa kila kitu cha mhm ndo anakukubali na kukupenda...siku hizi fanya hivo we ndo bwege la mwisho na atakusema vby hadi kwa mashoga zake,zamani mwanamke alihisi anapendwa km huyo mwanaume anamsikiliza,siku hizi msikilize kila kitu mwanamke anakuona hili nalo jingaaa,mdharau dharau ndo anakupenda na kukujali,zamani mwanamke apigwi siku hizi piga makofi kdg ndo mapenzi yanarudi kwa kasi....fake fake fake fake fake.....mwanaume aliyefundishwa kujali mwanamke mwenye upendo na upole huyo kwa wanawake wa leo ndo zumbukuku la mwisho la kuteswa na kufanywa jinga....fake has value
 
Katika aina hiyo ya mahusiano aghalabu lazima awepo dominant ambapo dominant hua anakua manipulator mzuri sana.

Hua anamfanya dominated ahisi hakuna mwingine kama huyu dominant.

Dominated huhitimisha kua yeye ni worthless hakuna anayemtaka ni bora agandane na dominant.

Mind you uhusiano hua hauruki tu kutoka dominant na dominated, hapana. Huanza pole pole mpaka kila mmoja atakapoclaim nafasi yake.
 
kwelii ila ndo vile wanawake wengine hawaambiliki utamwambia leo atakubali kuachana nae akiombwa msamaha anarudi sababu anaamini atabadilika.

Inasikitisha lakini, coz ni wazi mtu hawezi kuji control tena kuache kumpenda mtu.
 
Tunaishi katika zama ambazo u fake fake ndo una thamani, zamani mwanamke ukimjali na kumpenda na kumuhudumia na kumpa kila kitu cha mhm ndo anakukubali na kukupenda...siku hizi fanya hivo we ndo bwege la mwisho na atakusema vby hadi kwa mashoga zake,zamani mwanamke alihisi anapendwa km huyo mwanaume anamsikiliza,siku hizi msikilize kila kitu mwanamke anakuona hili nalo jingaaa,mdharau dharau ndo anakupenda na kukujali,zamani mwanamke apigwi siku hizi piga makofi kdg ndo mapenzi yanarudi kwa kasi....fake fake fake fake fake.....mwanaume aliyefundishwa kujali mwanamke mwenye upendo na upole huyo kwa wanawake wa leo ndo zumbukuku la mwisho la kuteswa na kufanywa jinga....fake has value

Hapo wala usimlaumu huyo msichana au mwanamke, laumu wazazi waliomlea au mazingira aliyokulia.

Halafu sijui kwanini. ...... janaume li abuser halikutani na janamke likorofi ili kama kutwangana watwangane weeeh hadi wapendane upya. Yaani wafanyiane ubabe wao kwa wao.

Unakuta mwanamke mbabe anaolewa na mwanaume anayejali mtaratibu mpolee hajui hata kupiga......

Huku unakuta janaume libabe na korofi na lilevi linaoa mke mtaratibu mzuri mpolee ana adabu zote na heshima tele matokeo yake mke anakuwa mjane huku yuko kwenye ndoa yaani anaendesha maisha mwenyewe akati janaume lipolipo halafu akiulizwa kitu ubabe na kujihami juu.. sijui kwanini. ...

Japo wapo pia wanaokutana wote wataratibu wanelewana wanataniana wanacheka wanasononeka pamoja walaea familia pamoja na kusaidiana majukumu pamoja.

Nafikiri kuna nguvu za uvutano wa dunia kuhakikisha korofi anakutana na pole kwa wingi ..... labda ndo sababu....
 
Got you Kasie, it's deep!

Hivi vitu vinanifanya niwe even more interested na Psychology.
Tatizo kubwa I think pia, it's more Internal, as in emotinal. Kubadilisha akili na hisia za mtu, plus kama ana uoga si kazi ndogo. Kuomba tu yasikukute.

Kwakweli hii inaitwa.... usithubutu kukutwa. ...
 
Nahisi.... nasisitiza nahisi..... ni kutokana na usemi huu.....

Bora zimwi likujualo..... halikuli likakwisha kuliko kuanza na zimwi jipya ukakuta hili jipya ni haya zaidi bora hata zimwi la zamani.

