Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

We're too talkative...lol!
Sawa bwana. 🙂

D... Mjuni Lwambo Extrovert
Guys, it's NEVER, Ok to put your hands on a woman, period!
Tafuteni njia mbadala bwana, acheni hizo.

Ndio haya tunaongelea hapa, this's how it starts.
Unamchapa chapa mtu mwisho anaona it's ok ndo mapenzi. Kumbe mnaua confidence yake.
And by the end of the day self esteem yote inakufa. Kwa nini msitumie maongezi zaidi?
Maongezi yanatumika endapo kama mtu ni muelewa.
Kuna wanawake wanakera aisee i think wana asili ya ukichaa flani. Mtu ataongea maneno makali just to trigger your reaction tu. Maneno yanaumiza sana psychologically but inafikia time kidume unakaa kimya unachoka you have to make someone understand kuwa the words are more powerful, je unataka tuanze kusutana? Who will be the man now?
 
Kwenda kidume zaidi sawa, lakini sio lazima iwe kupiga mkuu. Kutupiga ni kutuonea kwa kweli.
 
Nahisi mkuu Daby ana bahati ya kukutana na wapenzi wastaarabu, mimi nilishakutana na wabishi, unamuelekeza kitu kidogo tu na hauko kishari, lakini lazima mbishane, hawezi kukiri hata kitu kidogo, always yeye anataka kuwa right tu, utampiga tu hata kama wewe ni mpole...
Wanazingua sana wanawake wabishi na wenye vidomo domo ndio mara zote hujikuta wametiwa nguvuni na vidume. Mwanamke kiasili anatakiwa awe mpole, msikivu na mtulivu kwa mumewe. Laiti wanawake wangelijua hili kusingekuwapo na baadhi ya vipigo ambavyo naweza kuviita vya kujitakia kabisa.
 
Kwenda kidume zaidi sawa, lakini sio lazima iwe kupiga mkuu. Kutupiga ni kutuonea kwa kweli.
Nakuoneaje na wakati unajua ukileta kidomo domo ntakushona and yet unanipayukia upuuzi. Mi ni mpole ila sio weak kiasi cha kuvumilia upumbavu na kutokujiheshimu.
 
Yes wanakuwa abusive vibaya mno. Na hawa wakija kukuwa, wakiwa katika umri wa ujana wanakuwa wabaya zaidi.
moja ya sifa zao ni kuwa attractive, yaani kuonekana warembo zaidi, kujiona wao ndio wao katika hii dunia, wao huwa hawakosei,hawashauriki na huwa wanajijali wao tu ,kamwe hawajali walio karibu yao.

- attention seekers : tunajua wanawake wanahitaji attention kutoka kwa wapenzi wao, lakin female abusers wanahitaji zaid ya kawaida, wanaweza kucheat kutembea na wanaume wengi ili attention iongezeke.

-Critism(kukosolewa)- female abusers hawawezi kuvumilia kukosolewa hata kama kosa ni lao liko wazi na ni bayana. Kwenye bongo zao hujiona kuwa hawana kosa, so hata kama wamekamatwa live waki cheat , watageuza na kusema sababu ya victim wao ndio wame cheat.
Mara nyingi wakikosolewa hata kiutani huwa wana respond kwa hasira isiyo ya kawaida( hata kutaka kupigana japo ni nadra) kuelekea kwa mkosoaji.

-Lack of empathy (upungufu wa hisia zamuhim kama vile upendo, kupendwa au kupenda, aibu,huruma)
Female abuser hawana hiv vitu, ndio maana wanaweza cheat kwao ni jambo la kawaida. Victim anaweza lia kuwa amesalitiwa, lakin abuser anamshangaa victim anacholia ni nn wkt yeye anaona chesting ni jambo la kawaida.

- hupata kichaa pale mtu wao wa karib lets say mpenz. Anapo kataa kufanya jambo fulani. Neno "hapana" huwa hawalipendi na wanaweza kulipuka kwa matusi makubwa sana.

-muda mwingi mkipanga kuonana, wao huvuruga mipango hiyo. sababu wanapenda iwe hivyo, wanaona raha victim anavyo teseka juu yao.

