Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Yap , na hii ndio dunia tunayoishi. Nataman sama kuwapa somo jamii yetu ya kitanzania kuhusu huwa watu ambao ni abusers, jinsi gani ya kuwagundua mapema,jinsi ya kukwepa mitego yao kabla hawajakudhuru.
Abusers wengi wana aina za magonjwa ya akili yaitwayo (personality disorder).
-Narcissit personality disorder(NPD).( wabaya zaidi na hatari)
-Bipolar personality disorder(BPD)
-ASPD
-HPD

*hawa wote ni abusers isiipokuwa NPD ndio hatari zaidi.

Pia Kuna maboss ni maabuser wakubwa umewasahau
 
Yaani ufikie hatua ya kumpa vibao Rihanna mpaka avimbe pua, wewe sio mwenzetu. Yaani kikao cha mabaharia kinakutenga. Mtoto kama yule anapigwa kwa fimbo mpaka anakubali matokeo. Hapa naongelea fimbo yenye mizizi yake, sio zile mlizopigwa darasani.
 
Nilishapitia hayo,nikapiga chini, nilimwambia akatafute mwanaume wa kumwendesha lakin kamwe si mimi. Ni either atii na kuniskiliza au afungashe virago aondoke.

But nimefurahia sana kusoma jumbe zako humu una uelewa aisee
 
Pia Kuna maboss ni maabuser wakubwa umewasahau
Hawa wapo kila mahali. Si maboss tu. Mpaka viongozi wakubwa. Yaani jamii nzima wapo. Na bad news tumechagua kuwafumbia macho. Kuwaogopa.. au kuwaendekeza hali inayowapa nguvu waendelee kuharib maisha ya watu.
 
Hawa wapo kila mahali. Si maboss tu. Mpaka viongozi wakubwa. Yaani jamii nzima wapo. Na bad news tumechagua kuwafumbia macho. Kuwaogopa.. au kuwaendekeza hali inayowapa nguvu waendelee kuharib maisha ya watu.


Ni kweli kabisa, kuna watu kwa vile wana vyeo au nafasi flani wanataka waogopwe badala ya kuheshimiwa, hasa huku kwetu Afrika.
 
Hawa wapo kila mahali. Si maboss tu. Mpaka viongozi wakubwa. Yaani jamii nzima wapo. Na bad news tumechagua kuwafumbia macho. Kuwaogopa.. au kuwaendekeza hali inayowapa nguvu waendelee kuharib maisha ya watu.
Yaan boss kuwanyanyasa wafanyakazi anasikia raha,akiona wanakosa raha anafurahi ,halaf wanapenda kunyenyekewa balaaa
 
Yaan boss kuwanyanyasa wafanyakazi anasikia raha,akiona wanakosa raha anafurahi ,halaf wanapenda kunyenyekewa balaaa
Ni moja ya dalili hizo. Kwa mbali wanafanana lakini wako so different in behaviour. One things wanashare in common no antention.. iwe negative or positive. So uki wa ignore wanakuwa hurt vibaya mno. Haijalishi uko kwenye position gani
 
Uoga
Jamii/ndugu wa karibu watanionaje
Upendo wenye upofu ndani yake.
 
Nahisi.... nasisitiza nahisi..... ni kutokana na usemi huu.....

Bora zimwi likujualo..... halikuli likakwisha kuliko kuanza na zimwi jipya ukakuta hili jipya ni haya zaidi bora hata zimwi la zamani.

Asilimia 1000 ni uoga na sintofahamu ya je..!!! What if nikamuacha huyu halafu nikakaa mwenyewe 2-3 years kisha nakutana na mwingine ambaye mwanzoni anakuwa super love ila ukishajiachia mia ya mia unajua na kujiona a fool again maana anakuwa worse than the previous. Hii ndo hafanyi wengi bora avumilie hadi anaingia kaburini kuliko afedheheke mara mbili.

Kumbuka wapo waliowaacha abusers na baada ya muda kupata mahusiano mapya kisha wakawa abused mara mbili yake huishia kujiua kuepuka fedheha na kuona maisha yao hakuna ampendaye.

Japo wapo ambao ikitokea wakawaacha abusers watakuwa na best couple best soul mate na wataishi happier life ever ila ndo ATAJUAJE?

Hiyo gharama ya kutojua ni UOGA na ndo hapo wanagandamana kwa abusers.

Pia wanakuwa over humiliated and affected sociologically. ... anyways am not a sociologist but I try to wear a shoe on my foot.

Kasinde.
Hii mostly ni topic ya psychology na less of sociology. Sababu sociology inabase mahusiano ya watu katika jamii but psychological ni tabia za akili za mtu towards mtu au watu wengine.
 
unhappy-woman-25960173.jpg

older-black-woman-mournfully-looks-out-her-window-85382463.jpg

black-african-american-ethnicity-frustrated-woman-working-stress-office-tired-as-secretary-work-desk-computer-50612290.jpg

BBJsW0w.img


Baadhi ya waathirika wa mapenzi ya uonevu wengi wao wakiwa wanawake, huwa na tabia ya kuwarudia wapenzi wao waliowapiga au hata kuwaumiza kabisa bila kujali matokeo ya mahusiano hayo mabovu. Ni suala ambalo wengine tumekutana nalo katika maisha.
Hawa ni baadhi ya wanawake wa jinsi hiyo. (Majina yamebadilishwa)

Kate.
Ameishi na boyfriend wake kwa miaka 5 na wana mtoto mmoja. Boyfriend kamchapa mara kadhaa na hata kumuumiza lakini Kate anashindwa kumwacha. Kila akijaribu kumwacha, boyfriend huja na maneno matamu na Kate huingia kingi na kuamua kuendelea nae.
Hawako pamoja sasa baada ya boyfriend kumkasirikia Kate na kuondoka, kisa Kate kabeba mimba ya pili. Na baada ya boyfriend kuondoka Kate kaanza kumtafuta..