Asilimia 1000 ni uoga na sintofahamu ya je..!!! What if nikamuacha huyu halafu nikakaa mwenyewe 2-3 years kisha nakutana na mwingine ambaye mwanzoni anakuwa super love ila ukishajiachia mia ya mia unajua na kujiona a fool again maana anakuwa worse than the previous. Hii ndo hafanyi wengi bora avumilie hadi anaingia kaburini kuliko afedheheke mara mbili.

Kumbuka wapo waliowaacha abusers na baada ya muda kupata mahusiano mapya kisha wakawa abused mara mbili yake huishia kujiua kuepuka fedheha na kuona maisha yao hakuna ampendaye.

Japo wapo ambao ikitokea wakawaacha abusers watakuwa na best couple best soul mate na wataishi happier life ever ila ndo ATAJUAJE?

Hiyo gharama ya kutojua ni UOGA na ndo hapo wanagandamana kwa abusers.

Pia wanakuwa over humiliated and affected sociologically. ... anyways am not a sociologist but I try to wear a shoe on my foot.

Kasinde.
Msalimie kibenten chako
 
Khaa!, haha, kama basi itafika hiyo sabini kabla mtu mdada hajarudisha namba.
Halafu sijui kwa nini huwa hamjifunzi, ukisamehewa mara moja mara nyingi huwa mnarudia kosa.
siungi mkono kupiga ila kuna watu wanatamanisha kudundwa...

Imagine mke anamjibu mme aliye serious katikati ya conve iliyo serious kabisa mxieeew, mfyuuu... na kesho unarudia....
 
Tunaishi katika zama ambazo u fake fake ndo una thamani, zamani mwanamke ukimjali na kumpenda na kumuhudumia na kumpa kila kitu cha mhm ndo anakukubali na kukupenda...siku hizi fanya hivo we ndo bwege la mwisho na atakusema vby hadi kwa mashoga zake,zamani mwanamke alihisi anapendwa km huyo mwanaume anamsikiliza,siku hizi msikilize kila kitu mwanamke anakuona hili nalo jingaaa,mdharau dharau ndo anakupenda na kukujali,zamani mwanamke apigwi siku hizi piga makofi kdg ndo mapenzi yanarudi kwa kasi....fake fake fake fake fake.....mwanaume aliyefundishwa kujali mwanamke mwenye upendo na upole huyo kwa wanawake wa leo ndo zumbukuku la mwisho la kuteswa na kufanywa jinga....fake has value

Aiseeh!, ni kuna wa hivi lakini pia si vizuri kujumlisha. Kukosea kupo, lakini isiwe sababu ya kufanya uone wote wana tabia hiyo.
 
Sometimes ni "Hope" kwamba anaweza kuwa amebadilika..... atabadilika..... ntajitahidi nimbadilishe.....
Huruma sana!
Japo mi sio mwanasaikolojia nimefikiria hivo.

Acha tu binti...
Yaani mpaka mwanaume mwenyewe akuchoke aondoke baada ya kuku abuse vya kutosha, ujue kuna tatizo kubwa tu mahala. Huyu wa kubeba mimba ya pili, that was her intention. Alifikiri akimzalia mwanaume mtoto wa pili labda atabadilika atatulia, lakini ndo kwanza mwanaume kaondoka. Tena anashindwa kumpata kwa sababu mwanaume kahama mji kabsa.
Lakini alipokuwa hapo hapo mjini yalikuwa ni mapenzi ya on and off kila wakati kutegemea na behaviour na mood ya mwanaume. Mwanaume akifurahi mapenzi yanakuwa moto, akikasirika basi penzi linachuja kwa muda lakini mdada bado yupo kusubiri huruma za abuser wake. It's sad kwa kweli!
 
siungi mkono kupiga ila kuna watu wanatamanisha kudundwa...

Imagine mke anamjibu mme aliye serious katikati ya conve iliyo serious kabisa mxieeew, mfyuuu... na kesho unarudia....

Hahah!, Daby jamani, eti kutamanisha kudundwa...lol!

Lakini wanawake wengine nao, sasa kama mtu yuko serious na yeye anajichekesha kweli hapo halali mtu kubadilika..
 
Back
Top Bottom