-kila mazungumzo atakayoshiriki female abuser, anataka mazungumzo hayo yamuhusu yeye. Mafano: amekuta kundi la marafiki wakiongelea urembo, maybe wanasema fulani ni mzuri, yeye akija ataanza kusema mm ni mzuri kuliko flani.

Chochote kile ilimradi aonekane kuwa yeye ndie center of attention.

- hufurahi katika mateso ya victim. Yaaan female abusers (just like man abusers) wana feed on victim pain. Wanaweza kukusaliti waziwazi ili ulie, ww ukilia wao wanacheka wazi wazi,wanasikia raha sana.
Wanapata raha ukifiwa,ukiachika,ukipata matatizo, chochote kile kitakacho kusababishia maumiv basi wao huwapa raha sana.
Reality...Ila hizi pia ni sifao za mwanamke ambaye hujacklick nae daima lazma atakuwa controlling freak na rejection ya aina yeyote itam drive nuts.

Ukimtongoza hatakupa jibu kuwa amekubali au kukataa ila at the same time atataka ainjoy benefits zako kama zawadi ama pesa. Huwa hawawezi kabisa kuvumilia lazma wasuse au waanzishe timbwili kwa kitu kidogo tu.

Ukimpotezea lazma atakutafuta ilimradi akuweke kwenye stretching string yake akuvute kama ndoano kisha awe anakuinjoy tu. Ukimkacha anakutafuta tena inakuwa ndio cycle.

Imagine huyo ndio mpenzi wako akuombe hela ya saloon useme sina, lazma utaskia tu wanaume wenzio wanaojua kujali watanipa tu!
 
Hapo sasa mmeanza kuja kwenye pointi, nilikuwa najiuliza, ina maana huyo mwanaume anampiga tu huyo mwanamke from no where tu bila sababu.... Mimi mwanamke akijibu mbovu lazima nimpe kipondo. Talk shit ... get hit.
We are on the same page bruh! Sipendagi upuuzi na mwanamke kama namuheshimu basi ajue pia naweza kumvunjia heshima vile vile endapo ataanza yeye kunivunjia heshima. Mi nabondaga sipendi kidomo domo aisee!
 
Mjuni kakaangu bwana hapana. Yaani yeye tu ndio akusome kwa nini na wewe usimsome?!, huoni kama relationship itakuwa more balanced kama mtasomana?
Na kama wewe unaongea taratibu lakini unaeongea nae anapayuka, ukinyamaza utaona jinsi ataona kachemsha.
Hiyo mkuu mimi ndio inanishinda, yaani yeye ndo kafanya kosa, namuelekeza anawaka, then ninyamaze tu mpaka baadae!
 
Which extend?!, imagine unamtuhumu kufanya kosa fulani, badala ya kujibu kwa adabu, yeye anakushikia kiuno kama mke mwenzie na kukuuliza, kwa hiyo ulikuwa unasemaje?! Unamuacha tu unaenda kulala kwa kuogopa utakuwa "abusive"? Aroo mi namrarua brother! Hujakutana nao wa hivi?
Hahahah aisee kaka pole sana, imagine mtu unaishi nae sehemu moja always anafanya usafi na kupanga vitu chumbani namuuliza vyeti vyangu ameviweka wapi najaribu kuvitafuta nilipovihifadhi sivioni,,ananijibu kwa tone flani ya ukali eti, "Eeh,,, sasa maswali gani unaniuliza hayo?!" Aisee nilishikwa na hasira imagine mtu ndie anaepanga na kuhamisha hamisha vitu ndani halafu anakujibu kishari hivyo!
 
Hapo kama kuna kitu kinakusumbua sana na yeye inabidi awe na busara ya ku respond kwa utaratibu hata kama kachoka kweli, ili kuonyesha hajakudharau.
Tunarudi tena hapo juu kuhusu kusomana, kama mmeelewana vizuri inakuwa rahisi kujua kama mtu amechoka kweli, au anaku ignore tu.
Most of the time ni kwamba anakupuuzia, huwezi kuchoka hadi ushindwe kuongea, halafu sio mtihani huo kwamba unahitaji kuandaa majibu. Kiukweli mimi itabidi uongee tu, otherwise ukalale kwa jirani.
 