Hollo.
Hollo ameolewa na mumewe karibu miaka 10 na watoto 3. Mume ni mpigaji haswa akilewa, lakini Hollo pamoja na kupigwa mara kadhaa, kati ya hizo mojawapo akiwa mjamzito mpaka kulazwa, hataki kumwacha mume pamoja na kushauriwa mara kadhaa.
Baada ya kujifungua mtoto wa pili Hollo alivyorudi nyumbani toka hospitali, mume alimlazimisha Hollo kufanya tendo la ndoa, kitu kilipelekea Hollo maumivu makubwa na kuchelewa kupona kizazi. Hollo ndo kwanza anajiachia facebook na mumewe kipenzi.

Wenye kujua tatizo na wana Saikolojia, nini kinapelekea Victims hawa kurudi kwa Abusers wao?
Tuletee na story ya Mwajuma Ndalandefu basi
 
Tunaishi katika zama ambazo u fake fake ndo una thamani, zamani mwanamke ukimjali na kumpenda na kumuhudumia na kumpa kila kitu cha mhm ndo anakukubali na kukupenda...siku hizi fanya hivo we ndo bwege la mwisho na atakusema vby hadi kwa mashoga zake,zamani mwanamke alihisi anapendwa km huyo mwanaume anamsikiliza,siku hizi msikilize kila kitu mwanamke anakuona hili nalo jingaaa,mdharau dharau ndo anakupenda na kukujali,zamani mwanamke apigwi siku hizi piga makofi kdg ndo mapenzi yanarudi kwa kasi....fake fake fake fake fake.....mwanaume aliyefundishwa kujali mwanamke mwenye upendo na upole huyo kwa wanawake wa leo ndo zumbukuku la mwisho la kuteswa na kufanywa jinga....fake has value
Hii kitu inaukweli ndani yake..... Kuna ng'ombe nilimpa sana attention miaka hiyo akawa anafanya anachojiskia nilikuja tu kuzima kama redio umeme unapokatika.

Nikaanza kumuona wa kawaida na yeye akanipuuza tukapotezana maisha yakasonga siku zikaenda. Nikajakutana nae miaka ya karibuni, nikaomba namba, tukabadilishana...... Akawa bado ananiletea zile zile pozi nikasema ngoja ntakufurahisha.......

So nikapiga mashine vizuri sana siku tumeonana. Amezalishwa anaishi na dada yake mtoto wake yupo primary sasa. So nikampa good time then ghafla nikapotea..... Akaanza kutuma aya za lawama.....

Nikawa nasoma sijibu..... Fala sana yule
 
siungi mkono kupiga ila kuna watu wanatamanisha kudundwa...

Imagine mke anamjibu mme aliye serious katikati ya conve iliyo serious kabisa mxieeew, mfyuuu... na kesho unarudia....
Nadhani unachozungumzia ni kitu kingine kabisa. Wapo wanawake abusive pia, hawa wanafanya emotional abuse.....

Mifano ya Abuse zinazofanywa na wanawake.

1. Kwakuwa ni mzuri na mrembo, anataka akupelekeshe umpe anachotaka sababu anajua unamtaka kama anavyotakwa nje na anatumia sababu hiyo kukutishia kuwa kama wewe utashindwa mudu wapo watakaoweza....

2. Kuna wanawake mwanaume anapopitia wakati mgumu kifedha wao huwa na kauli za kufedhehesha kama kumlaumu mwanaume kwann akose pesa na wakati wengine wanapata, au atanuna tu bila sababu na kumuwekea mwanaume wake sura ya dharau au kuchukizwa badala ya kufariji.

3. Kuna wanawake wanapenda sana kuwashurutisha mwanaume wake kufanya jambo ambalo hayupo tayari na hata hilo jambo likifeli huyu mwanaume akimwambia unaona uliforce tufanye hili jambo, mwanamke anakuwa wa kwanza kukana tena na kumlaumu mwanaume kuwa kwann anamsema kwa jambo ambalo angeweza kukausha tu na kuacha lipite, zile hasira mwanaume hujisikia wakati huo ndizo abuse yenyewe hiyo.

4. Mwanamke kutumia uanamke wake kama tiketi ya kudai matumizi kwa mwanaume wake kwa mambo yasiyo ya lazima ile hali na yeye anaweza tengeneza kipato akapunguza gharama za mahitaji yake yasiyo ya lazima....
 
psychopath people with narcissistic behaviors wakitaambaa na wewe lazima uwe na trauma
 
Utegemezi na umaskini ndo sababu kubwa kwa wanawake walio weng,ukiwa independent huo ujinga hakuna
Inaweza kuwa sababu ila ni miongoni tu mwa sababu. Kuna mabinti wanajimudu kifedha ila wanachezea kichapo balaa..... Shangazi yangu alipitia abuse ya vipigo na ni mtata tu kawaida plus ana uwezo na alikuwa anafanyiwa abuse ndani ya nyumba amejenga kwa pesa zake mwenyewe bila mwanaume yoyote. So si kweli kuwa mwanamke akiwa anajimudu hawezi kuchezea kichapo na akavumilia....
 
It's kind of scary, but it's a real thing!

Mtu aliondoka kwa abuser na kupata mahala pa salama pa kuishi. The next thing you know, akapata mimba nyingine ya yule yule aliyekuwa anamchapa. Ni kuomba tu mtu asifikie huku, cos anakuwa controlled kama robot sasa.
Kama mimi ndie nilimpa hifadhi ntamrejesha....
 
Back
Top Bottom