Nakuoneaje na wakati unajua ukileta kidomo domo ntakushona and yet unanipayukia upuuzi. Mi ni mpole ila sio weak kiasi cha kuvumilia upumbavu na kutokujiheshimu.

Let me say this Extrovert, from a 'woman's POV'
Kwa jamii yetu ambapo hata sheria zenyewe za kumlinda mwanamke ziko legelege, mwanamke ambae atajiweka in a vulnerable position kwa kuyajua haya yote, yeye ndo ana tatizo.
My issue, kwa nini msiepuke hilo la kupiga cos ni kama kumuonea.
Mtu anaejielewa vizuri, ukiongea vizuri, lazima atakuelewa vizuri na hamtafika huko kwa kupigana na kuleta madhara.
 
Hahahah aisee kaka pole sana, imagine mtu unaishi nae sehemu moja always anafanya usafi na kupanga vitu chumbani namuuliza vyeti vyangu ameviweka wapi najaribu kuvitafuta nilipovihifadhi sivioni,,ananijibu kwa tone flani ya ukali eti, "Eeh,,, sasa maswali gani unaniuliza hayo?!" Aisee nilishikwa na hasira imagine mtu ndie anaepanga na kuhamisha hamisha vitu ndani halafu anakujibu kishari hivyo!
Hii mkuu umetoa mfano halisi nini, hahahaaaa, imagine kesho kuna uhakiki wa vyeti.. Hapo mtu ni lazima upanic!
 
Sasa niambie kaka nikimkata mabao mtu kama huyu nakuwa nimekosea kwani? Sometimes naona kuna wanawake wanataftaga kubutuliwa tu ndio raha yao.
Hii mkuu umetoa mfano halisi nini, hahahaaaa, imagine kesho kuna uhakiki wa vyeti.. Hapo mtu ni lazima upanic!
 
Let me say this Extrovert, from a 'woman's POV'
Kwa jamii yetu ambapo hata sheria zenyewe za kumlinda mwanamke ziko legelege, mwanamke ambae atajiweka in a vulnerable position kwa kuyajua haya yote, yeye ndo ana tatizo.
My issue, kwa nini msiepuke hilo la kupiga cos ni kama kumuonea.
Mtu anaejielewa vizuri, ukiongea vizuri, lazima atakuelewa vizuri na hamtafika huko kwa kupigana na kuleta madhara.
Mwenye uwezo wa kuepusha hilo ni mwanamke pekee. Maana binafsi mpaka nafikia kunyanya mkono nimevumilia for more than thrice number of times.
 
Tunaishi katika zama ambazo u fake fake ndo una thamani, zamani mwanamke ukimjali na kumpenda na kumuhudumia na kumpa kila kitu cha mhm ndo anakukubali na kukupenda...siku hizi fanya hivo we ndo bwege la mwisho na atakusema vby hadi kwa mashoga zake,zamani mwanamke alihisi anapendwa km huyo mwanaume anamsikiliza,siku hizi msikilize kila kitu mwanamke anakuona hili nalo jingaaa,mdharau dharau ndo anakupenda na kukujali,zamani mwanamke apigwi siku hizi piga makofi kdg ndo mapenzi yanarudi kwa kasi....fake fake fake fake fake.....mwanaume aliyefundishwa kujali mwanamke mwenye upendo na upole huyo kwa wanawake wa leo ndo zumbukuku la mwisho la kuteswa na kufanywa jinga....fake has value
hii umenena vyema mkuu. ukichukua majukumu yako ya kupenda kama mpenzi bora, ni kama unajitia kitanzi. majina yote mabaya utapewa wewe, mala boya,zoba.
 
We are on the same page bruh! Sipendagi upuuzi na mwanamke kama namuheshimu basi ajue pia naweza kumvunjia heshima vile vile endapo ataanza yeye kunivunjia heshima. Mi nabondaga sipendi kidomo domo aisee!

Most of the time ni kwamba anakupuuzia, huwezi kuchoka hadi ushindwe kuongea, halafu sio mtihani huo kwamba unahitaji kuandaa majibu. Kiukweli mimi itabidi uongee tu, otherwise ukalale kwa jirani.

Hii inaonyesha jinsi ambavyo mnakuwa na hasira za karibu. Halafu hizi ndio mbaya zaidi mjue.
Ukweli ni kwamba (God forbid) mnaweza kuja kuumiza mtu vibaya siku moja. Hasira za hivi sio nzuri.
Ni vizuri kutulia kwanza ndio uongee na mtu, tena wote mkitulia kunakuwa na maelewano. Lakini mwendo huu, hauna mwisho mzuri, seriously!
 
Sasa niambie kaka nikimkata mabao mtu kama huyu nakuwa nimekosea kwani? Sometimes naona kuna wanawake wanataftaga kubutuliwa tu ndio raha yao.

Haha, hakuna mtu anapendwa kupigwa bwana..

Mwenye uwezo wa kuepusha hilo ni mwanamke pekee. Maana binafsi mpaka nafikia kunyanya mkono nimevumilia for more than thrice number of times.

Sikatai kuna wakina sisi wagomvi kwa kweli na huanzisha Shari either kwa makusudi au bila kujua lakini, sidhani kupiga ni solution. It's so risky, inaweza kugeuka na kuwa tatizo kubwa zaidi.

It's better to take a high road.
 
Hii inaonyesha jinsi ambavyo mnakuwa na hasira za karibu. Halafu hizi ndio mbaya zaidi mjue.
Ukweli ni kwamba (God forbid) mnaweza kuja kuumiza mtu vibaya siku moja. Hasira za hivi sio nzuri.
Ni vizuri kutulia kwanza ndio uongee na mtu, tena wote mkitulia kunakuwa na maelewano. Lakini mwendo huu, hauna mwisho mzuri, seriously!
Ni kweli, kuna mtu nimeamua kumuacha juzi tu kwa sababu nimeona nitamuumiza, mkianza kujibizana hanyamazi, hata unyamazisheje, huwa nanyanyuka naenda kumziba mdomo na kiganja, ikishindikana hapo ni vibao, nimeona nitamuumiza mtoto wa watu, nimeamua kumuacha, japo nina stress hadi usiku sijalala!
 
Mwenye uwezo wa kuepusha hilo ni mwanamke pekee. Maana binafsi mpaka nafikia kunyanya mkono nimevumilia for more than thrice number of times.
Wanawake wa aina hiyo ni washari muda wote. Yaan hawataki kuja chini, ukikarib kumuelezea kosa na yeye anakujia juu, anataka akugeuzie kibao.
Majibu machafu mda wote, na kiburi juu.

Hata kama mwanaume ni mkarim kias gan, laxima ifike mahali utumie force, unaa aply mikanda, makofi mpaka kieleweke.
 
Hii ndo mara ya mwisho najibu uzi/ujumbe wako.

Sikumbuki lini nilijibizana na mtu humu JF, waonekana unataka tuanze kujibizana. Siko tayari na sitofanya hivo. Ntaendelea kuongea yanayonihusu tuu na wala hatoniona kuongelea mtu humu wala kumfatilia anaandika nini na kumhusu nani.

Ukiona kuna watu unawapenda unawaambia wazi na moyo wako utatulia pia kama uwepo wao unakukwaza, unapita pembeni au hama hapo walipo na uendende kwa amani.

Kasie.
Pole sana you need to be a mentor to most of our daughters in JF. Then to behave like other mature ones is so critical.
 
Ni kweli, kuna mtu nimeamua kumuacha juzi tu kwa sababu nimeona nitamuumiza, mkianza kujibizana hanyamazi, hata unyamazisheje, huwa nanyanyuka naenda kumziba mdomo na kiganja, ikishindikana hapo ni vibao, nimeona nitamuumiza mtoto wa watu, nimeamua kumuacha, japo nina stress hadi usiku sijalala!

Sisemi ni bora lakini ni afadhali kuepuka matatizo kuliko kujutia, halafu naona kama mkijengana mapema na kupeana the ABCDs za kila mtu inakuwa rahisi.
Sio kwamba mtaelezana kila kitu lakini at least mtu anakuwa na basics za mwenzake ili kuepusha kupishana kusiko lazima.
 
Back
Top Bottom